Clemence Abex M (@PMungetengeko) header
Clemence Abex M (@PMungetengeko) profile picture

Kyusa Finest|Mbeya's Son|Devoted Husband & Father 👨‍👩‍👦‍👦|Lawyer ⚖💊|Advocate 4 Maternal & Child Health🤱🏿👶|MEAL Practitioner📊 |Public Health Enthusiast

Mbeya, Tanzania
Joined May 2012
Photo by Clemence Abex M (@PMungetengeko)Photo by Clemence Abex M (@PMungetengeko)Photo by Clemence Abex M (@PMungetengeko)Photo by Clemence Abex M (@PMungetengeko)Photo by Clemence Abex M (@PMungetengeko)Photo by Clemence Abex M (@PMungetengeko)Photo by Clemence Abex M (@PMungetengeko)Photo by Clemence Abex M (@PMungetengeko)Photo by Clemence Abex M (@PMungetengeko)Photo by Clemence Abex M (@PMungetengeko)
Zamani paper likivuja mtihani unasogezwa mbele. Leo limekuja kama lilivyo.😂😂
20
56
1
558
14,123
Hilda, kosa si kushare video. Kosa ni ujumbe wake: kwamba ndani ya CHADEMA ni Lissu na Heche pekee wenye ujasiri, na wengine wote ni waoga. Kauli ya namna hiyo inawagawa viongozi kuwa mashujaa na wasaliti, na inawavunja moyo maelfu ya wanachama wanaolipa gharama kimya kimya.
Kwahiyo kosa langu ni kushare ile video ya Mange akisema kwamba ndani ya Chadema wenyewe balls ni Mhe. Lissu na Heche..?😂
1
136
Hicho ndicho Lema alichokemea, na amesema hata yeye ana mapungufu. Kusambaza kauli inayogawa chama si kosa dogo kwa sababu tu imesemwa na mtu mwingine, labda tuambie hiyo video ya Mange imeisaidia vipi CHADEMA?
1
40
Na kama ujasiri ni Lissu na Heche pekee, vipi kuhusu Mnyika? Mahinyila? Nshala? Vipi kuhusu maelfu ya wanachama waliokamatwa, waliopoteza ajira, waliopotea na waliolipa damu yao kwa sababu tu ni WanaCHADEMA, Nao ni waoga?
13
Tusijenge utamaduni wa kuamini watu kwa sababu tu wana wafuasi au wanajitangaza kuwa wanaitetea nchi,Tuchunguze hoja zao kama tunavyochunguza za wengine, Kizazi cha sasa hakihitaji miungu ya kisiasa ya kukiongoza,kinahitaji taarifa sahihi, fikra huru na uwezo wa kufanya maamuzi
12
45
3
185
6,745
Clemence Abex M retweeted
Kazi waliyopewa wanaharakati ni kuhakikisha CHADEMA inakuwa kama CUF baada ya kuitumia weee kujipatia pesa nje na mission zao kadhaa! They want to be with voice over leaders in the part! I will retweet in 2030 MUNGU ATUWEKE 👍
11
6
2
52
6,809
Clemence Abex M retweeted
Jambo lililowashinda CHADEMA kila Mwanaharakati ni msemaji wa Chama! Hawana formalities za ku address taarifa za chama! Pia viongozi wao hawakemei au kutolea ufafanuzi kwa baadhi ya mambo hadi watoe ikiwa too late
14
9
1
46
2,524
Katika mazingira ambayo Mwenyekiti wa CDM, yupo gerezani, jambo lolote linaloonyesha ukaribu usioelezeka kati ya kiongozi wa chama na mamlaka za dola lazima liibue maswali. Ikiwa Heche alikabidhiwa paspoti nje ya utaratibu wa kawaida, si jambo la kupuuzwa.
1
94
Mgogoro mkubwa unaoikabili CHADEMA sasa ni huu: inaweza kujiangamiza kwa njia mbili, kwa kuwasafisha viongozi wake kupitia tuhuma zisizo na ushahidi, au kwa kukataa kuuliza maswali kwa kisingizio cha kulinda umoja. Ya kwanza huzaa paranoia; ya pili huzaa cult of personality.
