MUNGU ATUPE AFYA NA UHAI WA MIAKA MINGI DUNIANI TUKIMTEGEMEA YEYE😌AMINI UKO SALAMA SIO KWAMBA WEWE NI ZAIDI YA WALIOKO HOSPITAL🏥SEMA ASANTE MUNGU BABA KWA UHAI MAANA WENGI WAMELALA MAVUMBINI😭🙏
#Djwamkoa
2
Ukitaka kujua Baharia anaweza kulala hata siku tatu mfululizo , ni pale mke akimmwambia “ WE LALA TU ILA UKIAMKA UTANAMBIA SOPHIA NI NANI “😂😂😂🙌
#Djwamkoa
1
UNAVUTA KAMASI UNALITOA KAMA KOHOZI UNATESTI CHUMVI AU?
Binadamu Hawapendi Kushindwa😂
😂😂😂😂😂
#Djwamkoa
1
Unaeza ukaskia habari zako mpaka ukakaa ukawaza "hivi kuna mtu mwingine anautumia huu mwili au?"
🤣🤣🤣
#Djwamkoa
1
😁😁😁
Umeme unakatika, mama anakwambia utafute kiberiti uwashe taa, inabidi unamwambia awashe kwanza taa ili utafute kiberiti, anakulima kofi unajiuliza amekuonaje?
Wamama bwanaa
😁😁😁😁
Dj Fire
2




