🌴woshy🌴 retweeted
Hii gas imekaa =nimekaa sana bila kupata homa =siwezi ibiwa simu =huyo hawezi nifanyia hivyo.
🌴woshy🌴 retweeted
Out of nowhere mtu anakuadd kwa group ya kuchangia harusi man hebu mkuwe na heshima sometimes.
Madem muache hii upuzi buana. Nakuita date high end restaurant alafu tukiongea unaanza kuniambia ati unapractice celibacy at the momment. Ati at the momment unafocus na your studies and building your career. Fvck you. At 24 years ati uko celibacy? Kwenda uko ngamia hii. Unaambia mtu mapema kwa simu buana. Umejua unapractice celibacy after ushakula 7k yangu ya dress na even making of your hair ndio tupatane. Alafu kwa restaurant unaitisha wine ya ngiri kumi. Buana hiyo bill silipi. Kila mtu ajilipie ama upigie morio hukudinya akuje akulipie. Buana hiyo bill silipi na hakuna kitu utanifanyia btw.
🌴woshy🌴 retweeted
Nilikua na pedi uku rooftop,nikaangusha simu yake by mistake ..akaniambia nisijali simu ilikua flight mood
🌴woshy🌴 retweeted
Mtu anafaa afanye nini, ama nafaa kukaa aje ndo pia niitwe friend who became family, nisaidieni jameni!?














