Prosper Masau (@ProsperMasau) header
Prosper Masau (@ProsperMasau) profile picture
Joined March 2012
Photo by Prosper Masau (@ProsperMasau)Photo by Prosper Masau (@ProsperMasau)Photo by Prosper Masau (@ProsperMasau)Photo by Prosper Masau (@ProsperMasau)Photo by Prosper Masau (@ProsperMasau)Photo by Prosper Masau (@ProsperMasau)Photo by Prosper Masau (@ProsperMasau)Photo by Prosper Masau (@ProsperMasau)Photo by Prosper Masau (@ProsperMasau)Photo by Prosper Masau (@ProsperMasau)
Michezo hii anataka kutimiza yale yaliosemwa kwamba uchanguzi hautakuwa wa haki.....
UPDATES ✍️ Mgombea wa kiti cha Urais cha kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini Tanzania TPBRC, CPA Joseph Rwegasira amejiondoa kwenye mchakato wa Uchaguzi unaendelea katika uwanja wa Benjamin Mkapa Rwegasira hajaridhishwa na mchakato wa uchaguzi na tayari ameondoka eneo la tukio
88
Prosper Masau retweeted
Fascinating to see a 2022 tweet trending today! I still believe the same by the way 🙃
I am a big believer in polygamy, when done properly, it works! #Random
17
14
2
106
8,455
Has Tshisekedi just picked a fight with the Catholic Church? The Pope certainly won’t be pleased with this! Who on earth wakes up in the morning and decides to tear-gas priests? What exactly is going on in #Congo 🤣
52
192
27
1,120
222,262
Prosper Masau retweeted
Watu miezi hii ndio wanakumbuka kuwa mwaka jana waliahidi mifuko ya simenti na mabati kwenye harambee za makanisa ya kijijini kwao.
2
5
34
1,486
Kuna msanii wa Maigizo wakati huo Nora aliolewa na mganga Mwizukuru jilala na maisha yake yalikuwa poa tu Jiran acha uwoga wewe 🤣🤣
It's first time in my life kutongozwa na mganga wa kienyeji. Kwenye talking stage i was like woow, huyu ndie ninaemtaka kabisa. Then nikamuuliza unafanya kazi gani, akaniambia Healing people. I thought ni daktari or something mpaka nilivyoona instagram yake kuwa ni mganga wa kienyeji kabisa😭 Inshort anavaa kabisa kaniki na kilemba, anashika manyanga like seriously bru 🤦🏽‍♀️ anafollowers kibao na wateja kwenye comment.. yoo, i know my energy is high, but I am very disappointed😃
1
4
339
Prosper Masau retweeted
This is not Dubai, This is not Paris, This in not New York. This is Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿
13
32
2
262
15,828
Prosper Masau retweeted
🚨BREAKING: 🇹🇿 Massive fire tears through Nungibar’s top tourist beach in Nungwi, Tanzania engulfing 6 hotels and over 40 businesses in flames Tourists have been evacuated safely and there are no reports of fatalities. Displaced guests were relocated to hotels in Mchangani and Matemwe, with more than 20 hotels reportedly offering free accommodation Cause remains unknown as the authorities investigate further. Writer: Bri
40
253
24
643
87,389
Prosper Masau retweeted
Kheri ya Dominika ya mwisho ya mwaka A. Dominika ya Kristo Mfalme. Yesu ndio Mfalme atawala duniani na mbinguni.
3
9
80
1,145
Prosper Masau retweeted
Nimesikiliza story YouTube kuhusu anguko la kampuni mbili za mabasi ambayo ni Scandinavian Express pamoja na Dar Lux na zote zilifanya vizuri lakini mambo yalibadilika pale kampuni hizi zilivyopewa au kuchukua mkopo bank , Hivi kuna siri gani kati ya mkopo na anguko la biashara?.
21
35
8
483
31,785
Prosper Masau retweeted
Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam leo limeadhimisha misa takatifu iliyoambatana na ukusanyaji wa mavuno. Kati ya Dekania 16,Dekania ya Mt Petro-Oysterbay imeongoza kwa kuchangia 1.08B #MavunoJimboDaresSalaam
2
8
1
44
2,414
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiagana na Viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kabla ya kuondoka nchini leo, tarehe 22 Novemba, 2026, kuelekea Addis Ababa, Ethiopia kwa Ziara ya Kikazi ya siku mbili
3
14
46
5,041
AFCON 2027 Host: TANZANIA 🇹🇿 Co-hosts: Uganda 🇺🇬 and Kenya🇰🇪
17
17
5
81
4,954
Prosper Masau retweeted
Safari ya Timu yetu ya Taifa ya Vijana chini ya Miaka 17 (Serengeti Boys) katika mashindano ya Kombe la Dunia inaanza rasmi leo, ikiwa ni fursa nyingine adhimu kwa vijana wetu kuonesha vipaji, uwezo na ushindani wao katika medani ya soka la kimataifa, pamoja na kuandika ukurasa mpya katika historia ya soka la Tanzania. Ninawatakia kila la kheri katika safari hii muhimu. Chezeni kwa moyo, nidhamu, kujiamini na uzalendo, mkikumbuka kuwa kila mnapoingia uwanjani mnabeba matumaini na fahari ya Watanzania wote. Kila la kheri, Serengeti Boys. Mungu Ibariki Tanzania.
17
76
1
196
8,264
“Nilishuhudia msichana mmoja chuoni kwetu akinyanyaswa mtandaoni baada ya kukataa ombi la la kumtumia picha zake za utupu mwanaume aliyemtaka kimapenzi.” – Yann Mboungou-Tsoumbou, Jamhuri ya Kongo #ElimikaWikiendi
1
15
17
518
Huyo Bodigadi wa IGP Hapo Moshi kwenye mkutano ndo yule alikuwa akimlinda Tundu Lissu wakati wa kampeni za Urais? Au wanafanana tu......
1
1
12
800
HATA ukiwa na nyumba nne Mbweni. Ipo siku watu usiowajua, wataishi humo na wala hawatajua kama uliwahi kuishi. Usikanyage watu ili kupata vitu. Tendea watu mema. Matendo mema yatakufuata kaburini na hata mbinguni. Ikawe kareem Ijumaa yako.
11
73
3
292
4,452
Prosper Masau retweeted
Yaliyomo kwenye nembo ya AFCON 2027 1️⃣ Kombe la AFCON 2️⃣ Umbo la nje limetokana na nembo za Taifa (Coarts of Arms) za mataifa yote matatu. 3️⃣ Rangi za Bendera za Mataifa yote matatu. 4️⃣ Michoro ya kitamaduni na asili ya Afrika Mashariki inayoonyesha sanaa ya ususi, ufumaji nk.
2
1
154
4,625
Prosper Masau retweeted
A closer look at the details, colours and inspiration behind our #TotalEnergiesAFCON2027 identity. ❤️
27
645
57
3,371
99,932
Prosper Masau retweeted
CAF wapo siriazi sana na #AFCON2027
2
20
865
🏟️𝗙𝗥𝗢𝗠 #𝗖𝗛𝗔𝗡𝟮𝟬𝟮𝟰 𝗧𝗢 #𝗔𝗙𝗖𝗢𝗡𝟮𝟬𝟮𝟳!🇰🇪🌍 A new era of stadium branding is coming!🔥 How will our iconic @KasaraniStadium look dressed in the colours and identity of #AFCON2027? 👀🏆 #Pamoja2027 #TotalEnergiesAFCON2027
3
62
1
741
16,140