vispika vya masikioni π§ retweeted
First teaser for βDAY OF THE JACKALβ Season 2.
Releasing in March on Peacock.
50k unayotumia kwenye pombe au kumtumia girlfriend wako kila mwezi , peleka UTT au saving yeyote inayotoa annual compound interest lets say 12% .
19 yrs mbele , mwanao anapoingia chuo , utakuwa na 49 Million, ada + matumizi + mtaji akimaliza chuo
Be the best Parent
#ujuaji
vispika vya masikioni π§ retweeted
πΈπ 2008
#UCL
vispika vya masikioni π§ retweeted
A beautiful lady is lamenting that "if a woman cannot help you make money, bring in money, manage money then the bitch is not useful but worthless"
I concur with her.
vispika vya masikioni π§ retweeted
miaka michache tu iliyopita, ulikuwa huwezi kuishitaki serikali bila kupata idhini yake. yaani, ilikuwa ni lazima serikali ikukubalie kuishitaki ndiyo uweze kuishitaki. haiko hivyo sasa hivi, na ilimchukua mtu mmoja tu kubadilisha historia. TUNAWEZA!
π₯: @holy_mbise
vispika vya masikioni π§ retweeted
Swali ni hili: ikiwa deni linaongezeka, kwa nini matokeo ya ukuaji wa uchumi hayaonekani kwa kiwango kinachostahili katika maisha ya wananchi?
Ukuaji wa uchumi una maana gani ikiwa wananchi hawaoni maboresho ya kutosha katika kipato na hali zao za maisha? CCM ni tatizo.



























