YULE BOY (@OMsodoki) header
YULE BOY (@OMsodoki) profile picture

father, farmer, carbontanzania, simba &chelsea

Tanzania
Joined March 2020
Photo by YULE BOY (@OMsodoki)Photo by YULE BOY (@OMsodoki)Photo by YULE BOY (@OMsodoki)Photo by YULE BOY (@OMsodoki)Photo by YULE BOY (@OMsodoki)Photo by YULE BOY (@OMsodoki)Photo by YULE BOY (@OMsodoki)Photo by YULE BOY (@OMsodoki)Photo by YULE BOY (@OMsodoki)Photo by YULE BOY (@OMsodoki)
Sijutii kua mfuasi wako hongera sana kaka
Second Master of Laws (Human Rights and Democratisation in Africa) degree from the University of Pretoria secured. Thanks God๐ŸŽ“๐ŸŽ“๐ŸŽ“!
1
1
39
3,478
Upumbavu kabisa huu. Msimamo wa Lissu na Msimamo wa CHADEMA kama Lissu ametenda Uhaini Mnyongeni na kama hajatenda Uhaini muachieni kazi ya Siasa iendelee kufanyika. Haya Mengine hayasaidii lolote. Hakuna wa kumtorosha Lissu ni either mtamuachia wenyewe au Mnyongeni. Shida nini?
53
83
4
447
33,500
#TajiriLaKihaya KUNA MASWALI MAKUBWA YANAYOPASWA KUJIBIWA MUHIMBILI NA JKCI. Leo familia yetu imepoteza mdogo wetu. Moyo wangu umejaa huzuni, uchungu na maswali mengi ambayo hadi sasa hayajajibiwa. Siku ya kwanza nilipofanikiwa kumpeleka mdogo wangu JKCI na kupata chumba cha VIP, nilifurahi sana. Niliona kama tumepata mwanga wa matumaini. Baada ya vipimo, tuliambiwa tatizo lake la moyo lilihitaji upasuaji mdogo tu na angeweza kuendelea na maisha yake kawaida. Tukaahidiwa upasuaji ungefanyika ndani ya siku mbili au tatu. Lakini siku zikageuka wiki. Kabla hata ya kulazwa, tulikuwa tumepambana kwa zaidi ya mwezi mzima tukizungushwa kutoka leo hadi kesho. Mara daktari hayupo, mara jopo la wataalamu halijakaa, mara kipimo kirudiwe, mara tusubiri dawa zifanye kazi kwanza. Kila siku ilikuwa ni ahadi mpya na tarehe mpya. Baada ya kulazwa tuliamini safari ngumu imekwisha. Lakini ndipo mateso makubwa zaidi yalipoanza. Mdogo wangu aliingia hospitalini akiwa bado anaweza kutembea, kuongea, kula na kujitambua. Kila siku tulisubiri upasuaji ulioahidiwa, lakini haukufanyika. Badala yake hali yake ilianza kuzorota mbele ya macho yetu. Wiki moja ikapita. Wiki mbili zikapita hadi wiki tatu Hakukuwa na upasuaji. Kulikuwa na sababu mpya kila siku. Kisha tukahamishwa kutoka chumba tulichokuwa tumepewa kwa madai kuwa kingefanyiwa fumigation. Lakini usiku huo huo mgonjwa mwingine akawekwa kwenye chumba hicho. Hadi leo hatujui ukweli ulikuwa nini- lazima UFISADI ULITUMIKA HAPA! Tulihamishiwa chumba kingine JAPO kilikua VIPโ€ฆ ila hakikua kwenye standard sawa! Hata nakumbuka kuna Daktari wa Kihindi alikuja kusoma vipimo akasema ile MONITOR haipo sawa! Mapigo ya moyo na oxygen haisomeki kwa usahihiโ€ฆ Sasa kwa nn tulihamishwa chumba? Kutoka chumba kizuri kuja hiki?? Kwa nn kile tulichokuwepo alipewa mwingine usiku huo tumehamishwa? CORRUPTION! Baada ya hapo hali ya mdogo wangu ilizidi kuwa mbaya zaidi. Akapoteza nguvu, akashindwa kuzungumza, akashindwa hata kuwatambua watu waliomzunguka. Tulikuwa tunauliza maswali. Tulikuwa tunaomba msaada. Tulikuwa tunaomba hatua zichukuliwe haraka. Lakini muda uliendelea kwenda. Leo asubuhi mdogo wangu amefariki dunia. Siandiki haya kwa hasira pekee. Naandika kwa maumivu ya familia iliyokuwa na matumaini makubwa ya kumuona mpendwa wao akirudi nyumbani akiwa mzima. Kama kweli kulikuwa na uzembe, kucheleweshwa kwa huduma, ukosefu wa uwajibikaji au mifumo mibovu ya utoaji huduma, basi kuna haja ya uchunguzi wa kina na hatua kuchukuliwa. Maisha ya Watanzania yana thamani. Wagonjwa hawapaswi kupoteza maisha wakisubiri tarehe nyingine, kikao kingine au ahadi nyingine. Tunataka majibu. Tunataka uwajibikaji. Na zaidi ya yote, tunataka familia nyingine isipitie maumivu tuliyoyapitia sisi. Kama hapa ni VIPโ€ฆ je wagonjwa wa kawaida wanapata huduma gani??? Pumzika kwa amani mdogo wangu. Tulipambana kwa kila tulichoweza. Mungu akupokee katika makao ya milele. ๐Ÿ’”๐Ÿ•Š๏ธ
