DR. ALLY POSSI retweeted
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Ally S. Possi akizungumza pamoja na kutoa shukrani kwa Shirika la Anga Duniani (ICAO) kwa kukamilisha mradi wa uimarishaji na udhibiti wa Usafiri wa Anga ambao uliofadhiliwa na Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China uliogharimu takriban Dola Milioni Moja katika kikao kazi cha kuhitimisha mradi huo kilichofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
DR. ALLY POSSI retweeted
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi @allypossi ameutaka uongozi wa @MSCLtz kuongeza Kasi ya kuwasimamia wakandarasi wa Gas Entec anayejenga Meli ya MV MWANZA jijini Mwanza na KTMI CO- LTD anayekarabati Meli ya MT SANGARA mkoani Kigoma ili kukamilisha miradi hiyo kwa wakati
DR. ALLY POSSI retweeted
1/2.Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Mhe Suleiman Kakoso ameitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini-LATRA kushirikisha wadau zaidi juu ya matumizi ya Mfumo wa ufuatiliaji wa mwenendo wa mabasi (VTS)
#Contemporary International Investment Law💪🏼 – at Dodoma, Tanzania
DR. ALLY POSSI retweeted
Aidha, baada ya mazungumzo alikutana na watumishi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) ambao wanafanya mafunzo ya uendeshaji wa Reli ya Kisasa ya SGR.
DR. ALLY POSSI retweeted
Katika ziara nchini Korea, Naibu Katibu Mkuu-Uchukuzi, @allypossi alikutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Balozi wa Tanzania nchini humo @tonytogolani .
DR. ALLY POSSI retweeted
Naibu Katibu Mkuu-Uchukuzi, @allypossi akutana na kuzungumza na Uongozi wa Kampuni ya Hyundai Rotem nchini Korea ambayo ilipata zabuni ya kutengeneza vichwa vya treni ya SGR 17 na seti 10 za treni za mwendo kasi (EMU) na pia amekagua maendeleo mradi huo.
DR. ALLY POSSI retweeted
Naibu Katibu Mkuu-Uchukuzi, @allypossi afanya mazungumzo na Uongozi wa Kampuni Sung Shin Rolling Stock Tecnology nchini Korea na kukagua mradi wa kutengeneza mebehewa 59 ya SGR ambapo kati ya hayo 59 mabehewa 14 yaliwasili nchini mwezi Novemba mwaka jana.
DR. ALLY POSSI retweeted
Naibu Katibu Mkuu anayesimamia Sekta ya Uchukuzi Dokta Ally Possi, amemtaka Mkandarasi YAP MAREKEZ kutoka Uturuki anaejenga kipande cha Reli ya kisasa kipande cha Tabora mpaka Isaka kuhakikisha anaanza ujenzi huo kwa wakati ili aweze kukamilisha ndani ya Muda.
#KitengeUpdates – at Dar es Salaam, Tanzania
DR. ALLY POSSI retweeted
NAIBU Katibu Mkuu anayesimamia sekta ya Uchukuzi, Dokta Ally Possi, amemtaka Mkandarasi YAP MAREKEZ kutoka Uturuki anaejenga kipande cha reli ya kisasa cha Tabora mpaka Isaka kuhakikisha anaanza ujenzi huo kwa wakati ili kukamilisha ndani ya muda.
#KAZIIENDELEE
Leo tarehe 18/01/2023 meshiriki hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa reli yakisasa (SGR) kipande cha Isaka-Tabora, chenye urefu wa KM 165. Hiki nikipande cha 4 kati ya vi-5 katika awamu yakwanza ya ujenzi wa reli ya SGR.
Pia, ni hatua madhubuti ya kutekeleza makubaliano ya Afrika yakuanzisha eneo la biashara huru, ‘African Continental Free Trade Area’. – at Shinyanga, Tanzania
Naipongeza Serikali kwa hatua hii kubwa na yakihistoria katika Nchi yetu #SGR @tzrailways @WizarayaUJnaUC @Hakingowi @ikulumawasliano @millardayo @TZMsemajiMkuu – at Shinyanga, Tanzania
DR. ALLY POSSI retweeted
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Dkt. Abdallah Possi mara baada ya kuhudhuria ufunguzi wa Mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani (World Economic Forum) uliofanyika katika Ukumbi wa Congress, Davos nchini Uswizi tarehe 17 Januari, 2023.
PRIME CIRCLE - 'She Always Gets What She Wants' (OFFICIAL MUSIC VIDEO) youtu.be/jzkT8obMzwM via @YouTube
When music was MUSIC - good times gone 👉🏻 Nickelback - Far Away youtu.be/GP7zpdwo3Xo via @YouTube
3










































