π
ππππ retweeted
Mara sita kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika si jambo dogo! Ni matokeo ya miaka ya uwekezaji, mipango, nidhamu na dhamira ya kuijenga Simba yenye ushindani barani Afrika.
Tumetoka mbali, lakini malengo yetu ni makubwa zaidi. Tunajivunia hatua tulizopiga, lakini hatujaridhika. Ndoto yetu ni kutwaa ubingwa wa Afrika.
Safari inaendelea. #Simba #NguvuMoja! π¦β€οΈ
Katika vita vya kiroho vya kila siku tulimo, uovu hauna nguvu juu yetu tunapotembea katika neema ya Mungu.
Simba SC 4β0 TRA - friendly reminder: this was never a fair fight. π¦π₯πππ«Άπ«‘@ZubbySakuru @SimbaSCTanzania
π
ππππ retweeted
Last day and last hour as Ambassador of the United Republic of Tanzania to the Republic of Korea.
π
ππππ retweeted
Viongozi wetu wa Simba heshima kubwa kwenu. Asanteni sana kwa kutuandalia tamasha zuri kama ilivyo utamaduni wetu.
Shughuli imefana. #NguvuMojaπ¦
@SimbaSCTanzania @moodewji @ZubbySakuru @GRuhago
Kuelekea Simba Day tarehe 10.09.2025 tumeanza na Kazi kubwa ya Kuyakutanisha matawi yetu kwenye mtanange wa Tembocard Simba Matawi Bonanza 07.09 .2025 kwa kushirikiana na Benki ya CRDB .
π
ππππ retweeted
π¦π΄ @SimbaScTanzania New Kit π₯
π
ππππ retweeted
The Chief Executive Officer, Zubeda Sakuru, gave the opening remarks. @ZubbySakuru @goligani @RevocatusMagum1
#NguvuMoja #Jayrutty
π
ππππ retweeted
Mtendaji Mkuu, Zubeda Sakuru akitoa neno la ufunguzi. #NguvuMoja





















































