Ingo FM (@RadioIngo) header
Ingo FM (@RadioIngo) profile picture

A Luhya Radio station broadcasting across the Western Region: Bungoma, Kakamega, Vihiga, Busia, Trans Nzoia and Nairobi.

Nairobi
Joined September 2023
Photo by Ingo FM (@RadioIngo)Photo by Ingo FM (@RadioIngo)Photo by Ingo FM (@RadioIngo)Photo by Ingo FM (@RadioIngo)Photo by Ingo FM (@RadioIngo)Photo by Ingo FM (@RadioIngo)Photo by Ingo FM (@RadioIngo)Photo by Ingo FM (@RadioIngo)Photo by Ingo FM (@RadioIngo)Photo by Ingo FM (@RadioIngo)
Live Madaraka Day-Wajir Edition. Wajirhttps://www.youtube.com/live/rY_XUtqJzes?si=Gtp8c8OFVWgC9mIW ^DA #IngoFM
145
Rais William Ruto ameongoza hafla ya uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa kiwanda cha malighafi ya saruji (clinker) cha kampuni ya Bamburi Cement chenye thamani ya Shilingi bilioni 32 katika eneo la Matuga, Kaunti ya Kwale, mradi unaotarajiwa kubuni nafasi 10,000 za ajira.
8
Mbunge wa Suba Kusini, Millie Odhiambo, amekiri kuwa uongozi wa chama cha Orange Democratic (ODM) ulimshinikiza kwa makusudi Seneta wa Nairobi, Edwin Sifuna, kuondoka chamani, akionya kuwa uamuzi huo umedhoofisha ushawishi wa kisiasa wa chama hicho, hasa Magharibi mwa Kenya.
15
Mwanafunzi wa Shule ya Upili ya Wasichana ya Shikondi mwenye umri wa miaka 20, Marion Shiumwa, amefariki dunia baada ya kudaiwa kudungwa kisu na jirani yake kufuatia mzozo wa kinyumbani katika kijiji cha Shipalo, eneo la Sigalagala, Kaunti ya Kakamega.
21
Mwimbaji wa Iran, Parastoo Ahmadi, ameadhibiwa kwa kuchapwa viboko 74 kwa kutumbuiza bila kuvaa hijabu, huku wafanyakazi wanne wa timu yake pia wakiadhibiwa na wote watano kupigwa marufuku ya kutumbuiza na kusafiri nje ya nchi kwa muda wa miaka miwili. ^DA #IngoFM
35
President William Ruto is set to preside over the groundbreaking ceremony for a KSh32B (US$250 million) clinkerisation plant in Matuga, Kwale County, an investment by Amsons Group and Bamburi Cement. ^DA #IngoFM
41
President Ruto- "Hapa Bungoma tumeweka Billioni 21 kujenga barabara Kilo Mita 210." ^DA #IngoFM
2
Rais Ruto katika hafla ya ulipaji wa bonasi ya miwa kwa wakulima wa Kiwanda cha Sukari cha Nzoia, eneo bunge la Webuye Magharibi, Kaunti ya Bungoma, mnamo Novemba 23, 2026. ^DA #IngoFM
14
*Picha * H.E President William Ruto flags off last mile power connectivity and upgrading to Bitumen Standard of Butula-Amukura & Amukura-Kocholia Roads,Teso South, Busia County. ^DA #IngoFM
25
*Picha* President William Ruto during Commissioning of Kakapel Cultural Centre, Teso North ,Busia County. ^DA #IngoFM
12
PCS Mudavadi- "Tuungane pamoja nyuma ya Rais Ruto sisi kama watu wa Western Region ili kusiwe na petition." ^DA #IngoFM
8
Hon Catherine Omanyo- "Umevunja rekodi ya kuja Teso kushinda Rais wote Kenya." ^DA #IngoFM
5
"Rais Ruto anaelekea Magharibi mwa Kenya. Anapaswa kueleza, pamoja na Mudavadi na Wetang'ula, maendeleo ya asilimia 30 anayodai ameyafanikisha katika eneo hilo." – Seneta wa Nairobi, Edwin Sifuna, akizungumzia ziara ijayo ya Ruto Magharibi mwa Kenya. ^DA #IngoFM
1
1
13
Marathon runner Ronald Korir handed a six-year suspension for violating Anti-Doping Rule 2.2 after abnormalities were detected in his Athlete Biological Passport, which he failed to explain. ^DA #IngoFM
7
"To ensure sugarcane farmers share in the industry's improving fortunes, a KSh1.2B bonus package will be paid to farmers this year, with disbursement beginning next week." -WILLIAM RUTO, PRESIDENT ^DA #IngoFM
5
"Across the country, 53,465 patients are receiving cancer treatment, 24,468 are receiving dialysis and 89 have already undergone kidney transplant under SHA. These are among the most expensive forms of medical care." -William Ruto, President. ^DA #IngoFM
4
"The recovery of our sugar industry is underway. Between January and October this year cane crashed increased by 57% while sugar production rose by 60%. The industry is now projected to produce more than 900,000 tonnes by the end of this year." - William Ruto, President
2
President Ruto: I have never been prouder of the privilege of serving as president of this great republic. Our nation is making a powerful comeback. Our economy is recovering. Our infrastructure is expanding. #SOTNA2026
15
Rais William Ruto anatazamiwa kutoa Hotuba yake ya mwisho kuhusu Hali ya Taifa Bungeni, hatua inayojiri huku kukiwa na maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa 2027 utakaotamatisha muhula wake wa sasa madarakani. ^DA #IngoFM
5
Maafisa wa Shirika la Huduma za Wanyamapori nchini (KWS) wamefufua na kupata mizoga 21 ya (dik-dik) mizoga 12 ya swara (impala), na ndege watatu wa porini (guinea fowls) katika kaunti ya Tana River, huku washukiwa watatu wa ujangili wakitoroka wakati wa mtego wa maafisa hao.
10
Washukiwa tisa wamefikishwa katika Mahakama ya Sheria ya Kapenguria wakikabiliwa na mashtaka ya ulaghai wa SACCO unaohusisha KSh milioni 260, huku kesi hiyo ikipangwa kutajwa kwa mara ya kwanza mnamo Novemba 30, 2026. ^DA #IngoFM
7