Saleemap retweeted
REDEOA wampa Tuzo Rais Samia kwa Kuleta Mapinduzi Sekta ya Elimu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amepatiwa Tuzo maalum kwa ajili ya kuleta Mapinduzi katika Sekta ya Elimu nchini Tanzania.
@AngellahKairuki
Saleemap retweeted
Rais @SuluhuSamia amepatiwa Tuzo maalum kwa ajili ya kuleta Mapinduzi katika Sekta ya Elimu nchini Tanzania.
Tuzo hiyo imepokelewa kwa Niaba yake na Waziri wa TAMISEMI Mhe @AngellahKairuki Jijini Mwanza Imetolewa na Umoja wa Maafisa Elimu wa Mikoa na Halmashauri (REDEOA). 🙏 – at Dar es Salaam, Tanzania

















