Tony Busisa retweeted
#Neno..LAKINI NAKUMBUKA JAMBO HILI MOJA.
Maombolezo 3:15-22.
Katika mapito haya ya kila siku, ni vyema kuwa na jambo moja unalokumbuka na linakupa matumaini. Mwandishi anasema anakumbuka kwamba Mungu ni wa huruma. Wewe unakumbuka jambo lipi? Tukutane Galilaya! #nurunaevahmwalili
Tony Busisa retweeted
Acha maneno yasemwe chuchumilia ndoto yako, fuata ndoto yako. @FlorenceMackenzi @EvahMwalili @Radio47_Kenya #nuru47jumapili #nuru47jumapili
Tony Busisa retweeted
Good morning hapoo.... umeamka? Ni Prayer Wednesday, Mungu wa vita ainuke, apiganie watoto wake, ushindi ni wetu! Pokea nuru, hapa ndipo! @EvahMwalili @Radio47_Kenya #NuruNaEvahMwalili
#NuruNaEvahMwalili
Tony Busisa retweeted
Ni mwisho wa mwezi, Bwana ametubeba, ametuhurumia, karibu kwa Himizo Friday, nuru is nuru, ipokee 馃. Unawakilisha area gani? Good morning 馃尀馃寗. @EvahMwalili @Radio47_Kenya #nurunaevahmwalili #nurunaevahmwalili
Tony Busisa retweeted
Goodmorning Wanaligi, karibu ndani ya Nuru 47 tupate kubarikiwa na kuinuliwaa na roho wa Mungu, tukiwa naye @EvahMwalili
#HapaNdipo #NuruNaEvahMwalili
Tony Busisa retweeted
Good morning 馃尀. Kumekucha, karibu kwa morning glory, Ni Ebenezer Thursday, Mungu msaada wetu馃檹. Umeamkaje? @EvahMwalili @Radio47KE #NuruNaEvahMwalili
#NuruNaEvahMwalili
Tony Busisa retweeted
#Neno.....ONJA UONE BWANA NI MWEMA. Zaburi 34:1-8..Hakika Bwana ni mwema, ni wa huruma, yeye hututia nuru na kufanya nyuso zetu zing'ae, ukimwita anaitika na kushughulika.. Onja uone Kwamba yeye ni mwema na ni vyema kumwamini. Tukutane Galilaya! #NuruNaEvahMwalili
Tony Busisa retweeted
#Neno...VAA SILAHA ZA MUNGU. Waefeso 6:10-13..Huwezi ukaushinda ulimwengu kwa kuishi maisha ya kawaida, lazima uvalie silaha za Mungu. Ulimwengu umejawa na nguvu za giza ambazo hupigani kikawaida, hapa unapambana kwa silaha za Mungu. Zivae!! Tukutane Galilaya! #NuruNaEvahMwalili
Tony Busisa retweeted
#Neno....BWANA YU KARIBU NAWE. Zaburi 145:18,19..
Unapomwita Mungu kwa uaminifu hatakubwaga atakuja! Atakupa matamanio ya moyo wako. Nakuombea katika Jina la Yesu, katika hali hii, Mungu akujibu na akupe matamanio ya moyo wako. Tukutane Galilaya! #NuruNaEvahMwalili
Tony Busisa retweeted
#Neno....OMBA BILA SHAKA MOYONI. Marko 11:20-24
...Yesu alipouambia mtini usizae kamwe, maneno yake hayakua na shaka na yalitimia. Nasi pia tukitamkia hali zetu, tukiomba bila shaka tutaona majibu ya ajabu. Believe and you will have it! Tukutane Galilaya! #NuruNaEvahMwalili
Tony Busisa retweeted
Uwe nguzo ya moto mbele yangu adui wakija wasiniweze. @ChrisMwahangila @EvahMwalili @Radio47KE #NuruNaEvahMwalili #NuruNaEvahMwalili
Tony Busisa retweeted
Unikumbuke Bwana, unipe ushuhuda. Peninah Na Hannah! @SolomonMkubwa @EvahMwalili @Radio47KE #NuruNaEvahMwalili #NuruNaEvahMwalili
Tony Busisa retweeted
#Neno...WAKATI UNAPOWADIA, FULL TIME! Luka 1:24-25, 57-58....Wakati wako ukiwadia, Mungu atafanya watu wasikie, waone na washukuru Kwa Kile kimefanyika, maana kitakuwa cha kupendeza. Tulia, Mungu atarembesha ushuhuda wako kabisa! Tukutane Galilaya! #NuruNaEvahMwalili
Tony Busisa retweeted
#Neno..UNAJUA NINI KUHUSU MUNGU? Yona 4:1-4..Yona alijua Mungu ni wa huruma sana na Ninawi wakitubu atawasamehe na hivyo ndivyo alifanya, aliwasamehe. Muhimu sana kumjua Mungu, those who know their God shall do exploits, unajua nini kumhusu?Tukutane Galilaya! #NuruNaEvahMwalili
Tony Busisa retweeted
#Neno....ILI KUFIKA GALILAYA LAZIMA UWE NA USHUJAA!
Yoshua 1... Lazima Yoshua angejikaza sababu maisha ya Waisraeli yalikua katika mikono yake. Ujasiri wako utasababisha wale Mungu ameweka mikononi mwako kufika Galilaya, gather courage Tukutane Galilaya! #NuruNaEvahMwalili
Tony Busisa retweeted
#Neno...YESU ANAELEWA UNYONGE WETU. Waebrania 4:14-16...Yesu aliteswa, akajaribiwa, akalia na hivyo anaelewa unyonge wako,unapotengwa na kuteswa. Alijaribiwa lakini hakutenda dhambi, tuje kwake kwa ujasiri ili tupokee huruma wakati wa shida. Tukutane Galilaya! #NuruNaEvahMwalili
Tony Busisa retweeted
What you thought was going to limit the rest of your life鈥攖he bad break, the disappointment, the mistake you made鈥攖hat is not how your story ends. Beauty is coming, restoration is coming, healing is coming, favor is coming.
Tony Busisa retweeted
Ninachokuomba ni uwe nami Baba. @SolomonMkubwa @EvahMwalili @Milele_FM #BarakaZaMilele #BarakaZaMilele
Tony Busisa retweeted
Good morning 馃尀馃尀 it's our prayer and fasting Wednesday, God is faithful, He will not throw away your request, He is answering. Subscribe to Mama Taifa Evah Mwalili You Tube Channel! @EvahMwalili @Milele_FM #BarakaZaMilele #BarakaZaMilele
Tony Busisa retweeted
#NenoLaLeo... MUNGU HATAKUSAHAU! Isaya 49:15,16
Lakini Mwenyezi-Mungu asema, 鈥淛e, mama aweza kumsahau mwanawe anayenyonya, asimwonee huruma mtoto wa tumbo lake? Hata kama mama aweza kumsahau mwanawe, mimi kamwe sitakusahau. @EvahMwalili @Milele_FM #BarakaZaMilele










