Futbal Planet ✴️ (@PlanetFutbal) header
Futbal Planet ✴️ (@PlanetFutbal) profile picture

OFFICIAL FPM TL ACCOUNT. 🟢 ALL ABOUT FOOTBALL NEWS

Dar Es Salaam
Joined March 2022
Photo by Futbal Planet ✴️ (@PlanetFutbal)Photo by Futbal Planet ✴️ (@PlanetFutbal)Photo by Futbal Planet ✴️ (@PlanetFutbal)Photo by Futbal Planet ✴️ (@PlanetFutbal)Photo by Futbal Planet ✴️ (@PlanetFutbal)Photo by Futbal Planet ✴️ (@PlanetFutbal)Photo by Futbal Planet ✴️ (@PlanetFutbal)Photo by Futbal Planet ✴️ (@PlanetFutbal)Photo by Futbal Planet ✴️ (@PlanetFutbal)Photo by Futbal Planet ✴️ (@PlanetFutbal)
CAF president Patrice Motsepe has watched almost every match AFCON 2025. The man is visible tired and needs to rest now. 🤦🏾‍♂️
173
1,139
79
23,518
2,211,462
🚨 BREAKING: ORODHA YA WALIORUDISHA FOMU KWA AJILI UCHAGUZI WA KLABU YA SIMBA. . NAFASI YA MWENYEKITI 🇹🇿 Anindum Jonas Semu 🇹🇿 Geoffrey Irick Nyange 🇹🇿 Mohamed Khamis Soloka 🇹🇿 Murtaza Ally Mangungu 🇹🇿 Dr. Seif Ramadhani Muba 🇹🇿 Selemani Haroub Said 🇹🇿 Swedy Khamis Mkwabi
3
43
3,782
AZAM ya FEI TOTO imekula CHUMA 4 geto kwake..!! . FT: AZAM FC 2-4 SINGIDA BLACK STARS 27’—⚽️ Feisal Salum (Penalti) 28’—⚽️ Zidane Sereri 38’—⚽️ Emmanuel Keyekeh 51’—⚽️ James Mwashinga 68’—⚽️ Jonathan Sowah 77’—⚽️ Jonathan Sowah
24
659
FADLU DAVIDS aanza na ushindi akiwa YANGA.! . FT: POLISI TANZANIA 0-2 YANGA SC 29’—⚽️ Cheikh Toure 75’—⚽️ Peter Shalulile BAO la pili lililofungwa na PETER SHALULILE limefanywa kama salamu maalumu ya pole kwa MAXI ambaye amepata majeraha yatakayomfanya awe nje ya Uwanja.
1
6
348
GULER wa moto, Mbappe wa moto, Madrid ya moto..!! . FT: VALENCIA CF 🇪🇸 0-3 🇪🇸 REAL MADRID 79’—🟥 Jose Gaya 28’—⚽️ Federico Valverde 36’—⚽️ Arda Guler 75’—⚽️ Kylian Mbappe
16
703
Futbal Planet ✴️ retweeted
"Yanga amepangwa na vibonde kwenye kundi lao kule CAF. Kwa lugha nyepesi naweza kusema Yanga ambaye naye ni kibonde amepangwa na vibonde wenzake kwenye kundi lake, kwahiyo ni kundi la vibonde watupu" . DULLAH HEAVYWEIGHT, Mchambuzi WASAFI FM.
7
5
70
3,110
"Hata kama mtu hanipendi mimi, ila mimi ndio Mwenyekiti wa timu. Utavimba, utapasuka,utasema na utachanika lakini mimi ndio Mwenyekiti mpaka pale uchaguzi utakapofanyika au nikifa au litokee jambo lolote litakalofanya nitoke ila vinginevyo nabakia kuwa Mwenyekiti wa Simba.
1
1
19
976
tumeshaziandikia barua mamlaka kwa kufuata utaratibu na mamlaka zikiruhusu basi taratibu zingine zitafuata" "Watu wengi wananiuliza kwanini umezungumza eeh eeh lakini nimesema wajue mimi ndiye ninawawakilisha wanachama wote wakiwemo wao kama ni wanachama. Nimezungumza kwa
1
65
sababu watu walikuwa njia panda na ikabidi niseme mimi kama Mwenyekiti wao na ndio nimeyasema hayo" . MURTAZA MANGUNGU, Mwenyekiti wa Klabu ya Simba SC.
