Vision retweeted
I’ve been thinking about opening a Masterclass specifically for English-speaking traders.
I’ll be offering Forex mentorship for only $300 as a special launch offer since this is the first ENGLISH class.
WHATSAP
📲 +255 779 863 005
👉 wa.me/255779863005
NB: THIS IS FOR THOSE WHO SPEAKS ENGLISH ONLY
Vision retweeted
Cheat code iko wazi kabisa…
Consistency comes from repetition, discipline and learning from your mistakes 🔐
Tatizo linabaki kwenye utekelezaji tu 🙌
Vision retweeted
The time u decide u need alot of Money in Forex, it is a time u are going to loose everything.
Sokoni usielekeze shida zako, soko linatakiwa likupe pesa, ila sio likupe pesa nyingi Ili uue vipengele vyako.
Vision retweeted
Kwenye Forex tunasema the lower your target, the higher your chances of achieving it.
Yaani ni hivi, mtu (a skilled person) mwenye target ya kukusanya Pips 100 za Gold kwa siku ana chance kubwa sana ya kuwin zaidi kuliko ambaye anatarget pips 200 au zaidi. Sometimes what you need is to scale your Capital and decreases your Target Ili kujenga consistency. Na hii itakutengenezea Consistency. Thats why huwa nasema kama unaanza kujijenga kwenye Forex, ni vema ukajifunza kubobea kwenye Scalping then baadae ndio ushift kwenda ku Hold trades.
Kumbuka, Pips 100 ni chache kulingana na Lotsize unayotumia. Mmoja atafaidika kwa Dola 10 (0.01Lot) kwa pips 100 mwingine $100 (0.1Lot) na mwingine $1000 (1Lot) na mwingine $2000(2Lot).
So, sometimes ni kujitengenezea mindset itakayokufanya uwin zaidi ili confidence ipande, uwe na consistency kisha u-scale mtaji wako.
Kama ulikuwa unatrade na 0.01 kwenye mtaji wa $100 tafuta pesa ukawa unatafuta faida ya $20 kwa pips 200, Fund $1000 then, punguza target. Ukikusanya pips 100 kwa lot ya 0.1 ambayo mtaji wake ni kuanzia $1000 utaweza kutengeneza at least $100 kwa 100Pips.
Hapa target inakuwa achievable, unabuild consistency, confidence inaongezeka, bank inakua na mchuzi wa kutosha.
Kwenye trades 5 unazochukua kwa Low target, ni kawaida kuwin 3-4 au hata 5.
Lakini, kwenye trades 5 unazochukua kwa high target kuna chance kubwa ya kupoteza 4 ukawin moja au ukawin mbili au usiwin kabisa.
Na kama uko well skilled, unajua soko linatembeaje, kwa namna gani na kwa wakati gani 100 Pips is very easy Target to reach!
Lower your Target, scale your capital. Am done..
#Proffesor.
Vision retweeted
I bought Xau and Sold it!
Scalping Mode✅
Over 200+ Pips
Nice Wednesday
#Proffesor
Vision retweeted
XAUUSD SCALPING
200 Pips Down📌
Tuesday Has been nice😁❤
#Proffesor
Vision retweeted
Ushauri kwa Wanaoanza kutrade Forex, usianze kwa kujifunza Ku Hold trades. Jifunze kuscalp kwanza.
Kuscalp kutakupa Matokeo mapema, kutakupunguzia Njaa. Kutakupa pesa za kubadilisha mboga na Kukuza Mtaji. Jipe muda (a year or two years) then utaanza ku Hold trades.
Changamoto kubwa tuliyonayo sasahivi, wengi wanaanza kujifunza ku Hold trades, hii inawafanya iwachukue. Miaka mingi kuanza kuona Matokeo.
Kama trading haijaanza kukulisha, kwanini unahold? Scalp, pata pesa, Withdraw. Soko litakapokuwa limekulipa vizuri, umejipa muda wa kutosha unaweza kuanza ku Hold. Usihold trades na ndani huna unga. MIYEYUSHO!
Nimefanya vyote, nime master scalping na Holding vile vile. So nahold na nascalp lakini katika maamuzi bora ambayo nimewahi kuyafanya kwenye maisha yangu ni kuwa scalper bora kabla ya kuanza kuhold. Kuscalp kumeniondoa kwenye umasikini unaonuka lakini ku hold kumenipa Pesa nyingi sana.
Kuna vitu viwili, 1. Kuondoka kwenye umasikini 2. Kunipa pesa Nyingi.
Huwezi kupata Pesa nyingi kama wewe ni Masikini. Jivue kwanza Gamba la Umasikini, ndipo pesa zitakuja.
Huwezi kuhold ikiwa una njaa na una Madeni.
Develop scalping skills kwanza, then adapt psychology ya ku Hold trades after sometime. Tafuta hela sokoni, usitafute sifa.
Nimekuwa nikitrade Gold kwa kipindi chote tangu niijue Forex, nilianza kukusanya Pips 50-70 kwa ku scalp baadae nikascalp pips 100 nikahama mpaka pips 150 na sahii nahold mpaka pips 5000. This is a gradual process ya Makuzi. Nimejipa muda wa kukua na ku adapt.
Focus yako ya kwanza iwe ku acquire skills
Focus yako yapili iwe ni kutengeneza pesa za kusapoti life lako na Kwa kuscalp
Focus yako yatatu iwe ni kutengeneza Pesa ya kuwekeza (Holding) after kujipa muda wa kutosha...
#Proffessor
Kwa wanaohitaji kujifunza
Tuna nafasi 5 Kwa Masterclass pakee.
Nitakufundisha, Nitakusimamia na NITAKUFOKEA inapobidi mpaka uwe Bora. Ni Life Time Mentorship
Gharama ni 200K(LAKI MBILI)
Ukihitaji nicheki Kwa wa.me/255658891174
Kumfundisha mtu kutrade ni jambo la kwanza
Kumjengea Msingi imara wa kuendelea kufanya kitu kile kile kwa Matokeo chanya na endelevu ni jambo la pili.
Yote Kwa yote ni Baraka na uwezo wake MUNGU Pekee






























