
๐ ๐๐งรก๐ญ๐ข๐๐จ ๐๐ ๐๐ข๐ฏ๐๐ซ๐ฉ๐จ๐จ๐ฅ ๐ ๐ @LFC
Bilbao, Spain
Joined March 2026
- Tweets14.4K
- Following162
- Followers1.2K
- Likes33.2K
๐๐ซ๐ข๐ง๐๐ ๐ฆ๐๐ง๐ retweeted
Tunaiyanza siku kwa kumshukuru mwenyezi MUNGU mwenye haki miliki ya uhai wetu. ๐
Good morning friends of me ayo dimeji. โค
๐๐ซ๐ข๐ง๐๐ ๐ฆ๐๐ง๐ retweeted
Kumekucha tena watafutaji wapambanaji
Gm all fellaz ๐ค
๐๐ซ๐ข๐ง๐๐ ๐ฆ๐๐ง๐ retweeted
Tunaiyanza siku kwa kumshukuru mwenyezi MUNGU mwenye haki miliki ya uhai wetu. ๐
Good morning friends of me ayo dimeji. โค
๐๐ซ๐ข๐ง๐๐ ๐ฆ๐๐ง๐ retweeted
Naomba Repost Yako Familia๐โค
โLONGINE quality yake ni pure lather ๐๐ฅ
Tsh.65000
โ0752777167
๐Popote Tanzania natuma
๐๐ซ๐ข๐ง๐๐ ๐ฆ๐๐ง๐ retweeted
Sisi ndio wale ambao tumezaliwa kuchagua kitu kidogo ili tusiwaumize watu wenye tamaa na vikubwa.
Good morning X familia.
๐๐ซ๐ข๐ง๐๐ ๐ฆ๐๐ง๐ retweeted
Pole yenu leo ambao kanisa limejaaa mkasalia nje ๐
๐๐ซ๐ข๐ง๐๐ ๐ฆ๐๐ง๐ retweeted
Duuuh kumbe kifo cha mende na dog bei ni tofauti hii ndo maana ya ku add value sasa ๐
๐๐ซ๐ข๐ง๐๐ ๐ฆ๐๐ง๐ retweeted
Up and greatfull ๐ช๐
Good morning X family ๐
๐๐ซ๐ข๐ง๐๐ ๐ฆ๐๐ง๐ retweeted
Good morning Kila binadamu ana makosa aliyowahi kufanya maamuzi ambayo angependa kuyabadilisha na nafasi ambazo aliwahi kuzipoteza Lakini ukweli ni kwamba huwezi kurudi jana na kubadilisha kilichotokea
๐๐ซ๐ข๐ง๐๐ ๐ฆ๐๐ง๐ retweeted
Dunia Ina uwezo wa kuku hakikishia uwezekano wa kupata mali na fedha, lakini uhakika wa afya , furaha na amani na faraja ya moyo ni kama betting tu
Gm x familia
๐๐ซ๐ข๐ง๐๐ ๐ฆ๐๐ง๐ retweeted
Kuna mapenzi kweli hapa kutoka moyoni au janja nguvu ya pesa ndio inafanya kum'bakisha kwa bi mkubwa ? ๐๐๐
๐๐ซ๐ข๐ง๐๐ ๐ฆ๐๐ง๐ retweeted
Hizi nguo za kiume ngumu sana kujulikana kama imechafuka hata ivishwe kwa watu wanne kwa siku moja unashangaa inafutwa tu kidogo inapasiwa inarudi kwenye hali yake, hapo Mtu kugundua kama imevaliwa labda wewe ndo uwe muoga na mwenye kujihisi. Hii nayo Mungu alitupendelea wakuu๐คญ
๐๐ซ๐ข๐ง๐๐ ๐ฆ๐๐ง๐ retweeted
Hivi wanatumia vigezo gani kusema Israel ndio taifa teule na vipenzi vya mwenyezi MUNGU.
Wanatumia vigezo gani familia. ๐
๐๐ซ๐ข๐ง๐๐ ๐ฆ๐๐ง๐ retweeted
Hizi mnajua kuwa tanzania ndo nchi ambayo haina uhuru wa kupiga picha sehemu Mara nyingi watu wanaibia kupiga picha ukitaka kuamini jaribu.
๐๐ซ๐ข๐ง๐๐ ๐ฆ๐๐ง๐ retweeted
Hakuna mwenye anaweza kujua maana ya hiki kidude kwenye kitanda Niwambie au niwache?๐
๐๐ซ๐ข๐ง๐๐ ๐ฆ๐๐ง๐ retweeted
Takribani miaka miwili imepita hatimaye leo nimetoa kitu tena sema iyo samaki nimebolonga kubabeki ๐๐๐
๐๐ซ๐ข๐ง๐๐ ๐ฆ๐๐ง๐ retweeted
Naomba Repost๐
#VIATU BORA๐ฅ๐๏ธ
โ
Size 40/41/42/43/44/45
โ
Bei 85,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0713800448
๐Kariakoo
๐๐ซ๐ข๐ง๐๐ ๐ฆ๐๐ง๐ retweeted
Waislam tunafaidi sana!!๐๐ฅ xitter.cf/SxxyBatulaa/status/212โฆ























