Pinned Tweet
Pale SUA semester 2 huwa kuna ile course ya Statistics mnasoma chuo kizima...huwa panachangamka sana 馃槀
Send off, harusi zote zinahitaji pesa nawewe hauna. Achana na kusumbua watu kama haujajipanga. Nasisi tuna plans zetu.....
Rafiki yangu amepata promotion from Senior Lecturer to Associate Professor...nimefurahi sana.
1
9
234
Kuna mtu mmoja yeye mali zake zote wameandikisha watoto wao na wanajua kabisa. Ila saivi sababu wapo hai yeye na mke wake ndio wanacontrol. Wakifariki hakuna kitu ndugu wataambulia.
7
233
Jirani yangu ifike saa 12-1 asubuhi asiposikia nimepiga Attente ya Fally Ipupa lazima anipigie kuniuliza kama nimeamka salama 馃槀馃槀
1
6
251
Bajaj 3000 mpaka town. Boda buku jero mpaka mazimbu road pale then bajaj jero hadi town...kupanga ni kuchagua 馃槀
Kuanzia kesho September 15, 2025 mkishuka stesheni ya SGR ya Morogoro na Dodoma mtakuta Coaster za Special Hire za Kampuni ya Faima ambazo zitawatoa watu stesheni apo kuwapeleka stendi, mfano Morogoro mtapelekwa hadi Msamvu.
Nauli ni shilingi elfu 5000.
Hapo mnasemaje wakuu
7
357
Haya matamasha tunashindwa kutazama na familia zetu, kuna baadhi ya maudhui hayako sawa. Acha tusogee bar 馃槀
9
388