1
16
Ukosoaji usipotawaliwa na kanuni zinazotumika kwa wote, hugeuka witchhunt inayovaa mavazi ya uwajibikaji Kwa hiyo, tusichague nani wa kuwa na mashaka naye. Tuchague kanuni, Wanaharakati wasikilizwe, lakini nao wasipewe mamlaka ya kuamua nani ni msaliti kwa hisia na insinuations
13
#TajiriLaKihaya CHADEMA lazima tujifunze kutofautisha UANAHARAKATI na SIASA. Tukifika mahali tunawaacha wanaharakati watupangie chama chetu kifanye nini, nani awe kiongozi, chama kisimame wapi na kiamue mambo gani, tutakuwa tunakipeleka chama kwenye hatari ya kukiua kwa mikono yetu wenyewe. Mwanaharakati na mwanasiasa wanaweza kuwa na malengo yanayofanana, lakini majukumu yao si lazima yawe sawa. Mwanasiasa anawajibika kwa chama, wanachama, sera, wapiga kura na taasisi za chama. Anaingia kwenye uchaguzi, anatafuta ridhaa ya wananchi na anapaswa kufanya maamuzi yanayoweza kubeba chama kizima. Mwanaharakati, kwa upande mwingine, anaweza kuingia na kutoka kwenye ajenda mbalimbali bila kuwa na wajibu wa moja kwa moja kwa taasisi ya chama. Leo anaweza kuunga mkono CHADEMA kwa sababu anaona chama kinasimamia jambo analoamini; kesho anaweza kukosoa CHADEMA au kuunga mkono nguvu nyingine ikiwa anaona ajenda yake inahitaji kufanya hivyo. Na hilo si kosa. Huo ndiyo uanaharakati. Tatizo linaanza pale chama kinapoacha kujenga msimamo wake wa ndani na kuanza kuongozwa na presha kutoka nje. CHADEMA ni taasisi ya kisiasa. Ina wanachama, katiba, viongozi, vikao, sera na wajibu kwa mamilioni ya Watanzania. Hivyo, maamuzi yake makubwa lazima yatokane na wanachama na mifumo halali ya chama, si kelele za mitandaoni au presha ya watu ambao hawabebi mzigo wa taasisi hiyo. Na tuwe wa kweli,anayekukosoa si lazima awe adui yako, na anayekusifia si lazima awe rafiki yako. Wanaharakati wana nafasi muhimu sana katika demokrasia. Wanaweza kuibua matatizo, kuhoji mamlaka, kutetea haki na kusukuma mijadala ambayo wanasiasa wakati mwingine wanaogopa kuigusa. Chama makini kinapaswa kuwasikiliza. Lakini kuwasikiliza si sawa na kuongozwa nao. CHADEMA inapaswa kuwa na uwezo wa kuchukua hoja nzuri kutoka kwa wanaharakati, kuzipima kwa sera na misingi ya chama, kisha kufanya uamuzi unaolinda maslahi mapana ya Watanzania. Pia tunapaswa kuwa waangalifu na ushawishi wa nje. Dunia ya leo ina nguvu kubwa za kiuchumi, kisiasa na kiitikadi zinazojaribu kuathiri mijadala katika nchi mbalimbali. Hii si sababu ya kumshuku kila mwanaharakati kuwa anatumiwa na mtu fulani,lakini ni sababu ya chama kuwa na uwezo wa kuchambua kila ajenda na kujiuliza: Nani anafaidika? Ajenda hii inamlinda nani? Inaendana na misingi yetu? Na mwisho wake ni nini kwa Tanzania? Hatupaswi pia kuingia kwenye siasa za kuamini kwamba kila anayekuja na fedha, taasisi, NGO au ajenda kutoka nje ana nia mbaya. Lakini vivyo hivyo, hatupaswi kuwa wajinga kiasi cha kuamini kwamba kila ushawishi wa nje hauna maslahi nyuma yake. CHADEMA inahitaji uhuru wa kimkakati. Tusijenge chama kinachotegemea personalities za mitandaoni, influencers au wanaharakati maarufu. Watu huja na kuondoka, lakini taasisi inabaki. Leo mtu anaweza kuwa karibu sana na CHADEMA kwa sababu anaona chama kina nguvu. Kesho akabadili msimamo. Kesho kutwa akahamia chama kingine. Hiyo ni sehemu ya uhuru wake. Lakini chama hakiwezi kubadili misingi yake kila mtu maarufu anapobadili msimamo. Chama lazima kiwe na dira yake. Tunataka CHADEMA iwe chama cha wanachama, sera, taasisi na misingi, si chama kinachoendeshwa na trend za X. MWITO WANGU KWA CHADEMA Sasa ni wakati wa kuchukua hatua, si kubishana tu mitandaoni. Kwanza, chama kiimarishe vikao na mifumo yake ya ndani ili maamuzi muhimu yafanywe kwa mujibu wa katiba, kanuni na misingi ya chama. Pili, CHADEMA ijenge utamaduni wa uwajibikaji na hoja, si utamaduni wa kufuata umaarufu wa mtu. Hakuna mwanachama, kiongozi, mwanaharakati au influencer anayepaswa kuwa juu ya taasisi. Tatu, viongozi wa chama wakumbuke kwamba nguvu yao ya msingi haitoki kwa wanaharakati, influencers wala watu maarufu mtandaoni. Nguvu ya chama inatoka kwa wanachama na wananchi wanaokipa ridhaa.
98
52
16
216
61,026
Hapa Hilda anatuambia CCM walifanya vyema kumfuta Nchimbi kwenye CHAMA CHAO.
