PWANI YOUTH NETWORK (PYN) (@PwaniPyn) header
PWANI YOUTH NETWORK (PYN) (@PwaniPyn) profile picture

Harness the power of young people in managing development; 1.Leadership and citizenship 2. Economics. 3.Healthy. 4. Sports

KIBAHA-MWENDAPOLE...0745253417
Joined October 2019
Photo by PWANI YOUTH NETWORK (PYN) (@PwaniPyn)Photo by PWANI YOUTH NETWORK (PYN) (@PwaniPyn)Photo by PWANI YOUTH NETWORK (PYN) (@PwaniPyn)Photo by PWANI YOUTH NETWORK (PYN) (@PwaniPyn)Photo by PWANI YOUTH NETWORK (PYN) (@PwaniPyn)Photo by PWANI YOUTH NETWORK (PYN) (@PwaniPyn)Photo by PWANI YOUTH NETWORK (PYN) (@PwaniPyn)Photo by PWANI YOUTH NETWORK (PYN) (@PwaniPyn)Photo by PWANI YOUTH NETWORK (PYN) (@PwaniPyn)Photo by PWANI YOUTH NETWORK (PYN) (@PwaniPyn)
Nani hupatwa na korona? • Watu wote (wakike kwa kiume) waweza kudhurika na korona • Wenye maradhi yanayoshusha kinga mwili huwa na hatari kubwa Zaidi. • Wazee pia wapo katika hatari kubwa kupatakorona kwani wana kingamwili hafifu. #COVID19
3
8
Kirusi cha korona katika mwili wa binadamu; • Huchukua siku 2 mpaka 14 (wastani siku 5) kwa binadamu kuanza kuonesha dalili baada ya kuambukizwa na virusi vya korona (incubation perion) • Huambukizwa kwa njia ya matone yatokanayo kwa kukohoa au kugusana moja kwa moja. #COVID19
5
ANGALIZO; • Epuka kusalimiana kwa mikono • Hakuna chanjo mpaka sasa #Covid19Walkout
6
DALILI ZA UGONJWA WA CORONA Dalili zionekanazo mara kwa Mara: • Homa • Kikohozi kibichi • Uhemaji wa tabu • Maumivu ya mwili • Kuuma kwa koo mfano wa matonses (tonsillitis) • Kukosa hamu ya kula #Covid19Walkout
1
6
Kwa Tanzania Hizi hapa Namba za kupiga simu bure endapo utaona una dalili au utaona mtu mwenye dalili za Ugonjwa wa Korona 0800110124 0800110125 Namba hizi kupiga Ni bure hata kama hauna salio kwenye simu yako. #Covid19Walkout
4
@PwaniPyn inampongeza Mkuu wa Mkoa wa PWANI, Ndugu Evarist Ndikilo kwa kupata kikombe Cha ushindi wa pili kwa uandikishaji wa wananchi kwa 96%kwenye daftari la wapiga kura la Uchaguzi Serikali za Mitaa 2019. #Tunampongeza. @SautiyaVijana
1
3
Picha ya pamoja baada ya mdahalo uliokuwa umelenga kuelezea Umuhimu wa ubia Kati ya serikali na Asasi za Kiraia Tanzania. Kituo kinachofuataaaaaa............. #KaziZaAZAKI @SautiyaVijana @YouthPartnersh3
1
6
"Tunatakiwa kuungana sisi Kama AZAKI ili kuleta mabadiliko makubwa katika Jamii hasa kuwafikia Vijana" Marry Daniel. @SautiyaVijana
5
Mwenyekiti wa @PwaniPyn ndugu Fredy Mtei akijibu maswali ya washiriki wa mdahalo na pia kutoa maoni kuhusu umuhimu wa Vijana kushirikiana na AZAKI na serikali katika kuleta maendeleo katika jamii. #KaziZaAZAKI
2
6
"Nyinyi Kama AZAKI, Je, mmetenga bajeti yeyote inayowalenga walemavu na watu wasiojiweza?" Amina Hamisi kutoka Bundikani secondary school. #KaziZAAzaki
6
Baadhi ya washiriki kutoka @YouthPartnersh3 na @PwaniPyn na maeneo mengine wakifuatilia mdahalo katika ukumbi wa KCC. #TujueUmuhimuWaAZAKI
1
5
"Tunajua Kuna Faida za kuwa na ubia Kati ya serikali na Asasi za kiraia Tanzania" Fredy mtei Mwenyekiti @PwaniPyn
1
4
Leo tarehe 22/11 @YouthPartnersh3 kwa kushirikiana na @PwaniPyn wanaendesha mdahalo unaolenga kuelezea Umuhimu wa ubia Kati ya Asasi za kiraia na serikali katika kuleta maendeleo kwenye Jamii. #KaziZaAZAKI
1
6
Picha ya pamoja ya washiriki wa kikao cha kuhitimisha mradi wa KIJANA WAJIBIKA uliokuwa ukisimamiwa na @SautiyaVijana na @PwaniPyn ikiashiria kumalizika kwa kikao hikoo.... #KijanaWajibika
1
4
10
Mwenyekiti wa @PYN ndugu Fredi Mtei na washiriki kutoka meza kuu wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kikao cha kuhitrimisha mradi wa KIJANA WAJIBIKA. #KijanaWajibika
2
10
Mkuu wa idara-Maendeleo ya jamii Bi. Leah P. Luwanji akitoa neno la shukrani kwa wadau na washiriki wote wa kikao cha kuhitimisha mradi wa Kijana Wajibika. #KijanaWajibika
2
11
Mwenyekiti wa @PwaniPyn akiongea baadi ya mipango kazi ya taassisi kwa kuwapatia baadhi ya nakala watendaji wa kata na Ma'Afisa maendeleo kata. #KijanaWajibika
2
10
Katibu mkuu wa @PwaniPyn Ndugu @EdgarRMduda akiongelea baadhi ya mafanikio ya Taasisi na changamoto zinazoikumba taasisi.. #KijanaWajibika
3
9
A small break after the presentation of the groups in the final session of the project KIJANA WAJIBIKA. #KijanaWajibika
2
9