UaTribalChief (@UATribalChief) profile picture

Man 2 Man

🇹🇿
Joined August 2024
Photo by UaTribalChief (@UATribalChief)Photo by UaTribalChief (@UATribalChief)Photo by UaTribalChief (@UATribalChief)Photo by UaTribalChief (@UATribalChief)Photo by UaTribalChief (@UATribalChief)Photo by UaTribalChief (@UATribalChief)Photo by UaTribalChief (@UATribalChief)Photo by UaTribalChief (@UATribalChief)Photo by UaTribalChief (@UATribalChief)Photo by UaTribalChief (@UATribalChief)
Hakuna Tambala kali kama hili la kikorea 2025...
1
2
186
NUSU MWAKA aliipata akiwa mbunge, na ya mwaka mmoja aliipata akiwa anaandaliwa kuja kuwa Waziri, na mtu akiteuliwa kuwa Rais apewe mafunzo maalumu ya ulinzi na usalama ya miezi sita. ( Theoretically), kwahio Rais anakuwa na jumla ya miaka miwili ya mafunzo.
2
54
wakirudi anytime wanawez kula teuzi kuhudumu kwenye wizara mbali mbali, kwahio mtu anakuwa waziri tayar ana mafunzo ya kijeshi na ameenda kulinda amani sudan or congo or any area ambayo kutakuw na uvunjifu wa amani, ana experience ya mwaka mmoja na NUSU,
2
55
Hii mission ilimsumbua sana jamaa 🔥🔥🔥clip kweny comments
4
1
4
128
💥वादे के अनुसार ये अभी मुझे फॉलो करने वाले दोस्तों का💯%Fbके साथ प्रमोशन💥👍🔄🤝 @AdityaKumarEcot @SonuMee95130992 @Kum_Adity_Pol @wisdommizh @bhupendra4004 @kum95732 @itSachinverma @Shivsha18124252 @UATribalChief @MrVijayTweets @1vikasyadav @llxx_unique_raj @prabhat_yadav13
6
11
9
315
UaTribalChief retweeted
Mbosso alizaliwa kuimba na kuandika 🔥🔥
125
238
28
2,062
112,525
Replying to @L_Crokin @julip202
Swala la break up , lipo pande zote msimtwike mzigo na pressure mtot wa kiume, wapo wanaume wanaachwa na wanawake, kwenye mazingira mabaya mtu upo naye leo kesho unaambiwa ameolewa, mtu anafanyiwa kila kitu na kitandan anakuita fundi, kesho unamkuta kwa juma, so ni kawaida
1
4
468
Avundike au mtaendelea kula ivo ivo... 😂😂
1
4
456
Ivi inakuwaje mtu ameigiza na kupata umaarudu ndani ya miaka sita, arfu kwa miaka mingine 8 mbele hajaigiza movie yeyote ile lakin vyombo vya habari vinamtambulisha na kumuita MUIGIZAJI NGULI WA FILAMU, HOW? 😪🥺, Mbona walomaliza lasaba 1998, hatuwaiti wasomi wabobezi? 😋😂
2
122
THE G. O. T Himself... 🤜🤛✊, The Greatest TZ Rapper of all time, dont ask me why😂
2
108
Karibuni Kigoma.... 😂
2
90
Huwa wanatuvimbia sana, couple mpya.. 😂
3
89