Tee❤️ (@Secondsisie) header
Tee❤️ (@Secondsisie) profile picture

PRO✍️ Braids 🤗 🥰 Azam FC fan💙🤍

Joined July 2021
Mithali 29 1 Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo, Atavunjika ghafula, wala hapati dawa. 2 Wenye haki wakiwa na amri, watu hufurahi; Bali mwovu atawalapo, watu huugua. 3 Apendaye hekima humfurahisha babaye; Bali ashikamanaye na makahaba hutapanya mali. Mungu ni wetu sote 🙏
5
9
14
1,327
Tee❤️ retweeted
Kwenye safari hii usiende na Fala, utalia kuliko ambulance binti sayuni😂💔🤝.
7
11
53
1,445
Tee❤️ retweeted
Kumbe kuna tofauti kati ya mwanamke mzuri na mwanamke mrembo.
6
11
31
609
Kuna aibu zinakujaga automatically ugenini💔imagine unaingia chooni unakuta kuna Mjinga kachafua ile unatoka kutafuta maji uweke mazingira sawa kanaingia katoto, kanatoka nduki kwenda sebuleni(pale watu shazi)kwa mbali unasikia, Mama mgeni kaingia toilet lakini hajamwaga maji😅🙌
5
15
31
520
Now nimeelewa Kwanini watu wengi waaamuaga kupotea na kwenda mbali na kuanza upya🤦Napitia wakati mgumu sana now 💔
91
62
8
509
13,290
Replying to @AmRosalinee
Aliyepo nyuma ya ofisi hii kama sio @Ugeniaconso basi Ni @Sincerelyrahma7 😂😂😂😂
3
1
4
155
UNATAKA KUUZA NYUMBA, KIWANJA AU SHAMBA?! 🏡🌍 GEOTRAVERSE GROUP OF COMPANIES tunakuunganisha na wanunuzi na kukusaidia kutangaza mali yako kwa ufanisi. Tuna uzoefu katika masuala ya ardhi na mali isiyohamishika. Tuamini tukusaidie kupata soko la mali yako. 📞 0719 336 667 | 0763 782 274 (WhatsApp) 📍 Dodoma, Barabara ya Tisa GEOTRAVERSE – Ardhi ni Maisha. #GeoTraverse #GeoConstructors #RealEstateTanzania #Viwanja #Nyumba
3
32
3
33
950
Jamani tunaombeni msitunyime hizo reposts maana hataivo siku hizi si hazikai kwenye main grid?! Sa zitakupunguzia nini ukirepost hata profile nzima ya mtu?!🥹🤲
7
30
56
1,037
Good morning x family ✨️
11
20
28
493
X wajuaji ,eti mwanaume akikwambia take care maana yake ni nini ?😂😂😂Kuna vitu sielewi aisee
99
81
22
341
22,962
Tee❤️ retweeted
Humu niko mwaka wa 9 huu bado sijaona mwanamke mzur kuliko Lrt
5
13
1
54
2,250
Hivi safaricom na vodacom ni mtandao mmoja?
7
15
36
1,153
Leo Ni siku ya 6 Natamani kuzima taa usiku nikashika kioo alafu nikawasha mshumaa nikawa najiangalia kwenye kioo ila Mwanga ninaotumia Ni Wa mshumaa nione nitapata hisia gani na nitaona taswira gani ila naogopa balaaa😂😂bado sijajaribu ila naogopa hivi😂
21
19
2
245
16,273
MANJALE LUXURY Travel in Style MANJALE LUXURY! 🚌✨ Safari za kifahari hapa ndio nyumbani Ubora, faraja na hadhi vinakutana katika safari moja ya kipekee. Kutoka Geita, tunakuletea kiwango kipya cha usafiri.
