Manuh෴k୧ retweeted
Nataka nibuy ka Mazda atenza ka 620k na niskie msee anakadharau, ataniambia kake Kako wapi😂😂aka nitaflex,sitakua nashikika hii town, ngoja tu Feb nibuy.
Kuna deal nangoja iivane😁
Manuh෴k୧ retweeted
nikiangalia vile niko sai na bado vile na feel nikama nikona ukedi wasee mkona ukedi mnaskianga aje ?
Manuh෴k୧ retweeted
nataka kuspin ugali kubwa sana niikule na mayai kuna vile nimeanza kuskumwa skumwa na upepo nikitembea
Manuh෴k୧ retweeted
Unpopular opinion: hizi gari huendeshwa na wasee wa jaba na warasta ukua safe kuliko hizo za mabishop na neatly dressed😂😂
Manuh෴k୧ retweeted
Everything is going as the schedule led, sasa ni moja kwa moja hadi kwa vituo za vituristi .utaona Kesho time hii tutakua tunaconfirm our presence, Monday nkt 🥴😏




















