Water_Institute_Tanzania (@WaterInstitute1) profile picture

Water Institute is a Government Executive Agency under the Ministry of Water Tanzania

Dar es Salaam, Tanzania
Joined April 2020
Photo by Water_Institute_Tanzania (@WaterInstitute1)Photo by Water_Institute_Tanzania (@WaterInstitute1)Photo by Water_Institute_Tanzania (@WaterInstitute1)Photo by Water_Institute_Tanzania (@WaterInstitute1)Photo by Water_Institute_Tanzania (@WaterInstitute1)Photo by Water_Institute_Tanzania (@WaterInstitute1)Photo by Water_Institute_Tanzania (@WaterInstitute1)Photo by Water_Institute_Tanzania (@WaterInstitute1)Photo by Water_Institute_Tanzania (@WaterInstitute1)Photo by Water_Institute_Tanzania (@WaterInstitute1)
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa Mlimani City tayari Kwa Maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo cha Màji na Kongamano la Kimataifa la Kisayansi la Maji.
2
65
Tupo live ndani ya Classic Fm 103.3 Fm. Tufuatilie sasa kuelewa tukio kubwa la kihistoria linaloenda kuadhimishwa tarehe 31/01/2024 hadi 02/02/2024 ambalo ni miaka 50 ya Chuo cha Maji na Kongamano la Kimataifa la Maji. Tukio hili litafanyika katika ukumbi wa Mlimani City.
1
77
Kuelekea miaka 50 ya Chuo cha Maji, leo tumemtembelea Mhandisi Claudio Mayeye mwanafunzi wa Chuo cha Maji 1969-1971 kabla Chuo hakijaanza rasmi mwaka 1974.
2
40
You are all welcome to attend 3rd International Maji Scientific Conference to be held at Mlimani City Conference Center on 31st January to 02nd February 2024.
1
3
5
572
Water Institute Student Football team at SHIMIVUTA tournament 2023.
59
Water_Institute_Tanzania retweeted
Timu ya mchezo wa Volley ball ya Chuo ikiwa mkoani Iringa kushiriki mashindano ya SHIMIVUTA 2023
1
5
126
Timu ya mchezo wa Volley ball ya Chuo ikiwa mkoani Iringa kushiriki mashindano ya SHIMIVUTA 2023
1
5
126
Mgeni rasmi wa mkutano wa wadau wa Sekta ya Maji, Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb), (wapili kulia) akiwasili katika viwanja vya ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa AICC kwa ajili ya ufunguzi rasmi wa mkutano.
1
42
Mkuu wa Chuo cha Maji Dkt. Adam O. Karia akitoa utambulisho wa wageni kwa mgeni rasmi wa kikao cha wadau wa sekta ya maji kinachofanyika kuanzia leo tarehe 13-14/12/2023 katika Ukumbi wa AICC jijini Arusha.
2
4
152
Mapema leo tarehe 12 Juni 2023, Chuo cha Maji kimesaini mkataba wa ushirikiano na Kampuni ya kutengeneza mabomba ya Plasco Ltd. Mkataba huo ulisainiwa na Dkt. Adam O. Karia, Mkuu wa Chuo cha Maji, na Bw. Ali Gulamhussein, Meneja Mkuu wa Kampuni ya Plasco Ltd.
1
2
12
865
Karibuni kujiunga na Chuo cha Maji
1
2
96
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda amevutiwa na ubunifu unaofanywa na Chuo cha Maji ambapo amekipongeza Chuo cha Maji kwa kuendeleza bunifu mbalimbali zinazofanywa na wanafunzi na kuwa bidhaa zinazotumiwa na jamii kutatua changamoto zilizopo nchini
3
83
Water_Institute_Tanzania retweeted
We extend our congratulations to the entire team of the @WaterInstitute1 who made the 2nd International Maji Scientific Conference a grand success. Thank you for giving us an opportunity to showcase how we can together provide sustainable water solutions to the community.
2
4
171
*MKUU WA WILAYA YA UBUNGO AFANYA ZIARA CHUO CHA MAJI* Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Mheshimiwa Hashim Abdallah Komba, amefanya ziara katika Chuo cha Maji leo tarehe 12/04/2023 na amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Chuo, Dkt. Adam O. Karia pamoja na menejimenti ya Chuo hiko.
2
87