50
"Yanga amepangwa na vibonde kwenye kundi lao kule CAF. Kwa lugha nyepesi naweza kusema Yanga ambaye naye ni kibonde amepangwa na vibonde wenzake kwenye kundi lake, kwahiyo ni kundi la vibonde watupu" . DULLAH HEAVYWEIGHT, Mchambuzi WASAFI FM.
7
5
70
3,110
BARCA wamefungwa na kunyanyaswa geto kwao..!! . FT: BARCELONA 1-2 REAL MADRID 61’—⚽️ Raphinha 40’—⚽️ Kylian Mbappe 88’—⚽️ Kylian Mbappe . 🚨 OFFICIAL: Real Madrid inafikisha ushindi wa 107 dhidi ya Barcelona huku Barcelona ikibakiwa na ushindi mara 106.
3
254
🚨 BREAKING: SINGIDA BS YAFUZU MAKUNDI AFRIKA..!! . FT: SINGIDA BS 🇹🇿 1-1 🇰🇪 TUSKER FC 66’—⚽️ Jonathan Sowah 80’—⚽️ Victor Mbaoma AGGREGATE 🇹🇿 2-1 🇰🇪
1
43
1,244
🚨 OFFICIAL: Tanzania inakuwa nchi ya kwanza Barani Afrika kwa timu zake zote nne kufuzu hatua ya Makundi ya Mashindano ya CAF ngazi ya vilabu msimu huu. . 🇹🇿 Yanga SC—Klabu Bingwa 🇹🇿 Simba SC—Klabu Bingwa 🇹🇿 Azam FC—Kombe la Shirikisho 🇹🇿 Singida BS—Kombe la Shirikisho
1
42
649
INASEMEKANA MAKOSA YA MAN UNITED NI KUJIITA RED DEVILS😃 . FT: MAN UNITED 0-3 BOURNEMOUTH 38’—⚽️ Rayan 43’—⚽️ Marcus Tavernier 71’—⚽️ Evanilson FT: LIVERPOOL 2-0 BRIGHTON 17’—⚽️ Gross (OG) 21’—⚽️ Alexander Isak FT: HULL CITY 1-1 BRENTFORD FT: CRYSTAL PALACE 0-2 NEWCASTLE
8
295
NJIA gani itumike ili DOUMBIA afunge? . HT: SIMBA SC 🇹🇿 0-0 🇬🇶 15 DE AGOSTO AGGREGATE 🇹🇿 6-1 🇬🇶 . NB: Ibrahim Doumbia amepata NAFASI ZA WAZI (Clear Chances) za kufunga zaidi ya tano lakini hajafanikiwa kufunga kwenye nafasi hizo.
3
13
609
📷 Kikosi cha Yanga SC kimeanza safari ya kurejea Dar es Salaam kikitokea Jijini Arusha ambako hapo jana kililazimishwa sare dhidi ya TRA United na kupelekea kufukuzwa kwa benchi lao la ufundi likiongozwa na Manqoba Mngqithi. Yanga wanajiandaa na mchezo dhidi ya Mashujaa Jumanne
2
4
76
1,321
SIMBA wanatashinda ngapi hapa? . HT: 15 DE AGOSTO 🇦🇴 0-1 🇹🇿 SIMBA SC 43’—⚽️ Nathaniel Chilambo
1
8
581
🚨 JUSTIN: Kiungo Mshambuliaji wa Kimataifa wa Burkina Faso, Stephanie Aziz Ki hii leo alionekana kwenye mazoezi ya Yanga yaliyofanyika kwenye uwanja wa Gymkhana hii na kuendelea kuthibitisha tetesi zilizopo zinazoeleza nyota huyo kujiunga na mabingwa hao wa Kihistoria Tanzania.
1
3
121
3,111
🚨 SAJILI ZILIZOTANGAZWA PAMBA JIJI. . 🇹🇿 Erick Johola 🇰🇪 Stephen Ocheng 🇳🇬 Nonyem Okorocha
22
790
🚨 JUSTIN: Aliyekuwa Msaka vipaji wa Klabu ya Simba SC, Mels Daalder ambaye ni raia wa Uholanzi amefunga ndoa na mpenzi wake wa mda mrefu, Pendo Kileo ambaye ni raia wa Tanzania.
11
4
1
247
17,267