M A C K ๐Ÿค  ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. (@Omarymsomal) header
M A C K ๐Ÿค  ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. (@Omarymsomal) profile picture

Mr.Countdown 365 days,@ManCity fan & Yanga. sababu ya kukosa ada me kidato ikashindika ๐Ÿ˜ช

hell๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Joined March 2021
Photo by M A C K ๐Ÿค  ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. (@Omarymsomal)Photo by M A C K ๐Ÿค  ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. (@Omarymsomal)Photo by M A C K ๐Ÿค  ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. (@Omarymsomal)Photo by M A C K ๐Ÿค  ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. (@Omarymsomal)Photo by M A C K ๐Ÿค  ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. (@Omarymsomal)Photo by M A C K ๐Ÿค  ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. (@Omarymsomal)Photo by M A C K ๐Ÿค  ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. (@Omarymsomal)Photo by M A C K ๐Ÿค  ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. (@Omarymsomal)Photo by M A C K ๐Ÿค  ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. (@Omarymsomal)Photo by M A C K ๐Ÿค  ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. (@Omarymsomal)
Leo ndio nimegundua na kuamini kwamba Yesu ndiye Mungu mwenyewe.๐Ÿ’ฏ
72
81
9
741
21,797
M A C K ๐Ÿค  ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. retweeted
Baadhi ya vibanda soko la kwa Msuguri vimevunjwa usiku wa kuamkia leo. Baadae patakuwa kwa moto sana pale, ngoja viongozi waje tuone itakuwaje.
3
12
39
931
Ijumaa ya Corporate, ni mwendo wa Raba kali tu huko maofisini! ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‘Ÿ Usikae nyuma, mcheki @Suma_Viatu akudondoshee raba kali zitakazokupa muonekano safi na wa kipekee. Kumbuka, muonekano ni Muhimu.!
11
1
11
138
Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya 331 ya mwaka 2026 Good morning friends๐Ÿ–
4
8
11
193
M A C K ๐Ÿค  ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. retweeted
Sato na sangara wapo wa kutosha wakuu ๐Ÿ”ฅ๐Ÿคธ ๐Ÿ“Mwanza ๐ŸššMikoa yote natuma ,kwa bus na ndege pia ๐Ÿ“ž0756195726 Jumatatu dagaa watakuwepo ,weka oda yako mapema Karibuni sana wakuu๐Ÿ™๐Ÿฟ
9
79
84
863
M A C K ๐Ÿค  ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. retweeted
Mtu Anapanda Daladala Anaanza Kuhubiri Kama Unachukua Mke Wa Mtu au Unabet Hutaenda Mbinguni Hivi Hamjui Yuda Alibet Na Mkeka Wake Ulitiki..!?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
5
12
32
880
M A C K ๐Ÿค  ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. retweeted
Good morning Katika maisha usishindane na watu shindana na muda wako Kila siku jitahidi kuwa bora kuliko jana Maana mwisho wa siku mafanikio yako ni jukumu lako si la mtu mwingine
23
39
49
513
M A C K ๐Ÿค  ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. retweeted
Tofauti ya shule na maisha, shuleni una fundishwa mwisho unapewa mtihani, Ila kwenye maisha unapewa mitihani inayo kufundisha, mtangulize Mungu kwa kila jambo. Muwe na siku njema, Good morning X Familia ๐Ÿ‘Š๐Ÿพ
28
42
1
73
992
Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya 330 ya mwaka 2026 Good morning friends๐Ÿ–
9
18
29
455
M A C K ๐Ÿค  ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. retweeted
Mchumia Juani Hulia Kivulini, Mchumiaji Haamini Kivulini Kuna Joto Balaa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
3
5
27
643
M A C K ๐Ÿค  ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. retweeted
54,000 tuu Nyuki wakubwa mbichi
1
29
40
611
M A C K ๐Ÿค  ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. retweeted
GOBA HILLS MARATHON 2027 SEASON 8 Msimu wa 8 wa mbio yetu pendwa #GobaHillsMarathon2027 sasa itakuwa rasmi 23/01/2027 Viwanja vya sekondary Goba. Msimu hui tunasema #RunBeyondHills sasa kwa 45,000/- jisajili kupitia grr.tukiio.com/marathon/ghmsโ€ฆ #GobaHillsMarathon2027 #RunBeyondHills
8
25
1
27
832
M A C K ๐Ÿค  ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. retweeted
Kila nyakati kwenye maisha ni muhimu sana kwetu kwani unagundua na kupata mafunzo mbalimbali ambayo yanakujenga kwaajili ya maisha ya sasa na baadae cha msingi kuendelea kuamini na kupambana bila kuchoka katika unachokifanya. Uwe na siku njema. Good morning family.