#TajiriLaKihaya Cc @TaasisiMoyoJKCI @MuhimbiliTaifa The first day I took my brother to the Jakaya Kikwete Cardiac Institute, I was filled with hope. I truly believed he would receive the treatment he needed and recover. Sadly, after spending nearly a month in the VIP ward, the operation we were waiting for was never performed. Every day brought another postponement, another promise, and another new date. We kept hoping, trusting, and waiting. Today, my brother is no longer with us. As a grieving family, we are deeply disappointed by the delays and the lack of urgency we experienced during such a critical time. When a patientโ€™s life is at stake, time matters. Families place their trust in healthcare institutions, hoping their loved ones will receive timely care and a fair chance at life. Nothing can bring my brother back, but I hope our experience serves as a reminder that patients deserve better communication, better coordination, and more timely medical attention. My brother deserved that chance. May his soul rest in eternal peace. ๐Ÿ•Š๏ธ๐Ÿ’”
685
279
43
887
268,046
YULE BOY retweeted
Bora uwe na wezi na matapeli kila kona kuliko kuna na watu kama kina anko t na mashoga wengine kwenye jamii, wezi saiv wapo na unawajua uliwahi kuwapinga? Wananchi watajua namna ya kukwepana na wezi ila watoto wadogo wanaotizama tv na social media wanaona mashoga wanapewa airtime โ€“ at Tanzania
This Post is from a suspended account. Learn more
1
1
2
178
Bora uwe na wezi na matapeli kila kona kuliko kuna na watu kama kina anko t na mashoga wengine kwenye jamii, wezi saiv wapo na unawajua uliwahi kuwapinga? Wananchi watajua namna ya kukwepana na wezi ila watoto wadogo wanaotizama tv na social media wanaona mashoga wanapewa airtime โ€“ at Tanzania
This Post is from a suspended account. Learn more
1
1
2
178
Na dili za ubalozi. โ€“ at Tanzania
42
Huu nao mnajichekesha wakati mtu kazingua โ€“ at Tanzania
Malipo ni hapa hapa duniani huyu demu alijikuta mzuri sana hapa Tanzania na mimi namwambia huruma sio malezi๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
1
57
โ€œMwamuzi atakayeharibu huo mchezo, sio tu kwamba ataondoka kwenye mpira maisha, tutamfungulia na mashtaka ili tumfunge, hatutakuwa na masihara, hilo mimi nalizungumza wazi kwasababu sehemu kubwa wanaotuletea matatizo ni wao.โ€ - Rais wa TFF, Wallace Karia.
75
95
15
915
39,534
Replying to @kigogo2014
Screen shot utume bcs najua allowance ulikua hujapokea Lowassa hajaangukia pua still alive ,ushajitafutia mradi wa 2030 tutakutana sitting room ambayo huwa tunakutana , mzee lazima tuwepo ili uishi huwa unanisaidia kujua Script writer wako toka March 2021 huwa nihifadhi kila
7
8
88
24,716
Kazi nzuri sana ๐Ÿ‘๐Ÿ‘
Muda wa kazi sasa umefika tar 25/02/2026 tunaanza kuotesha karibu ujifunze location mang'ola @Nyasiye_ @msakufarm @omarysaalim @jason_kanani
1
1
5
215
YULE BOY retweeted
Muda wa kazi sasa umefika tar 25/02/2026 tunaanza kuotesha karibu ujifunze location mang'ola @Nyasiye_ @msakufarm @omarysaalim @jason_kanani โ€“ at Tanzania
3
3
13
547
Muda wa kazi sasa umefika tar 25/02/2026 tunaanza kuotesha karibu ujifunze location mang'ola @Nyasiye_ @msakufarm @omarysaalim @jason_kanani โ€“ at Tanzania
3
3
13
547
Asas Fruit Juice.
54
94
12
670
106,189
YULE BOY retweeted
Ukitaka mbegu bora ya kitunguu maji utaipata kwangu. Whatsapp 0749562782 @PichaNzuri @Nyasiye_ @Nalimasaumu @omarysaalim @msakufarm โ€“ at Tanzania
1
6
11
198
Ukitaka mbegu bora ya kitunguu maji utaipata kwangu. Whatsapp 0749562782 @PichaNzuri @Nyasiye_ @Nalimasaumu @omarysaalim @msakufarm โ€“ at Tanzania
1
6
11
198
YULE BOY retweeted
Watu wa arusha delivery ni bure karibuni mbegu ya vitunguu maji @PichaNzuri @Nyasiye_ @Nalimasaumu @omarysaalim @msakufarm โ€“ at Tanzania
2
7
1
7
241
Watu wa arusha delivery ni bure karibuni mbegu ya vitunguu maji @PichaNzuri @Nyasiye_ @Nalimasaumu @omarysaalim @msakufarm โ€“ at Tanzania
2
7
1
7
241
Kitunguu chenye rangi hii haina mpinzani sokoni Kati ya OPV Bora kutoka Mang'ola ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ #harakatizakilimo
3
12
30
772
YULE BOY retweeted
Nimekua proud sana kua mkulima wa zao hili. Nb kwa mahitaji ya mbegu bora kama hii nichek dm tunauza bei sawa na bure. @PichaNzuri @Nyasiye_ @Nalimasaumu @omarysaalim @msakufarm โ€“ at Tanzania
1
5
5
213