SuleTollaBoi Abusaid (@SuleTollaBoy) header
SuleTollaBoi Abusaid (@SuleTollaBoy) profile picture

+255713777418| Tzee | Dar | Kino Tolla Bway

Kinondoni/Dar_Es_Salaam
Joined January 2013
Photo by SuleTollaBoi Abusaid (@SuleTollaBoy)Photo by SuleTollaBoi Abusaid (@SuleTollaBoy)Photo by SuleTollaBoi Abusaid (@SuleTollaBoy)Photo by SuleTollaBoi Abusaid (@SuleTollaBoy)Photo by SuleTollaBoi Abusaid (@SuleTollaBoy)Photo by SuleTollaBoi Abusaid (@SuleTollaBoy)Photo by SuleTollaBoi Abusaid (@SuleTollaBoy)Photo by SuleTollaBoi Abusaid (@SuleTollaBoy)Photo by SuleTollaBoi Abusaid (@SuleTollaBoy)
Jindae kutangazwa na konki huna mazinda/mtangazaji choko kazi Yako kuuza maniga/simu zangu hushiki ikiita unahisi mkuda anapiga/msiweze nyimbo za unju wekeni ile ya luda na jigga/ Katiba mpya ya @NikkiZohan
50
Shule wanazojenga watoto wao hawasomi,wakiugua wanalazwa hospital zamamtoni,na nabado kuwachagua hamkomi,Kwa huo ujinga umaskini na maradhi hamponi #katibampya ya @NikkiZohan
4
2
89
SuleTollaBoi Abusaid retweeted
Kama Twaha Kiduku kweli anamtaka Mwakinyo, aweke Crown yake washindanie!
29
12
2
715
Dah!sijangia siku nyingi huku kumbe kumenoga ndugu zangu mnaikumbuka hii @NikkiZohan @pmawenge
Tukutane taifa insha Allah kuangalia chama letu @SimbaSCTanzania
Tukutane taifa insha Allah Yes We Can!
1
Ivi hawa ni ndugu Unju wakota na Daudi wakota?@NikkiZohan @DAUDIWAKOTA
2
5
Anawatakia usiku mwema jamani
2
Kila la kheri chama langu la simba na pia majirani zetu ila aliyemuuza kipa wetu manyikajr mungu anamuona @mshambuliaji
Serekali ya kenya ziachien televisheni zifanye kazi zake kuzifungia sio tija@Salym
@mshambuliajiOscar kamaliza kila kitu ligi ya znz ingekua inaoneshw kwenye tv mambo ya uonevu yangepungua ni kweli jana jang'ombe wamebebwa
SuleTollaBoi Abusaid retweeted
Happy bday mwanangu @nikkimbishi Moja kati ya vipaji vikubwa sana vya HIPHOP ambavyo Tanzania imebarikiwa kuwa Navyo.. #Stay Blessed SON.
2
5
30
Jambo muhimu kwako nilile usilolijua
4
ALHAMDULLILLAH MTOTO WANGU MPYA WAKIUMME ANAENDELEA VIZURI SO SIO TENA BABA WAWILI NOW WATATU
1
3
Bado masaa kazaa tu shuhuli zianze
1
Ijumaa mabrouk tujitahid kufika masjid mapema na kusoma surat kahfi
6