예린티켓 (@YERINTICKET) profile picture
Joined October 2021
Photo by 예린티켓 (@YERINTICKET)Photo by 예린티켓 (@YERINTICKET)Photo by 예린티켓 (@YERINTICKET)Photo by 예린티켓 (@YERINTICKET)
예린티켓 retweeted
Chuo umemaliza hongera mkuu umenikimbia JF 😁😁
Elimu haina mwisho! Tukutane kazini!
1
3
37
7,328
예린티켓 retweeted
😂😂Kasheshe
25
34
1
247
7,312
Facebook kuna Matatizo gani ? – at Khlong Toei, Bangkok
12
703
Am in Bangkok for Few days ! Nimewakimbia watesi, later Naenda zangu Singapore 🇸🇬! – at Khlong Toei, Bangkok
1
10
649
Bwege Hilo
Nakumbuka msigwa anatoa Ufananuzi kwamba “Elnino ni Joto ni jotoo mnisikie Vizuri,watu wanauliza kwamba mvua iko wapi Wakati Elnino ni Joto”, baada ya masaa mvua Ikanyesha , waaaaaaa , Akasema “sasa mlosema hakuna Elnino Mvua si hiyo sasa?”😀😃😀😀😀😀🙌🏼🙌🏼🙌🏼, Msemaji Wetu bwana
3
542
Mtandao wa JamiiForums ni maarufu sana na Uzuri wametenga kama siasa ni siasa , kama Mapenzi Mapenzi Kifupi kule nawasoma sana Kiranga, Britanicca , Mag3, Nguruvi, Mzee mwana kijiji, Barafu, Pascal Mayalla, Salary slip na wengine
Tunakoelekea Jamii Forum utakuwa maarufu kuliko mitandao mingine ya kijamii 🗿.
3
3
117
5,656
😁😁😁
Kazini kwa Mama Gwajima nako kuna Kazi 😅😅
4
718
예린티켓 retweeted
Kazini kwa Mama Gwajima nako kuna Kazi 😅😅
10
21
1
272
19,968
Hapa watu wa Samia muuaji watakataa 😎
Among the East African heads of state who inculcated in their progeny the cardinal principle of abstaining from inflicting harm upon others, the following are pre-eminent: 1. Julius Nyerere 2. Kenyatta Sr. 3. Benjamin Mkapa 4. Magufuli 5. Kenyatta Jr. — Uhuru 6. William Ruto What, however, affords me the greatest gratification is the mode of existence adopted by the offspring of Mwalimu Nyerere and the offspring of William Ruto; they conduct their lives with a remarkable degree of autonomy and self-determination, as it were.
7
1,092
Among the East African heads of state who inculcated in their progeny the cardinal principle of abstaining from inflicting harm upon others, the following are pre-eminent: 1. Julius Nyerere 2. Kenyatta Sr. 3. Benjamin Mkapa 4. Magufuli 5. Kenyatta Jr. — Uhuru 6. William Ruto What, however, affords me the greatest gratification is the mode of existence adopted by the offspring of Mwalimu Nyerere and the offspring of William Ruto; they conduct their lives with a remarkable degree of autonomy and self-determination, as it were.
