Simple Girl retweeted
Ukifanikiwa kusogea kimaisha jitahidi sana sana usilete dharau kwa wale uliowaacha stage uliyopita. Maisha ni kama Dar to Arusha, ukiidharau Mombo wakati wa kwenda, utaikuta wakati wa kurudi.
Simple Girl retweeted
jifunze kumsikiliza mtu sio kumsikiliza ili umjibu but kusikiliza ili ujifunze watu makin wansikiliza kuliko kuongea sana kuna nguvu katiko hilo,😌
Simple Girl retweeted
Haijalishi umefeli kiasi gani katika maisha jifunze kukataa ofa zinazokuja kwa kukukosea heshima na kushusha thamani ya utu wako
Simple Girl retweeted
Usijipendekeze kwa mtu kiasi cha kumfanya aamini yeye ndio kila kitu kwako atakutesa sana. Iwe katika mapenzi au maisha
Simple Girl retweeted
Kuna magumu tunayopitia,kuna maisha tunatamani kuyafikia,halafu kuna Mungu tunayemtegemea. Kwakwe yy ndiyo tumaini letu lilipo,hivyo hakuna kukata tamaa huku tukiendelea kupambana kwa nguvu na akili zetu zote.
Tukawe na siku nyingine njema na Mungu akafanye wepesi kwetu🙏🙏
Simple Girl retweeted
Katika kitabu cha maisha kila mmoja ana ukurasa wake wa siri ambao hawezi kuusoma kwa sauti kubwa
Simple Girl retweeted
Ila kama una mambo zako zinazohitaji privacy ya hali ya juu, wewe kutana na jamaa zako ana kwa ana tuu.
Simple Girl retweeted
Relationships at young age can kill your happiness sometimes. Focus on levelling yourself up and take care of your own self.
Simple Girl retweeted
Hizi ndio tweets usipate bila kuretweet🙏🏽
Binti ana diploma ya pharmacy na anatafuta kazi hapa Dar au Morogoro
Muajiri wake anaweza kua humu humu, watumie watu unaohisi wanatafuta pharmacist
Number zake za cm 0742141696
Simple Girl retweeted
Nimekupambania sana uhai wako mke wangu,siamini leo umenitoka na umeniachia mtoto mdogo wakumlea sielewi niataishi vipi bila uwepo wako nyumbani mke wangu.Jina la bwana Mungu lihimidiwe binadamu ni mavumbi na mavumbini utarudi.Lala salama mke wangu safari umeimaliza 🙏🏽
Simple Girl retweeted
Kujaza nafsi yako na negativity, hisia za kuonewa, hisia za kutokujaliwa, hisia kwamba wewe sio chochote kwa wengine ni kitu hatari sana kwa afya yako ya mwili na akili.
Jipende.
Simple Girl retweeted
Siwafundishi Kazi La Hasha!
Lakini Nadhani Atleast Linge2mika Neno Jingine Badala Ya GAIDI!
1. Lina Ukakasi Sana/Linash2a Hasa Watoto We2,Wanajua Ni Vita,Hatujazoea Hivyo.
2.Linakinzana Na Kauli Za Kwamba cc Ni Kisiwa Cha Amani!
Ugenn Wanabisha Ha2na Amani Wakisikia Hilo Neno
Simple Girl retweeted
Hili ndio tatizo la viongozi wa Taifa hili.
Ndio maana tunataka katiba mpya
Itakayounda Taasisi imara.
Sio Rais anataka watu wanakubali kila kitu kutoka kwake
#KatibaMpyaMovement @KatibaMpyaTZ @kigogo2014
Simple Girl retweeted
Mwenyekiti wa CCM @SuluhuSamia naomba nikukumbushe kuwa, kama vikao vya chama vitamvua uanachama Mchungaji Gwajima, atakoma kuwa Mbunge.
Si sawa kuwa na kiongozi anayewaombea madaktari wetu mauti hasa kipindi hiki wachojitoa kuokoa maisha yetu.
Abaki na ujabali wa Mbinguni.
Simple Girl retweeted
Ukipita pale Fire unawakuta kwenye gwaride unaweza kudhani ni watu wapo serious kweli.
















