
Stay up to date with the latest news as well as hearing what people are saying on Twitter about Simba Sports Club. #NguvuMoja 🦁💪 #SimbaTOTFans #SSC
🇹🇿
Joined December 2020
- Tweets1.1K
- Following3
- Followers8.6K
- Likes445
Simba TOT Fans 🦁💪 retweeted
Waliotegemewa kuleta kipengele cha dabi tumewala.
Mtani dabi haina kipengele, tukutane June 15, 2025 🤩 #NBCPremierLeague #WenyeNchi #NguvuMoja
Simba TOT Fans 🦁💪 retweeted
Namna tulivyowashughulikia wajelajela wa Tanzania Prisons. #WenyeNchi #NguvuMoja
Simba TOT Fans 🦁💪 retweeted
Hongera sana Vslentine Nouma kwa kupata mke
Asante kwa kutuongezea mwanamsimbazi 🔴
@SimbaSCTanzania @SimbaTOTFans
Simba TOT Fans 🦁💪 retweeted
Kila la heri mnyama,Mungu awe pamoja nanyi
Pambania nchi,mtuletee heshima
@SimbaSCTanzania @SimbaTOTFans
🦁💪
Simba TOT Fans 🦁💪 retweeted
Huu ndio msimamo wa Klabu ya Simba uliobarikiwa na viongozi wote. #WenyeNchi #NguvuMoja
Simba TOT Fans 🦁💪 retweeted
MILIO YA SOLD OUT IMEKUWA MINGI SANA 😂😂
Anyway tuachane na mambo ya sold out..!!
Ukiwa Shabiki wa Simba kutokea jamii hii ya X basi tuungane kesho pamoja pale MSIMBAZI SEKONDARI tukafanye jambo la kijamii kwa wanafunzi wenye uhitaji.
Kama utakuwa na chochote usisite kuwasiliana na admin wa @SimbaTOTFans
Muda: Kuanzia saa 6 na nusu mchana.
#UbayaUbwela
Simba TOT Fans 🦁💪 retweeted
Leo tumetembelea shule yetu ya MSIMBAZI kama sehemu ya programu yetu ya kuwafikia mashabiki wachanga wa SSC.
Tumebadilishana nao mawazo na kuwahamasisha umuhimu wa elimu na michezo.
Tunawaushukuru uongozi wa shule kwa mapokezi mazuri.
#UbayaUbwela #NguvuMoja #SimbaDay
Simba TOT Fans 🦁💪 retweeted
Happy birthday Semaji
@ahmed__ally
#NguvuMoja
Simba TOT Fans 🦁💪 retweeted
Ukiacha utani wa Jadi humu, ushabiki, tofauti zetu za Vyama vya Siasa, mitizamo ya mambo, na hali zetu za kimaisha bado tunaunganishwa pamoja na utu wetu, ubinadamu wetu, utanzania wetu na Mpira wetu!!
Mashabiki wa @SimbaTOTFans humu leo tumefanya jambo la Maana kabisa! 🙌
Simba TOT Fans 🦁💪 retweeted
Tumepokelewa vizuri nyumbani MSIMBAZI na tumeondoka tukiwa na shauku ya kurejea tena.
Mioyo yetu inasikia fahari kwamba tumeshiriki WIKI YA SIMBA kwa kuigusa jamii yetu.
Sasa tuna CLUB makhsusi ya SIMBA SC Junior Supporters MSIMBAZI Sec.
#UbayaUbwela #NguvuMoja #SimbaDay
Simba TOT Fans 🦁💪 retweeted
Mashabiki wa Simba @SimbaTOTFans Wamejitoa Kuwasaidia wanafunzi ikiwa ni Wiki ya Simba Day
Hii ni kuonyeshaa Furaha na Upendo kuungana na wengine kwenye siku mhimu ya Simba Day Tarehe 3
Simba TOT Fans 🦁💪 retweeted
#UbayaUbwela
Tukutane kwa Mkapa!!
Simba TOT Fans 🦁💪 retweeted
SSC fanatics, SIMBA DAY is here.
Nunua tiketi mapema usikose vibe la #UbayaUwela
#NguvuMoja #SimbaDay
Simba TOT Fans 🦁💪 retweeted
🤟 Balua 🫂 Ngoma 💪 #WenyeNchi #NguvuMoja
Simba TOT Fans 🦁💪 retweeted
...Usikose baadae Mashabiki wa Simbaaa wote tutakuwa na space Kujadiliana Mambo ya timu yetu
xitter.cf/SimbaTOTFans/status/17…
Set a reminder for my upcoming Space! xitter.cf/i/spaces/1eaJbgrEwgexX
Simba TOT Fans 🦁💪 retweeted
Tuko pamoja mpaka ituue. Saa 12 jioni tutakuwa hapa tukijadili Mfumo wa uendeshaji wa Simba Sports Cluba. Hii si ya kukosa. ##NguvuMoja
Set a reminder for my upcoming Space! xitter.cf/i/spaces/1eaJbgrEwgexX
Simba TOT Fans 🦁💪 retweeted
...Boss @moodewji ametumia zaidi ya bilioni 50 katika kipindi cha miaka 6 kuijenga Simba.
Bajeti impeanda kutoka bilioni 3 mpaka bilioni 20, Simba imeingia robo fainali za Africa mara 5 Mfululizo sio ile mara moja toka timu aanzishwe kama wale Nyuma Mwiko, ubingwa wa ligi mara 4 Mfululizo huku tukiwa na Makocha wakubwa Wenye Uwezo Mkubwa
Simba imekuwa Klabu ambao iko kwenye 10 bora za Afrika ukitaja Timu Wenye utajiri mkubwa hii hiyo sababu ya Uwekezaji wa MO.
Simba TOT Fans 🦁💪 retweeted
Kesho nani atafungaa goli la kwanza la Simba Jibu sahihi wa kwanza atajishindia Elfu 10 #NguvuMoja #MwenyeNchi



































