Wanakutyefenga wewe
Fabregas ni kocha mzuri kuliko Arteta. Haya ni maoni yangu yaheshimiwe na nisifokewe. Kapandisha timu ya Como ligi mkuu, bajeti ndogo. Msimu wa pili Serie A Como ambayo haikuwahi kucheza Serie A sasa imefuzu ligi ya Mabingwa. Arteta angepewa hii timu hata ligi isingepanda 馃槉
Kadi ya Yanga ni Tsh 29,000 inapatikana matawi yote ya @CRDBBankPlc .
5
馃槀馃槀馃槀馃槀huyu jamaa bana
Replying to @jamalbashir10
Ni captain wa taifa gani? Hilo taifa lina ukubwa gani kisoka? Maddison vs Odegaard na Tomiyasu vs Ricardo Pereira?
8
馃槀馃槀馃槀馃槀
Replying to @GeorgeJob14
Shida ni kocha, Arteta siyo kocha tangu siku ya kwanza, sema mashabiki wao tuliwaambia tangu Ila hawasikii. Press conference zake analalamikaga tu pasipo kusema atafanya kipi cha ajabu ku improve.
6
Replying to @MarekaMalili
Arsenal wanataka kocha kibaraka ili wapige hela, hawana muda na mafanikio ya uwanjani
5



















