623/2026 (@WashedMawalla) header
623/2026 (@WashedMawalla) profile picture

A Wise Fool. My twitter does not reflect my life, i just be posting shit. Mind yo business bitch ✌🏽

Not lost… just unreachable
Joined November 2011
Photo by 623/2026 (@WashedMawalla)Photo by 623/2026 (@WashedMawalla)Photo by 623/2026 (@WashedMawalla)Photo by 623/2026 (@WashedMawalla)Photo by 623/2026 (@WashedMawalla)Photo by 623/2026 (@WashedMawalla)Photo by 623/2026 (@WashedMawalla)Photo by 623/2026 (@WashedMawalla)Photo by 623/2026 (@WashedMawalla)Photo by 623/2026 (@WashedMawalla)
God i hope i will be alive to witness CCM downfall
2
1
11
892
Low season
Ina maana leo wame cancel kabisa booking za Watalii halafu unategemea kuna mtu kuja kufanya utalii kwa upuuzikama huu
1
60
Maliza huyo fucken
Unaji-contradict boss. According to you, huyu ni mhaini na gaidi. Risasi ilomuua ni stahiki yake. Vyombo vilifanya kazi iliyotukuka. Stand on business na jitahidi kukumbuka maneno yako mwenyewe, sababu wasomaji wako tunayakumbuka.
45
Mamamae😂😂😂🔥🔥
PAMEANZA KUCHANGAMKA🚨 PhD Zimeanza kuzungumza hadharani 🔥🔥🔥🙌🏾 Maneno ya Rev.Dr.Owdenburg Mdegela (PhD), Baba Askofu Mstaafu wa KKKT Dayosisi ya Iringa kwenye ibada maalumu ya Jubilee ya ujio wa Wamisionari wa Kilutheri Tanzania, iliyofanyika Dayosisi ya Kati (Singida).!
1
167
True😂😂🤣
No enemy can do what 11 months of 2026 have done to me.
32
623/2026 retweeted
Other players Vs. Al Bulayhi. 😭💀 Sometimes, bullies need to meet their match. Thank you Cris! 👏
186
381
27
6,422
2,265,015
Nywele za kule chini hazina hata mvii wahenga wamekuwa wakitupotosha sana
Yule bibi mbona alikua haskii kitu chochote! 🥺💔 watu mna laana jamani kah!!!
1
1
212
Alafu kuna kina Frey🖕🏽😂
Kufuatia Kifo cha Angel Wariaeli, aliyefariki dunia usiku wa kuamkia Novemba 18, 2026, wakati akiendelea kupatiwa matibabu Kutokana Kupata majeraha ya kupigwa Risasi Oktoba 29, 2025, Kijana Calvin Title Mwakajeba ambaye hujishughulisha na ujenzi amefunguka mazito namna alivyokuwa akiguswa na hali aliyokuwa akiipitia Marehemu. "Moyo wangu umepasuka vipande, vipande maumivu niliyo nayo hayaelezeki. Binti huyu mrembo nilimfahamu baada ya kupewa historia yake iliyonisisimua nakunipa maumivu makali. Kwani mimi niliikua Nafanya kazi ya ujenzi karibu na alipokua akitoka kupunga upepo mitaa ya Manzese. Alipokua akishinda kwa pembeni yake kulikua na duka , hivyo basi kutokana na maumivu yakile nilichosimuliwa nikamuahidi Mungu kuwa kila nitakapokuwa nafanya kazi basi nisishindwe kumpa hata 1000 ya maji. Sikutaka kuwa nakwenda kumpa yeye fedha hiyo nikawa nafika pale dukani namwambia Kuna buku apa muulize anataka nini lakini kama hajisikii basi umpe elfu moja. Nilifanya hivyo kwa siku zote nilizokua nafanya kazi pale bila kuongea nae chochote .mtu wa duka tu ananiambia anasema Asante basi me namshukuru naendelea na kazi. Sikuwa naweza kuongea nae kwani historia yake iliniumiza sana kiasi cha kushindwa hata kumuuliza chochote nikiamini ingeniumiza mara mbili yake ya maumivu niliyo nayo. Wakati naendelea na kazi Kuna kipindi nikawa simuoni zaidi ya wiki moja ikabidi nimuulize mtu wa duka vipi mdogo wangu simuoni akitoka nje . Nikaambiwa anaumwa badae nikaambiwa kalazwa muhimbili. Kidogo nilichopata nikampa mtu mmoja afikishe hospital kwa kumnunulia matunda . Na aliporudi kutoka huko dada yule aliniletea salamu nyingi kutoka kwa mpendwa wetu. Basi siku zikaenda. mama ake nilikua namjua lakini hatukuwai kuongea .siku nikiwa karibu na mitaa hiyo nilimsikia mama yule akisema "KEVOO NDIO NANI" nikajitokeza nakusema ni mimi akaniambia mtoto anakusalimia huko muda wote anasema nisisahau kuja kukusalimia .basi nikashukuru kwa kupokea salamu huku nikituma salam za pole mama azifikishe atakaporudi tena hospitali. Siku zilipita Jengo tulilokua tukijenga likaisha na mimi nikabadilisha kazi kwani tayari muda wa kujiunga namasomo ulikua umefika. Nikanyoa rasta zangu nikaanza masomo hivyo sikwenda muda mrefu maeneo hayo. Mwezi