Pinned Tweet
๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐
๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐
1.Epuka Kuvaa Miwani ya Mtu mwingine au kutumia ambayo haijapimwa na daktari
2.Usitumie Dawa za Macho(Eye drops)kabla ya kupima na kujua shida yako-๐ง
3.Fanya Check Up za macho yako mara kwa mara(Mara Mbili kwa Mwaka)
4.Epuka Uvutaji wa Sigara
5.Epuka Unywaji wa Pombe uliokithiri
6.Fanya Mazoezi ya Mwili Mzima(Jogging etc)
7.Kula Mlo Kamili mwenye virutubisho muhimu kwenye Macho kama Vile;-
โ
Vitamin A-karoti๐ฅ
โ
Vitamin C-mboga za majani๐ฅฌ
โ
Vitamin E-Matunda(machungwa๐
โ
Zinc Minerals-Supu za samaki๐
God bless you#AfyaYaMacho
Muone Mtaalamu wa macho unapohisi hali ya Tofauti katika Macho Yako.๐ค
Dr.Nchimbi retweeted
Kama tunge-support biashara za ndugu na marafiki zetu kwa nguvu ile ile tunayoonyesha kwenye suala la Miss Grand International,tungekuwa mbali sana kiuchumi.
Kama tunge-support biashara za ndugu na marafiki zetu kwa nguvu ile ile tunayoonyesha kwenye suala la Miss Grand International,tungekuwa mbali sana kiuchumi.
Dr.Nchimbi retweeted
Leo kuna watoto wanashinda njaa kwa sababu ulifanya fitina baba au mama yao akafukuzwa Kazi.