‼️UCHAMBUZI WANGU KUHUSU POST YA LEMA..‼️ Leo imebidi nirudi kwenye zile video mbili za Mwenyekiti akisema nifikishieni salam kwa mfiwa na ya ile akiuliza kama salam zimefikishwa. Nimesikiliza vizuri video zote mbili, neno kwa neno. Jambo la kwanza aliyepewa huo ujumbe ili aufikishe ni Makam Mwenyekiti Zanzibar, Said Mzee na sio Brother @godbless_lema , kwanini katoa ujumbe ambao hakupewa yeye au na yeye siku hizi amekuwa Makam Mwenyekiti?? Jambo la pili kwenye hizo video zote mbili Mwenyekiti hakutaja jina la Mfiwa, sasa Brother Lema alijuaje kwamba huyo mfiwa ambae Mwenyekiti alikuwa akimzungumzia ni Nduli Idd Amin Mama ukizingatia kwamba kwenye hii nchi misiba ni mingi.??? Jambo la tatu, Jana tukiwa Mahakamani Mwenyekiti Mhe. Lissu alimuuliza Makam Zanzibar “….Ulifikisha salama zangu??”……. Makam akajibu “…Ndio nilifikisha Mhe. Mwenyekiti,..” means Makam alikua anajua izo salam zilikuwa zinapaswa ziende kwa nani. Wakati Makam anamjibu Mhe. Lissu kuhusu kufikisha hizo salam, Brother Lema alikuwepo na alisikia so kwa lugha nyepesi kwa mtu ambe anaheshimu Taasisi na Protokali zake asingeweza kufanya alichokifanya Brother Lema maana ki Protokali, Kiongozi wako wa Juu akishazungumzia au kutoa majibu juu ya jambo fulani, jambo linakuwa limeisha. Swali jingine ukiachana na kwamba Mwenyekiti hakutaja jina la mfiwa wala jinsia ya huyo mfiwa lakini kwenye ujumbe wa Brother Lema kuna maneno amemlisha Mwenyekiti maana kwenye izo Video Mwenyekiti hajasema hayo maneno, naomba kunukuu maneno hayo “…..Mwenyekiti Lissu anakupa pole sana kwa kufiwa na mume wako kipenzi, tukiwa Mahakamani takribani mara mbili, amesisitiza salamu zake zikufikie pamoja na pole zake kwako, watoto na ndugu zako wote…..” Kwenye izo video zote mbili za Mhe. Lissu hakuna mahali Mwenyekiti kazungumza haya maneno, sasa kwanini Brother Lema kaamua kumlisha maneno Mwenyekiti wetu? Lengo lake ni nini? Lakini pia kwenye huo huo Ujumbe mstari wa mwisho ukiusoma kwa utulivu unaona kabisa Brother Lema anataka maridhiano, mind you wiki kadhaa zilizopita Mwenyekiti Mhe. Lissu alitoa msimamo wake kuhusu hili jambo lakini hata Chama kilishatoa msimamo wake kuhusu Maridhiano, nashindwa kuelewa kwanini Brother Lema anasukuma hii agenda ambayo hata Wananchi hawataki hata kuisikia.???
89
Sema @IsmailJussa fundi sana wa hizi kazi za 'siasa' kanyooka sana. Kuna kipindi alitusanua kuwa Mzee Mwinyi na Mtoto wake ni Watanganyika akatusanua kwa CP Awadhi alipokuwa Kamishina Polisi pale Zanzibar. Alipiga kelele vilivyo kuilinda Zenj.
Jussa: Rais Katoka Zanzibar imekuwa nongwa "Alivyokuwa Rais wa kwao hawakuona Tanganyika imeuliwa, leo Rais katoka Zanzibar imekuwa nongwa," Ismail Jussa, Makamu Mwenyekiti ACT Wazalendo. Jussa alikuwa akizungumza leo Agosti 29, 2026, katika ziara ya chama hicho, katika ukumbi wa Majid Hall, Mjini Magharibi, Unguja.
1
172
Kaandika Sativa inatuhumiwa CHADEMA 😃😃😃😃 nafikiri hawa wanao ituhumu CDM hawana tofauti na SATIVA, labda tofauti ni yeye kamwaga hadharani tu, na wao yapo moyoni.
1
56
Clemence Abex M retweeted
Kada wa ccm Onesmo Olengurumwa ni bingwa wa ushauri wa kipumbavu. Mwaka juzi alishauri CHADEMA tusiwe na mgombea urais ili mwenyekiti wake Samia agombee peke yake. Leo anashauri tukamuombe msahama Samia amuachie Lissu. Huu ushauri wa kipumbavu Onesmo abaki nao huko ccm!
17
77
2
354
7,104
Clemence Abex M retweeted
"NiRelax vipi na nyumbani mimeacha maboga" Real shit 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌
9
33
2
132
6,558
Clemence Abex M retweeted
Una wazo bunifu la kuboresha na kurahisisha huduma za kodi Nchini? , Tuma wazo lako kupitia tovuti ya TRA kitufe cha Innovation portal ushinde milioni 50 , washindi 1020 kuzawadiwa, Mwisho Julai 31, 2026.
5
13
2,694
Do you remember when you joined X? I do! #MyXAnniversary 14 yrs
91
Clemence Abex M retweeted
Replying to @Trichiia
Hi Germaine, I am interested please share.
1
1
2,187