25
29
38
465
M A C K ๐Ÿค  ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. retweeted
Bro to Bro Kwenye maombi yako usisahau Kumuomba Mungu akupe kifua cha kiume ๐Ÿ™๐Ÿ™.
3
16
19
398
Mikwajuu Mikali yote ipo kwa @Suma_Viatu ushindwe wewe tu kupendeza.
16
21
405
M A C K ๐Ÿค  ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. retweeted
Mafanikio yako hayapaswi kuwa kwa manufaa yako pekee Yatumie pia kuinua watu wenye uhitaji.
2
17
635
M A C K ๐Ÿค  ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. retweeted
UNATAKA KUUZA NYUMBA, KIWANJA AU SHAMBA? AU UNATAFUTA MAHALI SAHIHI PA KUNUNUA? ๐Ÿก๐ŸŒ GEOTRAVERSE GROUP OF COMPANIES @Geo_Traverse @GeoConstructors tupo kukuunganisha na fursa sahihi za ardhi na mali isiyohamishika Tanzania. Iwe unataka kuuza au kununua nyumba, kiwanja au shamba, tunakusaidia kupata soko na kufanya mchakato wako kuwa rahisi na wenye ufanisi. Una mali ya kuuza au unatafuta ya kununua? Tuunganishe, tuzungumze! ๐Ÿ“ž 0719 336 667 | 0763 782 274 (WhatsApp) ๐Ÿ“ Dodoma, Barabara ya Tisa GEOTRAVERSE โ€“ Ardhi ni Maisha. #GeoTraverse #GeoConstructors #ArdhiNiMaisha #RealEstateTanzania #Nyumba #Viwanja
๐Ÿค– Made with AI
12
49
1
46
5,354
Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya 328 ya mwaka 2026 Good morning friends๐Ÿ–
20
23
43
633
M A C K ๐Ÿค  ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. retweeted
Replying to @Omarymsomal
Good morning dear friend โ˜บ๏ธโค๏ธ xitter.cf/sincerelyrahma7/statusโ€ฆ
UNATAKA KUANZA UJENZI LAKINI HUJUI NAMNA YA KUPATA KIBALI CHA UJENZI? ๐Ÿ—๏ธ Usipoteze muda kwenye michakato usiyoifahamu. @GeoConstructors @Geo_Traverse tunakurahisishia hatua zote za upatikanaji wa kibali cha ujenzi, kuanzia maandalizi ya nyaraka hadi kibali kupatikana. Huduma zetu zinajumuisha: โœ… Ushauri wa mahitaji ya kibali. โœ… Architectural Designs (Ramani za majengo). โœ… Uandaaji wa nyaraka zinazohitajika. โœ… Uwasilishaji na ufuatiliaji wa maombi hadi kibali kipatikane. Jenga kwa utaratibu, anza na kibali sahihi! ๐Ÿ“ž 0763 782 274 / 0719 336 667 (WhatsApp) ๐ŸŒ geotraversegroup.com ๐Ÿ“ Dodoma, Barabara ya Tisa. GEOTRAVERSE GROUP OF COMPANIES Building Better Futures Together. #GeoTraverse #GeoConstructors #BuildingPermits #ConstructionTanzania #Dodoma
1
1
13
M A C K ๐Ÿค  ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. retweeted
Ni siku nyingine ya kumshukuru mwenyezi Mungu kwa zawadi hii ya uhai. Leo yetu ni bora kuliko jana Good morning wasakatonge wenzangu
19
36
53
763
Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya 327 ya mwaka 2026 Good morning friends๐Ÿ–
19
20
34
478