munojr (@Xmunojr) header
munojr (@Xmunojr) profile picture

Cyber security #CPTS #CRTO #RedTeam

Tanzania
Joined May 2021
Photo by munojr (@Xmunojr)Photo by munojr (@Xmunojr)Photo by munojr (@Xmunojr)Photo by munojr (@Xmunojr)Photo by munojr (@Xmunojr)Photo by munojr (@Xmunojr)Photo by munojr (@Xmunojr)Photo by munojr (@Xmunojr)Photo by munojr (@Xmunojr)Photo by munojr (@Xmunojr)
Thrilled to share that I have officially Passed my CPTS 🔥🔥
2
193
😂😂😂😂
enzo fernandez could have and should have been sent off,both for a dangerous strike on the back of head of another player and for multiple yellow card worthy fouls,he ref has tried his best but his best is not enough
1
217
If a new job is what your heart desires, may it locate you o.
499
1,211
106
10,085
145,364
A job offer with better pay, better hours, and a healthier environment is coming your way in 2026
104
1,997
98
10,269
251,222
That breakup saved you.
151
1,832
157
12,504
316,374
🇪🇬 Egyptian star Ahmed Elmohamady's response to Jamie Carragher: ​"Right Jamie, you’re a disgrace. Salah completely rewrote his story through hard work, humility, and world-class performances. ​He didn’t ‘fail’ at Chelsea. He was never given the chance. He went to Italy, rebuilt himself, then came to Liverpool and became: a Premier League legend, Egypt’s greatest ever player, and one of the most consistent forwards of his generation. ​Salah has carried Egypt for years and got Egypt qualified for the World Cup twice after so long. Salah earned everything. No wonder you got blanked by C. Ronaldo. No wonder Messi called you out. No wonder Mourinho said you were below average and not even in the top 1,000 defenders in the PL.” #Salah #LFC #Egypt
235
2,217
109
15,088
1,777,493
Mwanaume unaita pesa sasampa ?? Mkundu wako🫵
94
107
12
888
49,402
😂😂
VIDEO: Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameibua madai kuwa wamebaini uwepo wa wachochezi na wanaharakati wanaolipwa ili kuvuruga amani ya nchi, akidai kwamba baadhi ya vijana wanaoishi nje ya Tanzania wamepokea dola milioni mbili (sawa na shilingi bilioni 4.5) kwa ajili ya kuchochea vurugu. Ametoa kauli hiyo akiwa katika ziara yake mkoani Arusha, leo Novemba 30, 2025 ambapo amesema uchochezi mwingi unatoka kwa watu waliopo nje ya nchi na kwamba malengo yao yamejikita kwenye rasilimali za taifa. Ameeleza kuwa juhudi za kujaribu kuwavuruga Watanzania zinatokana na rasilimali zinazogunduliwa nchini, ikiwemo uranium ambayo Tanzania sasa inakadiriwa kuwa na tani 890,000 za ujazo, na hivyo kuwa nchi ya tisa duniani na ya kwanza Afrika. “Wanalenga tupigane ili wachukue rasilimali. Tumeshuhudia hili likiharibu mataifa mengi ya Afrika,” amesema. Amani ikitoweka, hata karoti na nyanya za Ngarenanyuki haziwezi kuuzwa,” ameonya. Ametoa wito kwa Watanzania kukataa kurudishwa katika vurugu, akisisitiza kuwa amani ndiyo msingi wa kupambana na umaskini na kukuza ajira nchini.
