
LUCE AWARD 2024|Engineer| Clean Energy Innovation, UNIDO GLOBAL CALL 2023|Renewable Energy | Psalm 23:1-6.| @Gilsun_Tz @|For business giliourjoy@gmail.com
Arusha, Tanzania
Joined March 2017
- Tweets2.6K
- Following755
- Followers672
- Likes15.2K
Pinned Tweet
Thank you @EUI_FSR for a networking and learning sections .
In addition to the Green Deal course,
Grateful to be part to this remarkable community.
#LUCEAWARD2024
#LightOnWomen
#Energy
Suzana Fred retweeted
Mambo ya mahusiano yako. Mambo ya ndoa yako. Mambo ya familia yako. Mambo ya watoto wako. Mafanikio yenu na hatua nzuri mnazopiga kimaisha.
KAMWE USIYAANIKE mambo hayo mitandaoni.
Mitandaoni kuna uchawi mwingi na wachawi wengi kuliko mtaani. Nasema.
Unless tenki lako la maombi limejaa na imani yako katika Yesu imeizidi ile ya Mtume Paulo, funika mambo yako na ya wale uwapendao dhidi ya mitandao.
Huku mitandaoni hubiri injili tu. Tangaza habari njema.
What excuse do you have not to install/invest in #Biogas
Remember #Climate_change hits us all
Let's save more on energy by utilizing the #Organic_wastes around us (homes & farms)
#Biogas is renewable, reliable and clean giving us a great alternative fertilizer that's rich and organic
Call 0783111015
biogassolutions.co.ug
Asante sana sis @DorothNengai
2
29
Unataka kununua nyumba?Nyamaza kimya.
Unataka kununua gari? Nyamaza kimya.
Unataka kuoa/kuolewa? Nyamaza kimya.
Unaenda mapumzikoni? Nyamaza Kimya.
Unaenda masomoni? Nyamaza kimya.
Umepata Promotion Kazini?Nyamaza kimya.
99%ya sababu kwa nini hatufikii ndoto zetu,ni kwa sababu tunaongea mipango yetu mapema sana kwa Watu ambao siyo sahihi na wakati ambao siyo sahihi.
3
45
Karibu kujipatia jiko letu la #Fireless Stove Kwa kupunguza matumizi ya nishati kwa hadi 50%, jiko hili linasaidia kutunza joto la chakula lako kwa muda mrefu, kupunguza gharama, na kusaidia kutunza virutubisho vya chakula chako.
#Nishatibora
#NishatiSafiNiKutunzaMazingira



