1
2
7
295
Leo nimetega sijaenda jumuiya, walioenda wanarudi wanakuja kuniambia, Mthesalonike Leo Wadada kibao wamekuja jumuiya tena wengi wao ni wageni. Aisee nimetamani hata masaa yarudi nyuma, kwanini imekuwa hivi Leo💔 onhoops my almighty God imekuwaje Leo sijaenda jumuiya? Poor Me💔🥲
13
25
1
38
761
😂😂🤣 heeeeeeeeee kwamba kila tukisaidiwa kuna ka issue tusikilizie💔💔💔 kweli tunatofautiana akili
Jamani hivi wanaume wengine wamelelewa kwenye maadili ya aina gani? Naombeni ushauri maana kuna jambo limenitokea mpaka nimebaki na maswali mengi. Mimi ni mwanamke, ninaishi kwenye nyumba ya kupanga na kuna kaka mmoja ni mpangaji mwenzangu. Siku moja nilikuwa nimekwama kwenye mambo ya kodi, nikamfuata kumuomba anikopeshe laki moja. Kwa kweli alinipa bila shida yoyote. Baada ya muda nilipopata pesa nikamfuata nikamwambia nataka kumrudishia laki yake. Akaniambia, "Usijali, baki nayo tu ufanyie mambo mengine." Mwanzoni nilidhani labda ananionea huruma, lakini moyoni nikaanza kuhisi huenda kuna jambo analotaka kwangu ila anashindwa kusema. Kwa kuwa nilitaka kujua kama kweli alikuwa na nia nyingine, siku moja nikamwambia tena kuwa aniazime elfu hamsini Akanipa tena Siku zikaendelea, lakini cha kushangaza hakuwa ananitongoza, hakuwa ananitumia meseji za mapenzi wala kuniomba chochote. Nilianza kujiuliza huyu mwanaume anataka nini hasa? Siku nyingine mama yake alimletea kuku, akaja kuniambia nipike. Nilipomaliza kula naye akanisifia sana kuwa nimepokea vizuri na anaipenda namna ninavyojua kupika. Mimi nikazidi kupata matumaini kwamba kuna kitu kinaendelea moyoni mwake, maana si kawaida mwanaume kukufanyia mambo yote hayo bila sababu, nikajipa moyo kuwa labda siku moja atafunguka. Sasa jana ndiyo nimepata pigo ambalo sijalitarajia. Kaka huyo amenialika kwenye harusi yake! Yaani kumbe ana mwanamke mwingine anayemuoa! Jamani nimeumia sana, mpaka sijui kwa nini nimejisikia hivi. Ni kama vile alikuwa mpenzi wangu halafu amenisaliti, wakati ukweli hatujawahi hata kuzungumzia habari za mahusiano. Sasa najiuliza, kama hakuwa na nia yoyote kwangu, kwa nini alikuwa anakataa pesa yangu? Kwa nini ananipa mambo ya kupika na kunisifia kiasi kile? au labda amelazimishwa kumuoa huyo mwanamke lakini moyo wake upo kwangu🤔 Naombeni ushauri, je, nimrudishie tu ile laki moja kabla hajaoa au niache kama alivyonambia? Maana kwa sasa hata kwenda kwenye hiyo harusi sina moyo kabisa.
81
🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂💔💔💔💔💔💔
Dogo alifeli form four 2023, alipata four ya 32. Sababu alikua anataka kwenda advance tukamtafutia shule akarudie mtihani, akaanza form three tena 2024, mwaka jana amemaliza form four matokeo yametoka janja kapiga zero. Hii familia ni kama wote tulilaaniwa hv.
1
90
Anaeenda kama Gabby mafursa waleteee
Huwezi kuwa ombaomba kila siku hadi unakosa shilingi elfu mbili ya Vocha na unakaa unafurahia. Nakupa fursa moja tu kwa Leo ifanyie kazi. Nunua kilo mbili za Karanga, Kilo moja ya Karanga kwa bei ya sasa hivi ni 3600/=, kilo mbili ni 7200/= Nunua na vifungashio 2k. ⤵️
1
3
4
146
Unapitia post za watu kuhusu yaliyotokea 29 October hadi mwili unasisimka watu wanaandika kwa machungu sana. Hatutasahau Hatuwezi kusahau. 💔🕊
6
33
81
674
Hatutakuja kusahau .💔🕊
5
40
90
775
29/10. In my head daima💔 – at Kenya
20
155
1
396
6,748