SEBA THE DON (@SABASASENGA) header
SEBA THE DON (@SABASASENGA) profile picture

It's not over until it's over SIMBA SPORT CLUB

Kenya
Joined March 2023
Photo by SEBA THE DON (@SABASASENGA)Photo by SEBA THE DON (@SABASASENGA)Photo by SEBA THE DON (@SABASASENGA)Photo by SEBA THE DON (@SABASASENGA)Photo by SEBA THE DON (@SABASASENGA)Photo by SEBA THE DON (@SABASASENGA)
Good morning wapambanaji
25
44
4
244
35,901
Yule binti inabidi apigwe viboko vinne hadharani kila mtanzania akiona kwa kosa la kumuonesha mheshimiwa kwenye ujinga wake 😂
1
150
SEBA THE DON retweeted
31
35
5
276
28,110
SEBA THE DON retweeted
KUMBUKUMBU YA MO29 Mwaka mmoja uliopita leo, tarehe 29 Oktoba 2025, maisha ya ndugu zetu yalipotea Tanzania. Vikosi vya ulinzi & usalama vilitumia nguvu ya kifo, na maelfu ya watu waliuawa kinyama. Tunawakumbuka waathiriwa na familia zao. Kumbukumbu yao iimarishe wito wa haki, ukweli na amani. Hamko peke yenu. Hatutasahau. 🕯️
4
128
326
3,887
SEBA THE DON retweeted
Adhimisho la Misa Takatifu Kuwakumbuka waliouawa Oktoba 29, 2025 - Father Kitima
5
123
1
538
6,108
‼️UPDATE FROM 🇹🇿 SIDE ON TWAHA MWAIPAYA‼️ #FreeTwahaMwaipaya Information from 🇹🇿 source: After failing to cross with vehicles, they are now planning to cross Twaha in an ambulance or some military vehicle @NPSOfficial_KE @DCI_Kenya Everybody be vigilant! If anyone asks for help majirani please assist! 😭🇰🇪 Twaha is a fighter! All vehicles have to be searched and all borders sealed until they release Twaha Hawa wapumbavu na washirika wao wanahaha namna ya kumvusha sasa wanapanga eti kumvusha na ambulance au gari la kijeshi! Yaani watumishi wa umma mnaokubali huu upumbavu tutawawajibisha na hatutawasamehe mkishiriki kwenye huu upumbavu! Mwachieni Twaha #FreeTwahaMwaipaya
22
293
8
1,009
78,869
SEBA THE DON retweeted
Karibu Tanzania, Mheshimiwa João Manuel Gonçalves Lourenço, Rais wa Angola! 🇹🇿🤝🇦🇴 Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anaendelea kuimarisha diplomasia na kujenga ushirikiano imara kwa maendeleo ya mataifa yetu. Karibu nyumbani! 🇹🇿 #KaribuTanzania #KaribuMtumba
5
6
219
SEBA THE DON retweeted
Get your 15k followers now❗️ Say GOAL 🎯 I will boost your page 🎀💯
303
37
148
3,147
#MO29 Wapumzike kwa Amani🕯🕯💔
1
33
75
896
SEBA THE DON retweeted
If you need 19K active followers❗️ Just say yes👇 I’ll boost your account 🔔🔔🔔
1,667
128
11
920
95,003
Mungu ibariki Tanzania
75
Zab 41:1 (SUV) Heri amkumbukaye mnyonge; BWANA atamwokoa siku ya taabu.
46
150
9,439
Mungu IBARIKI Tanzania
11
220
1
1,201
19,180
SEBA THE DON retweeted
If you need 16.9K+ f'0ll0wers❗️ Drop a 👉 Yess👇 I’ll b0ost your p@ge 🫵🤝🙋‍♀️🌏
194
36
118
1,607
If you need +11k followers❗️ Say RED ♥️ I will boost your page 💯🎈
270
44
152
2,812
Sababu ya Upendo wao, Waliyatoa maisha yao kwa ajili ya watu wengine. Hatutakiwi Kuwasahau
5
254
2
987
21,283
SEBA THE DON retweeted
Lord, on this solemn one-year anniversary, we remember and honor the souls lost on October 29th in Tanzania.We pray for eternal rest for those who passed, strength for their grieving families, and peace,justice, and healing for the nation. They are not forgotten🇹🇿 #InLovingMemory
14
295
3
747
12,823
SEBA THE DON retweeted
October 29, 2025 Tarehe ambayo watanzania hatutaisahau!!
13
254
6
1,144
23,089
SEBA THE DON retweeted
VIDEO: Askofu wa Jimbo Katoliki Kayanga, Mhashamu Almachius Vincent Rweyongeza, amewataka waumini na wananchi kujitokeza kwa wingi katika Misa Takatifu na Sala ya Rozari kwa ajili ya kuwaombea marehemu na waathirika wa matukio ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, huku akifafanua kuwa wito huo uliotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) si tamko la kisiasa wala wito wa kuhamasisha vurugu kama ambavyo baadhi ya watu wamekuwa wakipotosha. Kauli hiyo ameitoa wakati wa Sala ya Rozari Takatifu katika Parokia ya Mtakatifu George, Kanisa Kuu la Kayanga mkoani Kagera, ambapo amefafanua barua ya wito uliotolewa na Rais wa TEC, Mhashamu Wolfgang Pisa (Askofu wa Lindi), wa kuadhimisha Misa hizo mnamo tarehe 29 Oktoba 2026 katika parokia, vituo vya sala, na taasisi zote za kanisa. Askofu Rweyongeza amesoma barua rasmi ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) iliyoandikwa tarehe 23 Oktoba 2026 inayoeleza kuwa adhimisho hilo linatenga muda wa kuliombea taifa na kukumbuka waliopatwa na maumivu katika uchaguzi wa Oktoba 29, 2025. "Katika kutimiza mwaka mmoja tangu uchaguzi wa mwaka jana, tunakumbuka baadhi ya watu wetu kuumizwa, kupotea na hata kuuawa. Hali hiyo ya maumivu na msiba bado ipo kati ya watu wetu. Katika mazingira haya tunaitwa kusimama pamoja kama jumuiya ya waamini tukimkabidhi Mwenyezi Mungu mwenye huruma taifa letu, viongozi wetu na watu wake, tukiomba umoja, upendo, ukweli, mshikamano ambavyo ni matunda ya haki na amani", ameeleza.
19
66
2
471
14,404