Kwani Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma inasemaje juu ya kiongozi wa umma kupokea zawadi!?!?
Kampuni ya Humanwell kutoka Wuhan nchini China imemzawadia Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, (@mohamed_mchengerwa ) roboti ya kisasa ya kufanyia upasuaji wa miguu yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 2.65, huku Waziri huyo akielekeza kifaa hicho kikabidhiwe Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) ili kiweze kuwahudumia Watanzania.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa, na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, John Mapepele mmiliki wa kampuni hiyo, Li We Sheng amesema zawadi hiyo ni sehemu ya kutambua juhudi za Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini.
Kwa upande wake, Waziri Mchengerwa amesema roboti hiyo inatarajiwa kukabidhiwa rasmi Desemba 9, 2026, huku akimwelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Grace Magembe, kuhakikisha maandalizi ya chumba maalumu kwa ajili ya mashine hiyo yanakamilika kabla ya kuwasili kwake nchini.
#MillardAyoUPDATES
22
Uhuru na Umoja — Freedom and Unity. 🇹🇿
Our national emblem reminds us of the foundation we were meant to build on. Yet today, deep inequality, political division, and fear threaten the very spirit of those words.
Real Freedom means safety from oppression, abduction, and violence—and the right to be heard.
Real Unity means bridging our divides so every citizen shares in the dignity and wealth of our nation.
Patriotism isn't silence in the face of injustice; it is the courage to hold onto our founding values until they are real for all Tanzanians.
#UhuruNaUmoja #Tanzania #EqualRightAndJustice #UmojaNiNguvu #GetUpStandUp4YourRights
17
Well, I learned something new today: many schools around the world use merit and demerit points, similar to driving licence systems, to encourage good behaviour and accountability. Wondering kama kwetu inaweza kuwa na matokeo pia.
Mtoto anaanza darasa na alama 100; kisha kila akifanya kosa wanakata alama. Zikiwa chini ya 50 hurusiwi kupanda darasa la mbele. Huu ndio mbadala wa adhabu ya viboko kwenye baadhi ya nchi. Hapo Congo tu adhabu ya viboko mashuleni walishsahau. Kwa jumla mifumo ya Elimu ya Kifaransa wanafunzi hupewa alama za nidhamu (points de conduite). Kila kosa linakula point kama mfumo wa leseni unaopingwa hapa kwetu. Je utaratibu huu unaweza kutufaa, baada ya kufuta adhabu ya viboko?
1
28
"No matter where we go, we are the lions in this Kingdom..." Jah Kingdom.... #TALIsALion #TunduLissu #JusticeForTunduLissu is #JusticeForTanganyika and #JusticeForTanzania
29
Iwekeni kwenye mipango rasmi ya serikali ya utekelezaji....
VIDEO:
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itaendelea kulipa uzito suala la marekebisho ya Katiba, akisisitiza kuwa ahadi iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu suala hilo itatekelezwa kwa kufuata taratibu zinazohitajika.
Dkt. Mwigulu ametoa kauli hiyo leo, Ijumaa, Novemba 6, 2026, bungeni jijini Dodoma wakati akiwasilisha hoja ya kuahirisha Bunge.
Amesema katika kujenga mshikamano na kufikia mustakabali wa pamoja wa kitaifa, Rais Samia amekuwa akikutanana makundi mbalimbali ya kijamii, yakiwemo viongozi wa vyama vya siasa, viongozi wa dini, wazee na wadau wengine kujadili masuala ya mshikamano, maridhiano, amani na umoja wa Watanzania.
Aidha, amesema ahadi ya Rais kuhusu marekebisho ya Katiba, pamoja na ahadi iliyoainishwa katika Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2020–2025, zitazingatiwa katika hatua za kushughulikia suala hilo.
28
"We're sick and tired of your ism-schism game
Dy'n' and go to Heaven in-a Jesus' name, Lord
We know when we understand
Almighty God is a living man
You can fool some people sometimes
But you can't fool all the people all the time
So now we see the light (watch you gon' do?)