uliopita nikasema ngoja niende nikasalimie manzese kwani ile site nimefanya muda mrefu pale Nina watu tayari nikama familia. Bahati nzuri nilikutana na mdogo wangu akiwa amekaa pozi lake lile lile akiwa na mama yake pamoja na dada zake , Aliponiona alitabasamu sana akanisalimia shikamoo Kisha akaniambia umenyoa umekua handsome. Nikabaki kucheka tuu huku nikimuuliza hali yake akasema anaendelea vizuri basi nikapiga story na mama yake kidogo kisha wale madada then baadae nikawa huyoo narudi zangu nyumbani..... Kinachoniuma nilipata nafasi yakuongea nae sikufanya hivyo, niliamini ipo siku nikifanikiwa nisingemsahau kwani nimtu ambaye historia yake ilinigusa kwanguvu. kwasababu ya umaskini wangu nikashindwa kutoa msaada ambao ningehisi nimefanya. hivyo kila siku nilimuomba Mungu anitunzie mtoto huyu ili siku nitimize ahadi yangu na Mungu . Kabla hata sijafika huko leo Mungu umempenda zaidi mdogo wangu daah moyo unalia maumivu yamenijaa siwezi kueleza. Nenda mdogo wangu kipenzi nilitamani siku ukae na mimi kaka ako tuongeee mengii, nikawa nawaza nasema unkaa apa nje mazingira hayahaya kila siku Mungu akinipa gari basi niwe nakuchukua nawewe ukatembee urefresh. Leo umeamua unilize mimi kaka ako kabla sijafanya chochote kwa ajili yako . Mungu usiwaache waliohusika kumtetendea unyama mdogo wangu nakumsababishia mapito ambayo mimi na wewe tusingeweza kuyapita . PUMZIKA MREMBO WANGU NAKUJA MANZESE MDOGO WANGU" - Calvin Title Mwakajeba
131
😭😭😭
😁😁 Bibi kabla ya mechi akanywa malt kwanza
103
Mboga mboga mwenye Akili kidogo ni Salim tu kila siku nasema😂
HATA HIVYO HUYU BIBI NI MSAFI SANA BIBI ANALIA KAMA KIJANA, HAYA NYOTA ZIMESHAONDOKA UKO😂🫵
1
245
Lol anything is possible kwa hawa majangili
It’s impossible to believe the death of TAL’s brother and that little girl are a coincidence. We’re in hell and the devil is in charge.
109
Enough internet for me today
29
Jamaa anamwambia toa basi nione mvi 🤧😂
Video ya bibi iko forwarded many times mamamae hamna haya
17
Video ya bibi iko forwarded many times mamamae hamna haya
1
1
120
Kama watanzania tu hawa fucken
مارست الجنس مع ابن خالي في وقت سابق وقذف داخل الواقي الذكري وبعدها انتظرنا حوالي 20 دقيقة قبل أن نمارس الجنس مرة ثانية في المرة الثانية استخدم واقيًا ذكريًا جديدًا ومارسنا العلاقة بشكل طبيعي لمدة 15 دقيقة تقريبًا دون أي مشاكل لكن عندما غيرنا الوضعية وأثناء
418
Mnisamehe nilikuwa sijaona connection ya bibi😂😂😂
Mko 21 mna date men wako 37 wah mimi kipindi hiyo hapo hostel bestie akifungwa PS
1,191
Usikute yeye ndo mnorway😂😂
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Mahmoud Kombo (Mb.) amewasili jijini Oslo, Norway kwa ziara yenye lengo la kuimarisha ushirikiano baina ya Tanzania na Norway pamoja na nchi za Nordic. Baada ya kuwasili, Dkt. Kombo amekutana na ujumbe wa Tanzania kwa maandalizi ya Awamu ya Nne ya Mashauriano ya Kisiasa Baina ya Tanzania na Norway, ambapo pia atashiriki katika Mkutano wa 23 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Nordic na Afrika utakaofanyika Novemba 19 na 20, 2026.
1
174
Mnaweza bakia nae tu aki
I have today held fruitful bilateral talks with my sister, Her Excellency, Dr. Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania, at State House Entebbe. We discussed strengthening cross- border connectivity, expanding market access and facilitating the movement of goods and people to unlock shared prosperity.
1
158
Air Tanzania since 2024 alafu😂😂
Ndege 34 za Tanzania Zapigwa Marufuku Anga la Ulaya bbc.in/3UU9IcU
58
Did operation go bad? Maskini
Vijana wa Mbogamboga wakiona hivi ndo wanafurahi sana ase, binti mdogo ndoto zake zimezimika ghafla kisa power 💔🕊️
1
77
Bliz huyu huyu au mwingine🙂
God fearing person ni mtu mwenye hofu ya Mungu.The fact that you can’t rape, abduct or kill means una hofu ya Mungu. The fact that unaamua kufanya mema knowing unaweza fanya maovu means una hofu ya Mungu. GOD FEARING PERSON SIO MLOKOLE, NI MTU MWENYE HOFU YA MUNGU KAMA MIMI NA WW
1
2
141