I need two tablets for my kids, preferably ones that support SIM cards @maestrowafact @ireneejusti12 @EsirEid @Sincerelyrahma7 @ShirimaYvonne
23
TheLastBoss. retweeted
Nimeona matusi na sintofahamu nyingi mtandaoni baada ya kuchapisha ujumbe wa kutoa pole kwa Mama Samia, hasa niliponukuu salamu za pole za Mwenyekiti Lissu kutoka gerezani.
Kwa sisi jamii tunaodai kupigania uhuru wa maoni na demokrasia, hili linapaswa kutufikirisha. Kutofautiana kwa hoja hakuhitaji matusi, dhihaka wala chuki.
Lissu amekaa gerezani takribani mwaka mmoja na miezi sita, akikabiliwa na kesi ambayo sisi tunaamini ni ya kisiasa na isiyo na haki. Anafahamu yaliyompata na serikali iliyomweka mahabusu. Lakini alipofahamishwa kuhusu msiba wa mume wa Mama Samia, akiwa mbele ya mahakama, alitoa salamu zake za pole kwa wafiwa mara mbili.
Huu si unyonge. Hii ni hekima, utu na ukomavu wa kiwango cha juu.
Na si mara ya kwanza. Aliwahi pia kumtetea Sabaya katika kesi yake Moshi. Wengi tulishangaa, nami nilishangaa. Lakini nilipomuuliza baadaye, nilielewa kwamba kwake haki haichagui upande.
Hilo ndilo fundisho kubwa tunalopaswa kulibeba. Tunaweza kupinga serikali, kudai haki na kupigania demokrasia bila kujenga harakati zetu juu ya chuki na kisasi.
Lakini kama tunasema tunampenda Lissu, basi pale anaposema ana pumzi ya kuvumilia mateso na kukaa gerezani, sisi tunapaswa kuchukua kauli hiyo kama mwito wa ujasiri, si ruhusa ya kukaa kimya.
Kama tunaamini kesi hii si ya haki, basi viongozi tunanapaswa kuwaongoza wananchi katika hatua za amani, kisheria na kidemokrasia za kudai haki, pengine kwa njia ya maandamano. Sio kwenye keyboard tu na microphone.
Demokrasia inahitaji wananchi wanaothubutu kusimama kwa kile wanachoamini. Na kama siku moja tutapata nafasi ya kuongoza nchi hii, tusije tukarudia makosa tunayoyapinga leo. Lazima tutawala kwa haki, utu na dhamira njema.
Mimi nitasimama kwenye upendo, utu na haki siku zote ktk kazi hii. Anyway , hekima ya Lissu kutoa pole kwa Mama Samia was a top-class thinking. Inaonyesha kwamba hata unapoteseka, unaweza kuchagua utu, hata unapopinga, unaweza kukataa kisasi.
Wakati mwingine Mungu hataki umshinde adui yako kwa chuki, bali kwa upendo, hekima na maisha yenye ushuhuda kwamba uovu wake haukukushinda.
Mimi niko tayari kusimama kwa amani na kwa ujasiri. Katika hatua ya kupigania uhuru wa Lissu kuwa nje ya kuta za gereza na sio kusema ana pumzi ya kukaa jela hata maisha. Tuna watu wengi sana Chama hiki , pumzi yetu itoke mtandaoni , fikeni tu hata mahakamani kwa sasa na huku viongozi wakuu watusaidie kutafakari jambo muhimu la haki , sheria na amani.
“You don’t have to hate those who hurt you. Sometimes the greatest revenge is to rise above them with peace, dignity, and success.”
Thank you !!
TheLastBoss. retweeted
Kabati la nguo milango mitatu ya kuslide
600,000
Ni kubwa
Pana
Inajaza nguo nyingi
Call/what's app 0710 398 946
Karibuni sana – at Dar es Salaam, Tanzania
Humu kwani mnatumia benki gani? Kuna benki naona wateja wake wanahaha sana @ema_fundi_nguo @Mwinshehe07 @TravisKitengo_
Katika mambo ya kazi haya hasa serikalini usiombe uweke chini ya uangalizi wa demu. Kuna wakati kinakuja kimenuna, kinakujibu vibaya, attitude kibao mpaka unatamani ukachume fimbo ukachape mpaka kajinyee.
1
1
122
TheLastBoss. retweeted
380,000 free delivery kwa dar
Call/what's app 0710 398 946 Karibuni sana Ubungo Msewe – at Tanzania
The most overrated midfielder in the world, with no real talent or skills @RMadridistaReal @MswatiKing_01 @George_Ambangil @realmadrid @Madridpulse0
Big matches reveal big players. The France vs. Spain clash exposed the difference between potential and greatness. Lamine Yamal rose to the occasion and proved he is the better player @George_Ambangil.
2
158
Dogo yeyote aliyepo Ze hub hapa A town aje tuzinese @shaks_prince
Arusha linaitwa jiji ila ni moja ya jiji la kiboya sana. Haiwezekani saa mbili tu maduka yamefungwa. Usafiri wa shida. Mnaishije huku Arusha Wazee?
3
63
Enzo Fernández has once again shown why he's a big-game player. The Chelsea star finished off Egypt. Big teams always rise to the occasion.
159
Habari za jioni @kahawa260. Nakutakia usiku mwema. Malaika wa Mungu wakulinde kwa wivu mkubwa sana kwa ajili yangu.
Barua ya wazi kwa @kahawa260. Nimekuchagua wewe ktk maisha yangu mrembo kahawa ili uwe mke wangu.
Wanawake kama hawa wanapatikana wapi @Happinesmlay @maestrowafact @zed @Mwinshehe07 @Kil0voltI @shaks_prince
Wazee kama una-date na demu hana kiuno kama hiki cha mtoto mzuri huyu. Wewe tambua unam-date mnyama kiboko @maestrowafact @Noedson_tz @Kil0voltI @TravisKitengo_ @ema_fundi_nguo
Fiston Mayele of Young Africans SC struck the crucial goal that sent DR Congo into the Round of 32 @akilnyingi @PresenterNoah @PrimatureRDC
2
62
Ladies hivi inapotokea mwanamke kila akitofautiana kidogo na mume wake unakuta anamwambia kauli kwamba "watoto hawa siyo wako" Hii huwa ni serious au huwa ni kwa sababu tu ya hasira? @FamWorld2025 @ShirimaYvonne
@atienomyname @Thewilliams2022



