We gonna stand up for our rights (yeah, yeah)
So you'd better
Get up, stand up (in the morning) give it up
Stand up for your right (stand up right now)
Get up, stand up
Don't give up the fight (don't give it up, don't give it up)"
My Prayer today: It's Your World and Mine
Imagine living in a world, where there is no war…
Imagine that everyone you see, knows what we are living for…(The great being)
Oh what a wonderful world it would be, a world of love and peace
When no evil can abide, only righteousness and creed
And we can do it if we only believe
Yes we can do it if we only agree
It’s your world and mine
Imagine that everyone could give, as much as they’d like to get
And imagine if everyone could learn, to show each other respect
Oh what a wonderful world it would be, for you and me
Then even the blind could see, and the dead man could heal
‘Cause we can do it if we only believe
We can do it if we only agree
It’s your world and mine
Yes imagine that everyone could love, The Most High and the Saviour (Father up above)
And imagine if everyone could reverend the King of King and Lord of Lords (Conquering Lion)
Oh what a holy world it would be, a world of tranquillity
Yes what a beautiful world it would be, a world of serenity
‘Cause we can do it if we only believe
We can do it if we only agree
It’s your world and mine
youtube.com/watch?v=BkvhHGOj…
9
Why boasteth thyself
Oh, mighty (evil) man
Playing smart
And not being clever
You Working outquity
To achieve vanity
But through goodness of Jah
I-dureth for-i-ver
If you are the big tree
We are the small axe
Sharpened to cut you down
Ready to cut you down
These are the words
Of my master
No weak heart (evil man) shall prosper
And whosoever diggeth a pit
Shall fall in it
Where there is no wood
I said the fire goes on
So we have to cut you down
Your dry wood
Without a doubt
If you are the big tree
We are the small axe
Sharpened to cut you down
Well sharped to cut you down
16
Hii lazima AI hii....said and believed one malawian
Are you aware of Abductions in Kenya?
Inspector General of Police Douglas Kanja was summoned to the Milimani Law Courts to address the critical issue of ongoing abductions in Kenya, following the disappearance of Tanzanian human rights defender Twaha Mwaipaya.
22
Katiba Mpya kuwa kwenye Ilani ni hatua moja tu. Jambo muhimu ni kama imeingizwa kwenye mipango ya serikali: Dira ya Taifa 2050, FYDP IV na mipango rasmi ya serikali ya mwaka husika. Swali ni: je, Katiba Mpya imejumuishwa katika mipango hiyo? Ikiwa haimo, basi suala hili linabaki kuwa la utashi wa kisiasa. #KatibaMpya
VIDEO:
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amesema dhamira ya Serikali kuhusu suala la Katiba mpya bado ipo, akieleza kuwa jambo hilo limeingizwa katika Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kwamba Serikali itatoa kauli kuhusu hatua zitakazochukuliwa wakati mwafaka.
Akijibu hoja za wabunge kuhusu Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa fedha 2027/2028, Novemba 2,2026 Bungeni jijini Dodoma, Prof. Mkumbo alikuwa akijibu hoja ya Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu, aliyehoji kutokuwepo kwa masuala ya Katiba mpya na demokrasia katika mpango huo.
Amesema serikali inatambua umuhimu wa utawala bora, demokrasia, amani na usalama, akisisitiza kuwa mambo hayo ni msingi wa utekelezaji wa mipango mingine ya maendeleo na kwamba bila kuwa na mazingira hayo, utekelezaji wa shughuli za maendeleo unaweza kuwa mgumu.
Kuhusu suala la Katiba mpya, Prof. Mkumbo amesema kuingizwa kwake katika Ilani ya CCM ni ishara ya dhamira ya kulishughulikia, huku akieleza kuwa uongozi wa Serikali utatoa maelezo kuhusu hatua zitakazochukuliwa katika utekelezaji wa jambo hilo.
Katika hatua nyingine, amesema serikali inahitaji nguvu kubwa ya kifedha na ushirikiano wa sekta binafsi kutekeleza miradi minne ya korido za usafirishaji yenye urefu wa kilomita 3,417, ambayo inakadiriwa kugharimu Sh trilioni 40.3, akibainisha kuwa Wizara ya Mipango na Uwekezaji itaratibu taasisi mbalimbali ikiwemo Wizara ya Ujenzi, TANROADS, Kituo cha PPP, Wizara ya Fedha na Mamlaka ya Bandari Tanzania ili kuhakikisha miradi hiyo inatekelezwa.
19





















