
Applied Economist, # AcCount4Politics #Nothings Personal # LetsHaveFun
United States
Joined April 2011
- Tweets1.3K
- Following243
- Followers48
- Likes2.2K
Pinned Tweet
Replying to @earadiofm @ACTwazalendo
Sura zao tu ni dalili hawatoshi kuwa viongozi. Kuna sura za viongozi bwana.
CCM ni kiwanda cha viongozi lkn kuna wale pure na wale reject, Membe ni reject daraja la chini kabisa, I can’t imagine ACT ndio wamemchukua kupeperusha bendera ya urais🤣
2
TODAY'S CHALLENGE
Assume wewe ni rais wa Tanzania.
Teua baraza lako la mawaziri na utupe jina la waziri mkuu. Pia assume ulipata fursa ya kumpendekeza makamu wako na pendekezo lako lilipita.
Tuone potential governments figures starting 2035-2045
3
Unaeza jikuta unatukana watu hovyo kisa elimu haiendani na Kipato/huna hela🤠
Uliowakuta Kitaa wanakudhalilisha na hela zao maana wana siri nyingi za kitaa na wewe umejaza "academic ignorance aka professorial rubbish" kichwani hutaki kujichanganya…#wacha kitaa ikufunze Adabu🏎
16
Kuna ushetani unafanywa Tz wa kumkamua mnyonge wengine wakatumbue bila kutolea kodi. Huu ni ushetani, mtu anasimamia kucha kusisitiza tozo ambazo hazimwumizi yeye bali myonge ambae anategemea kile kidogo aione kesho. Bigup Regnald, wazo lifanyiwe kazi tuwe mfano @SuluhuSamia
1
Replying to @SuluhuSamia
Waoooh, this fact ia well written 👌🏼
Replying to @Yahya_Kifyatu @robertamsterdam
They all know they are lying and are happy to propagate lies because it it their "constitutional right".. What stands out is their lack of moral integrity. They are unfit to lead
how straight and appropriate this message is
Replying to @robertamsterdam
Tanzania 🇹🇿 will never give you the violence you are searching for. The international media won’t have any bloody chaotic news 📰 this time, the incumbent is winning by a landslide cause he has given +255 a chance to thrive and y’all ain’t happy bout it....
Try other countries 🔐
1
1
Tusiruhusu huu ujinga wa @TunduALissu, @ChademaTz na @ACTWazalendo. Ni kosa kisheria ktk taifa lolote huru kwa mwananchi/ anaetaka kuwa kiongozi kushirikiana na watu wa nje ya nchi yake kuleta influence ya kisiasa kumpata kiongozi. Rejeeni uchaguzi wa Marekani wa mwaka 2015.
2
1
Sikuwahi kujua nimepigwa block na hawa jamaa. Hizi ni dalili za kushindwa vibaya. Hawa jamaa wameshindwa na baada ya uchaguzi chama kinakufa one way @Yahya_Kifyatu @JuniorMasiko @NkonyaMaduhu
1
2
Waambie waambie mzee baba🤣🤣🤣
Hospitali ya halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga vijijini #ChaguaMagufuli Ziendelee kujengwa nyingine nyingi. #Magufuli5Tena
Umemaliza kazi msela @bongozozo_tz . Shukran nyingi kwa kutuwwkilisha watanzania 💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼. You are an inspiration bro, lets always air up positivism in circumstances.
This post is from an account that no longer exists. Learn more