92
Oyaaa , Machalii wangu wa Gen Z wangu nisikilize hapa vizuri 🗣️🔥 Wateja wakuu wa show za wasanii nchini ni nyie Gen Z. Sasa kama kuna wasanii wameamua kuwa chawa, hakuna haja ya kupiga kelele kuna njia moja tu, rahisi na ya AMANI , ⛔️ Usihudhurie show zao. ⛔️ Wa-unfollow kila kona, Instagram, TikTok, YouTube, X, kila mahali. Mkiamua kufanya hivi nationwide, mna wakata mrija wao wa uchumi faster kuliko maneno. Hawa watu watajua kuwa nguvu yao inatoka kwa nyinyi, na bila support ya Gen Z hakuna “star” anasimama. Hakuna longo longo hapa. Ni simple: “Sichukui content yako, sitoi hela yangu, na naheshimu utu kuliko kiki.” Sasa twendeni kazini machalii na mabridaz wangu 🙌🙏Hakuna tena ‘niaje niaje’ , tunaplay smart, tunaplay silent, tunaplay power. Machalii , si ndio hivyooo Chalii yanguu!! Twende Job na Mabro tuko nyuma yenu 🙏🙏🙏🙏 One Love man❤️❤️
248
1,062
38
4,307
155,901
Mungu wangu🥹🥹🥹🙌🏻🙌🏻 kwann nimeangalia😭😭😭😭😭
OMG!! 😭😭😭😭 hii ni Mortuary ya Mwananyamala. Alieachia video hii anahofia mnooo maisha yake ndo maana imemchukua muda sana kunipa video hii. Anasema kuwa polisi walikuwa wanachukua simu za manesi na madokta wanafuta video na picha na kuwatishia wasirekodi kitu, yeye alikuwa na simu 2 so akawapa simu ambayo alikuwa hajarekodi chochote wakaridhika.
88
Thrilled to share that I have officially Passed OSCP exam. #TryHarder #offsec #oscp
9
4
43
2,342
😂😂😆
VIDEO: Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa chama cha ACT Wazalendo ngazi ya taifa, Abdul Nondo, ametoa wito wa kufanyika kwa maridhiano ya kitaifa yatakayohusisha makundi yote ya kijamii, kisiasa na kidini, huku akisisitiza kwamba serikali isiwe msimamizi wa maridhiano hayo, bali pawepo mtu wa tatu (third party) huru atakayeratibu mchakato huo. Akizungumza na wanahabari leo, Novemba 12, 2025, jijini Dar es Salaam, Nondo amesema maridhiano ya kweli ni lazima yahusishe wananchi wote, vyama vya upinzani, viongozi wa dini, na asasi za kiraia ili kujenga umoja wa kitaifa na uponyaji wa kijamii kufuatia matukio ya vurugu na mauaji yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Ameongeza kuwa maridhiano hayo hayawezi kufanikiwa bila kutolewa fidia kwa familia zilizopoteza ndugu, waliopata ulemavu wa kudumu, na waliopoteza mali kutokana na vurugu za kisiasa. Nondo ametoa pia wito kwa vijana wote nchini, hususan vijana wa vyama vya upinzani, kuungana kwa mshikamano na umoja katika kipindi hiki alichokiita “cha giza nene” nchini akisisitiza umuhimu wa umoja na maombi kwa ajili ya taifa.
58
Ile sauti ata afananii man😂
Imagine mtu kama Lord Eyez kibesiii kingiii Terror Terror ila ni Chawa na anazidiwa mikazo na binti kama Rosa ree
1
44
Mama amka !! Mwanzo 4:10 NENO BWANA akasema, “Umefanya nini? Sikiliza! Damu ya ndugu yako inanililia mimi kutoka ardhini.
113
521
19
2,364
76,576
uyu nae ni msaniii??? fuck off
Ndaro anakuja kulalamika! Kwani ulivyokuwa unaenda kwenye mikutano yao, ulikuwa una fuata Sheria za Nchi? Ubinafsi!!, Ubinafsi!, Ubinafsi!!, Shame! Shame! Shame! 🚮🚮
1
7
1,244
The violence Samia Suluhu unleashed on Tanzanias for protesting demanding free and fair elections
231
592
62
1,620
150,531
nimelia aise🥹🥹. This one is painful🙌🏻
Samia Suluhu shot mothers in their homes, they were not even protestors, she just wanted to kill as many Tanzanians as possible inorder to get total obedience.
283
MUNGU wetu si Kiziwi🙏
I would like to assume that, with this rain God heard our prayers and he is working on them🙏🏾 Our God is faithful and he never fails🙏🏾
35
I would like to assume that, with this rain God heard our prayers and he is working on them🙏🏾 Our God is faithful and he never fails🙏🏾
4
24
1
161
9,001