Wale wa nipe dawa za buku tu 😂😂😂
@Iam_Malunguja watu wako hawa
94
Replying to @TillahBlessed
@TillahBlessed anaeleza jinsi alivyo kutana na bulling kutoka kwa @Sativa255 na @Thereal_taivina hadi akatafuta mwanasheria😂😂
Sikiliza hii
Gen Z wa ufaransa wamevaa mavazi ya wale super heroes wa marvel 😂😂😂
Captain america anazuia maji yenye presha😂😂😂🙌🙌🙌
Admin wa tanesco ni Gen Z ona comment🤣🤣🤣
Kuna sehemu katumia kauli ya @Sativa255 ile ya "mwaga moto kama dragon" 🤣🤣🙌🏻🙌🏻 – at Tanzania
TRUE STORY
1: Siku moja kabla ya ndoa wazazi wanagundua mtoto wao wa kiume anaeoa amebadilisha dini kawa muislamu na kafunga ndoa ya kiisilamu na inamwezi mmoja, pia anamtoto ambae amezaa na bekitatu wa nyumbani kwa mke aliyekuwa anataka kufunganae ndoa ya kanisani pia 👇👇👇
2: pia wazazi wa mwanamke wanagundua mtoto wao amewahi toa mimba na anamahusiano na mwanaume mwingine nje na anaetaka kufunganae ndoa.
NDOA ZA MJINI HIZI😂😂🙌🙌
4
130
Ukikaa mjini unaweza sema inchi hii inawasomi wengii ila toke nje kidogo ya mji utagundua kuna kazi ya ziada inatakiwa ifanyike kwenye swala la elimu
1
109
Katika kitu waTZ hawajui ni namna ya kujieleza kwa daktari. Na ukimhoji sana upate taarifa wanaona unawasumbua na hujasoma. Wanafika mbali hadi wanauliza ivi ww ni mtaalam kweli.😂😂😂












