Peter Benedict (@PeterBenedict8) profile picture
Joined May 2014
Photo by Peter Benedict (@PeterBenedict8)Photo by Peter Benedict (@PeterBenedict8)Photo by Peter Benedict (@PeterBenedict8)Photo by Peter Benedict (@PeterBenedict8)Photo by Peter Benedict (@PeterBenedict8)Photo by Peter Benedict (@PeterBenedict8)Photo by Peter Benedict (@PeterBenedict8)
Hapana. Mwambie vichache sana, isizidi 50%..
6
Labda hiyo chumvi
This post is from a suspended account. Learn more
39
Kilimanjaro Arusha Tanga Dar Morogoro Manyara Singida Tabora Shinyanga Mwanza Mara Dodoma
Mikoa ambayo nimeshawahi Kutembea TANZANIA ni. -Katavi -Dar -Mbeya -Mwanza -Arusha -Dodoma -Morogoro -Tabora -Rukwa -Kigoma What about You?
1
22
Dear Intern Pharmacists, your journey of 12 months of internship program finally ends. We all have wonderful memories as we had great moments together. Please keep on behaving professionally & spread all good things you learned from us to the society KCMC wishes you all the best.
1
4
46
3,496
We are happy to celebrate the success with out going Intern Pharmacists of 2022/23. We had great moments together. Please keep a good work you have started and demonstrated while you at KCMC. All the best
1
12
From Operating Room Antibiotic Stewardship in Surgery 1. Ceftraixone and Metronidazole is not the a prophylactic antibiotics to every surgical patient 2. Not all patients need antibiotics after surgery.wound class determines Longevity of antibiotic therapy. Rational use is key – at Mwanza, Tanzania
14
50
1
222
18,937
KCMC Pharmacists are implementing #AMS interventions after received extensive trainings and mentorship from @Northumbria Pharmacy experts through support from @CW_Pharmacists @THET @Theflemingfund. We are humbled and keen to keep #AMS agenda moving forward
2
2
199
Peter Benedict retweeted
Mabaki ya mwili wa Mwalimu wa Shule ya awali meneo la Shabaha Kata ya Bomambuzi Mkoani Kilimanjaro ambaye alikuwa hajulikani alipo kwa siku 30, Lightness Elia (29), yamefukuliwa na mbwa katika shamba la miwa TPC na kuburuzwa hadi pembezoni mwa barabara kando na shamba hilo. Diwani wa Kata ya Bomang'ombe, Juma Raibu ambaye alifika eneo la tukio na kuliita Jeshi la Polisi amesema alipokuwa eneo la tukio walikuta rasta zake na pochi lakini fuvu lake au kichwa chake bado havijaonekana. #MillardAyoUPDATES
46
17
283
43,029
Peter Benedict retweeted
Niwakumbushe tu kwamba, HAKUNA mwajiri ambaye amekamilika 100% kokote duniani. Kila mwajiri ana mapungufu yake. Usiwaze kuacha kazi wakati hujui unaenda wapi na kufanya nini. Vumilia, SUBIRA yavuta heri. Endelea kujifunza despite ya challenges. Challenges create your VALUES. Ukipata kwingine nenda. Usifanye haraka kuondoka kama huna maandalizi sahihi.
31
41
1
308
27,811
KUHUSU SARATANI YA UTUMBO MPANA Saratani ya utumbo imekuwa tishio linaloongezeka kwa afya ya binadamu kote ulimwenguni. Inakadiriwa kuwa saratani ya utumbo ni moja ya sababu kubwa za vifo vya saratani duniani. VISABABISHI Lishe Isiyo Sahihi: Matumizi ya muda mrefu ya vyakula vyenye mafuta mengi, nyama nyekundu, na vyakula vilivyosindikwa vimethibitishwa kuwa sababu inayochangia saratani ya utumbo. Vile vile, upungufu kwenye ulaji wa matunda, mboga mboga, na nyuzi za vyakula vimehusishwa na kuongezeka kwa hatari ya saratani ya utumbo. Unene kupita kiasi: Unene kupita kiasi na kutokuwa na mazoezi ya kutosha ni sababu zinazoongeza hatari ya saratani ya utumbo. Urithi na Historia ya Familia: Historia ya familia ya saratani ya utumbo au magonjwa ya utumbo mpana yanaweza kuongeza hatari ya kuipata. Ikiwa mtu ana mwanafamilia wa karibu aliyeathiriwa na saratani ya utumbo, inashauriwa kufanya uchunguzi wa mara kwa mara. Hatari nyingine: Kuwa na historia ya vivimbe kwenye utumbo mpana (polyp), ugonjwa wa utumbo kama vile ugonjwa wa Crohn, uvutaji sigara, matumizi ya pombe, na umri mkubwa ni baadhi ya hatari zinazohusiana na saratani ya utumbo. MATIBABU: Matibabu ya saratani ya utumbo yanaweza kutofautiana kulingana na hatua ya uvimbe wa kansa na hali ya mgonjwa. Hapa kuna njia kadhaa za matibabu zinazotumika: Upasuaji: Uondoaji wa uvimbe na sehemu ya utumbo iliyohusika ni moja ya njia za kawaida za matibabu ya saratani ya utumbo. Dawa za chemo: Matumizi ya dawa hizi ni kusaidia kudhibiti na kuua seli za saratani katika mwili. Mionzi: Matumizi ya mionzi hutumiwa kushambulia na kuharibu seli za saratani katika eneo maalum la utumbo. Ni muhimu sana kugundua saratani ya utumbo katika hatua za awali, kwani ina uwezekano mkubwa wa kupona kabisa. Kwa kuongezea, elimu na uelewa juu ya saratani ya utumbo ni muhimu katika kupunguza hatari yake. Kampeni za elimu ya afya zinaweza kuelimisha watu juu ya umuhimu wa lishe bora, mazoezi, na kuepuka tabia kama uvutaji sigara na unywaji pombe kupita kiasi.
11
19
1
50
11,642
Barabara za kutoka Moshi mjini kwenda vijiji vya ukanda wa chini hasa Mabogini, Shabaha, Kahe hazipitiki. Mamlaka husika naomba tuchukue hatua za haraka