Stephen M. Wasira BA, MPA , MA retweeted
WASIRA ATETA NA JAJI WARIOBA, MZEE BUTIKU
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wastaafu wa serikali.
Viongozi hao ambao amekutana nao leo June 4, 2025 jijini Dar es Salaam ni Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Waryoba pamoja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku ambaye pia amewahi kushika nyadhifa mbalimbali serikali.
Stephen M. Wasira BA, MPA , MA retweeted
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Steven Wasira, Awasili Mbozi kwa Ziara ya Siku Tatu Mkoani Songwe.
Mbozi, Machi 14, 2025 – Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Steven Wasira, amepokelewa kwa shangwe na wanachama wa chama hicho alipowasili katika ofisi za CCM Wilaya ya Mbozi leo.
Wasira anatarajiwa kufanya ziara ya siku tatu katika mkoa wa Songwe, ambapo atakutana na viongozi wa chama na serikali, pamoja na wananchi, kujadili maendeleo ya mkoa huo. Ziara yake inalenga kusikiliza changamoto zinazowakabili wananchi na kuimarisha utekelezaji wa Ilani ya CCM.
#KazinaUtu
#TunasongaMbele
Stephen M. Wasira BA, MPA , MA retweeted
Sisi Chama cha Mapinduzi tunasema hakuna kazi bila utu, kwani tunawahudumia Wananchi na kuhakikisha tunawapatia maendeleo wanayostahili kwa ueledi wa hali ya juu.
CCM 2025 ✅,
KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE
Stephen M. Wasira BA, MPA , MA retweeted
Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Mhe. Stephen Wasira wakati wakisafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Mkoani Dodoma kwa usafiri wa Treni ya Umeme ya Kisasa (SGR) leo tarehe 08 Machi 2025.
Stephen M. Wasira BA, MPA , MA retweeted
#Jasusi anatoa pongezi za dhati kwa Mheshimiwa Rostam Aziz kwa kukemea utekaji na kutoa rai kwamba Watanzania wakatae nchi kurudishwa zama za giza. Kwanini anastahili pongezi? Kwa sababu angeweza tu kujikalia kimya but he chose not to 👏👏👏
Stephen M. Wasira BA, MPA , MA retweeted
Juu ya uhuru wa watu, hatuwezi kubishana. Watu hawawezi kusema kuwa wana maendeleo, na katika nchi yao hawawezi kutembea kwa uhuru, wanaogopa, wana hofu, wanadhani kwamba asubuhi yoyote wakisikia mlangoni “kwaa kwaa kwaa” wanadhani kaja mtu anakwenda kuwafunga.
Stephen M. Wasira BA, MPA , MA retweeted
Replying to @SMWasira
Mh Kwenye Profile Yako Unajitambulisha Kama Wazir Pia Ni Mbunge Nijuavyo Mimi umekosa Vyote
Stephen M. Wasira BA, MPA , MA retweeted
Mhe. Stephen Wassira akisalimiana na Mhe. John Magufuli akiwasili makao makuu madogo ya CCM Lumumba.#UmojaNiUshindi
Stephen M. Wasira BA, MPA , MA retweeted
#umoja #uadilifu #na #uongozi #bora #kwa #maendeleo #ya #taifa #wasira2015
"KUJENGA NCHI NI KUJENGA… instagram.com/p/3ZT7SMGEWe/
Stephen M. Wasira BA, MPA , MA retweeted
Stephen M. Wasira BA, MPA , MA retweeted
#umoja #uadilifu #na #uongozi #bora #kwa #maendeleo #ya #taifa #wasira2015
Usikose kupata nakala… instagram.com/p/3YHNG0mEQZ/
Stephen M. Wasira BA, MPA , MA retweeted
Wasira, "Leo nimekuja hapa Mwanza kuvunja ukimya na kumaliza minong'ono" Jipatie nakala yako ya… instagram.com/p/3YFa4FGEe6/
Stephen M. Wasira BA, MPA , MA retweeted
#umoja #uadilifu #na #uongozi #bora #kwa #maendeleo #ya #taifa #wasira2015
Wananchi wakimsikiliza… instagram.com/p/3W7C1PGESi/
Stephen M. Wasira BA, MPA , MA retweeted
#umoja #uadilifu #na #uongozi #bora #kwa #maendeleo #ya #taifa #wasira2015
"Utumishi wa umma… instagram.com/p/3WuhMikV7a/
Stephen M. Wasira BA, MPA , MA retweeted
#umoja #uadilifu #na #uongozi #bora #kwa #maendeleo #ya #taifa #wasira2015
Waheshimiwa walio fika… instagram.com/p/3WtNzBkV4P/
Stephen M. Wasira BA, MPA , MA retweeted
#umoja #uadilifu #na #uongozi #bora #kwa #maendeleo #ya #taifa #wasira2015
Mhe.Stephen Wasira… instagram.com/p/3WrcR3EVzg/
Stephen M. Wasira BA, MPA , MA retweeted
#umoja #uadilifu #na #uongozi #bora #kwa #maendeleo #ya #taifa #wasira2015 aminamanyota… instagram.com/p/3WY2NAGEfG/
Stephen M. Wasira BA, MPA , MA retweeted
Stephen M. Wasira BA, MPA , MA retweeted
#umoja #uadilifu #na #uongozi #bora #kwa #maendeleo #ya #taifa #wasira2015
Mhe.Stephen Wasira… instagram.com/p/3WXY9WGEcJ/











