Happy Birthday Mume Wangu ….. Dua Ni Ile Ile Afya Tele , Umri Mrefu Wenye Kheir na Wewe pamoja Na Mungu Wako ! Kisha Pesaa Nyingi Zenye Kheir Nasi ❤️! Mimi Na Wanao Hatutoboi Bila Wewe @PapiChulo_Chuly
SHAHICHULY retweeted
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki zoezi la upigaji kura katika Kijiji Cha Chamwino mkoani Dodoma.
SHAHICHULY retweeted
Kudos Tume ya Uchaguzi, utaratibu ni mzuri, waongozaji ni wengi, vyumba vya kupiga kura ni vingi
SHAHICHULY retweeted
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akionesha alama ya wino kwenye kidole mara baada ya kupiga kura katika Kituo cha Ofisi ya Kijiji Chamwino mkoani Dodoma tarehe 29 Oktoba, 2025.
SHAHICHULY retweeted
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepiga kura katika Kituo cha Ofisi ya Kijiji Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 29 Oktoba, 2025
SHAHICHULY retweeted
Ahsanteni sana Mwanza. Ahsanteni sana Watanzania.
Shukrani kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa kutujaalia kuhitimisha salama kampeni, baada ya safari ya miezi miwili ya kukutana na kuzungumza na wananchi.
Kote nilipopita nimefarijika kwa wingi wenu, nimefurahi kwa hamasa yenu na kupata nguvu zaidi kwa ukarimu na upendo wenu. Nimeona namna ambavyo nchi yetu inaendelea kupiga hatua kubwa za maendeleo kupitia kazi ambazo Serikali imefanya, na nimesikia sauti zenu kwa yale ambayo mngependa Serikali itekeleze katika kipindi cha miaka mitano ijayo.
Jukumu letu sasa ni kujitokeza kwa wingi kesho, Oktoba 29 na kupiga kura kwa amani na utulivu. Ahsanteni kwa uelewa wa pamoja kuwa, yote tunayotamani nchi yetu iyafikie katika kipindi cha miaka mitano ijayo yatawezekana kwa kuchagua wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Ninawapenda sana.
Mwenyezi Mungu awabariki sana.
Mungu Ibariki Tanzania.
SHAHICHULY retweeted
Picha ya Mama na Waandishi.
Wanangu Asanteni sana kwa safari ya siku 60 katika mikoa yote tuliyopita kukutana na Wananchi.
#Oktoba29TunatikiSamia
SHAHICHULY retweeted
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Musoma katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, mkoani Mara tarehe 09 Oktoba, 2025.
SHAHICHULY retweeted
Ahsanteni sana Bunda na Musoma kwa ukarimu, upendo na kujitokeza kwenu kwa wingi leo, nilipoanza mikutano ya kampeni katika Mkoa wa Mara.
Ninawapenda sana. Mwenyezi Mungu awabariki sana.
SHAHICHULY retweeted
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Simanjiro, Christopher Ole-Sendeka amewashauri ambao hawakuteuliwa na Chama cha Mapinduzi kugombea nafasi mbalimbali kuvuta subira na si kununa.








