3
1
11
4,252
Mnatuonaga wasenge siyo eee
Kampuni ya Humanwell kutoka Wuhan nchini China imemzawadia Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, (@mohamed_mchengerwa ) roboti ya kisasa ya kufanyia upasuaji wa miguu yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 2.65, huku Waziri huyo akielekeza kifaa hicho kikabidhiwe Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) ili kiweze kuwahudumia Watanzania. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa, na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, John Mapepele mmiliki wa kampuni hiyo, Li We Sheng amesema zawadi hiyo ni sehemu ya kutambua juhudi za Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini. Kwa upande wake, Waziri Mchengerwa amesema roboti hiyo inatarajiwa kukabidhiwa rasmi Desemba 9, 2026, huku akimwelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Grace Magembe, kuhakikisha maandalizi ya chumba maalumu kwa ajili ya mashine hiyo yanakamilika kabla ya kuwasili kwake nchini. #MillardAyoUPDATES
1
5
503
Lissu amewashinda sasa mnahangaika na rufaa
Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amewasilisha taarifa ya kusudio la kukata rufaa katika Mahakama ya Rufani ya Tanzania (Masjala Ndogo ya Dar es Salaam), akipinga uamuzi wa Mahakama Kuu uliomwachia huru Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, katika shtaka la uhaini. Kwa mujibu wa nyaraka ya taarifa hiyo inayoonesha kupokelewa na kusajiliwa katika masjala hiyo Novemba 13, 2026, DPP ameeleza kuwa hajaridhishwa na sehemu ya hukumu iliyotolewa Novemba 6, 2026, na jopo la majaji watatu wa Mahakama Kuu katika Kesi ya Jinai Namba 19605 ya mwaka 2025. Taarifa hiyo inaeleza kuwa Jopo hilo lililoundwa na Majaji Dunstan Ndunguru, James Karayemaha na Ferdinand Kiwonde lilimwachia huru Lissu katika shtaka la uhaini lililokuwa likimkabili kinyume cha kifungu cha 39(2)(d) cha Kanuni ya Adhabu. Hata hivyo, katika hukumu hiyo, Mahakama Kuu ilimtia hatiani kwa kosa jingine la uchochezi wa kutenda kosa kinyume na kifungu cha 390 cha Kanuni ya Adhabu, na kumhukumu kifungo cha miaka minne jela. Katika taarifa hiyo ya kusudio la kukata rufaa iliyowasilishwa chini ya Kanuni ya 68(1) ya Kanuni za Mahakama ya Rufani za mwaka 2009, DPP amebainisha kuwa rufaa yake inajikita pekee katika kupinga matokeo ya uchunguzi wa mahakama hiyo na amri ya kumwachia huru mjibu rufaa (Lissu) kwenye shtaka la uhaini. ​ Aidha, ofisi ya DPP imeiomba mahakama kuipatia nakala ya hukumu na mwenendo wa shauri hilo kwa haraka ili kukamilisha taratibu za rufaa. Hatua hii ya upande wa mashtaka inakuja siku chache baada ya upande wa utetezi wa Lissu nao kuwasilisha taarifa ya kusudio la kukata rufaa Novemba 7, 2026, ukipinga kutiwa hatiani kwa Lissu na adhabu ya kifungo cha miaka minne jela iliyotolewa dhidi yake.
27
793
Replying to @Eric__Bernard
Ntakupeleka wewe kabla hujawaza lolote na ntakuweka pale pale ulipo arrange @Sativa255 awekwe !! Nyau wewe
4
4
55
3,881
Huyu si afanye Moja kama mziki uwe mziki kama siasa iwe siasa
9
866
예린티켓 retweeted
🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄 Baadhi ya abiria wametoa maoni yao kuhusu umuhimu wa madereva kupumzika wanapohisi uchovu wakiwa safarini, wakieleza kuwa dereva anapochoka, ni vyema kusimamisha gari katika eneo salama na kupata muda wa kupumzika kabla ya kuendelea na safari asubuhi. Wakitoa maoni hayo baada ya kupatiwa elimu ya usalama barabarani na Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Dodoma, SSP Yusuph Kamotta, wakati wa operesheni ya ukaguzi wa vyombo vya moto usiku wa kuamkia leo. #MeaMswahiliUPDATES
1
4
59
12,021
예린티켓 retweeted
He learnt the hard way 😭😂
1,368
1,721
255
18,437
2,305,491
😁🤌🏾Alijisemea UKWELI Huyu jamaa 🧠
3
42
1
121
2,037
Wins mate 🫂❤️
54
305
12
1,763
233,719