Eneo la pili Mama @SuluhuSamia ni MALEZI HAFIFU kwa watoto ktk jamii zetu, hili eneo ni la muhimu kwani ndiko inakotengenezwa raia jarabati wajao (future competent citizen) na viongozi wazuri wa kesho.
9
Maeneo mawili Mama @SuluhuSamia uyatupie macho;
Eneo LA kwanza ni Rushwa kwa watendaji bado ni tatizo;
8
Mhe Rais @SuluhuSamia pole sana na majukumu. Unafanya kazi kubwa ya kujenga nchi yetu kwa kasi kubwa mno. Mungu aendelee kukulinda na kukupa afya njema na hekima zaidi ktk kuitumikia nchi yetu.
1
12
Pongezi nyingi kwa PWC kwa kufanikisha Mkutano mkubwa wenye mwitikio wa aina yake wadau zaidi ya 200 kuweza kuhudhiria ktk ofisi iliyopo Kata ya Ketumbeine wilayani Longido, ahaanteni kwa mwaliko wa kushiriki binafsi nimejifunza mengi ambayo yatatufaa ktk mashirika yetu
12
Ahsanteni sana RAS Manyara Mama Carolina Mthapula na Mkurugenzi Wa Halamshauri ya Mji Babati Bi Anna Fisoo kushiriki ktk siku ya shirika letu LA COSITA - Miaka 12 ya utekelezaji Wa Miradi ya Kijamii, tutaenzi upendo huo daima
Replying to @SuluhuSamia
@SuluhuSamia Mhe Rais shikamoo. Nakusalimu kwa jina LA Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania...Kazi iendelee.. Mhe Rais ninakupongeza kwa kazi kubwa unayofanya kusukuma gurudumunla maendeleo ya nchi yetu, pole kwa changamoto ya janga LA corona virus, Mungu atuvushe salama.
1
1
Mhe Rais wangu Mimi naitwa Mr Patrice Deemay Gwasma nafanya kazi na Asasi inayoitwa COSITA iliyoko hapa Babati Mkoa Wa Manyara, nikiwa na historia yako ambayo siku za nyuma uliwahi kuelezea mahali kuwa wewe ni mwanaSekta ya NGO lakini Leo ni Rais wetu
1
Nikila kiapo cha uaminifu baada ya kushinda uchaguzi Wa mjumbe Wa baraza la NGOs - NaCoNGO kuiwakilisha Mkoa Wa Manyara
1
Ninamshukuru Mungu kwa kushinda uchaguzi na kupata kibali cha kuwa MJUMBE WA BARAZA LA TAIFA LA NGOs - NaCoNGO kuiwakilisha Mkoa wetu Wa Manyara
1
COSITA katika shughuli ya uhamasishaji sambamba na uchangiaji wa ujenzi wa bweni la shule ya Sekondari Sigino
1
Nawaza jinsi gani nchi yetu itaweza kupambana na janga la covid 19 bila kuathiri shughuli za kiuchumi napata jibu moja tu nalo ni kusitisha safari zote nje ya mipaka ya mikoa yote Tanzania, kila Mkoa ubaki na watu wake ilhali shughuli za kimaendeleo ndani ya mikoa yao ikiendelea.
1
Kwa hatua ilipofikia nchi yetu namna pekee ilobaki kupambana na covid 19 ni kufunga safari zote nje ya mikoa yote Tanzania, kila Mkoa ubaki na watu wake ilhali shughuli za kimaendeleo ndani ya mikoa yao ikiendelea, hiyo itasaidia kupunguza usambaaji Wa virusi vya CORONA
2
3
COSITA and UNDP/UNOPS have signed a Memorandum of Agreement (MOA) for a 16 months project amounting to TZS 49 mil for the implementation of a Participatory Conservation of Community Based Duru Haitemba Forest in Babati district, Manyara region.
1
















