Mtu mwenye akili sana anaona mambo mengi mabaya ambayo wengine hawaoni. Anaona watu wanadanganya, wanatapeli, na mifumo mibovu.
Kwa hiyo moyo wake unachoka. Mwishowe anaona kama heri angekuwa hajui chochote ili tu aishi kwa amani na ale ugali wake bila wasiwasi. ni HUZUNI SANA
Kuna watu hudhania watajificha Makosa na ujinga wao kwa kunadi Mapungufu ya wengine. Ujinga hata uuvalie Suti bado utakuumbua tu!.
Hajawahi kulipwa ubaya kwa aliefanya Wema lakini ubaya hulipwa Kwa Ubaya kinachobadilika ni Mitindo tu! n namna ya Malipo.
Tusiwachukulie watu vibaya kabla Yakuwajua hasa Asili yao na Tabia zao (Malezi)
Wengine walipitia mengi mabaya au walipitia kukosa, hawawezi Kufanana Tabia na waliokuwa wanapata
Tukijuana Inaweza Kutusaidia Kusaidiana, Kuchukuliana & Hata Kuvumiliana Inapobidi.
Usimfanyie vibaya asiekufanyia Ubaya lakini usikidhuru kisichodhuru, 'UKAIDI UNAATHIRI' mara nyingi malipo ya ubaya huwa ni ubaya.
Akili huna 🚮
Replying to @Sativa255
Mheshimiwa Rais akuue wewe, Sativa? Kwa sababu gani, homeboy? Yaani unakuwa umefanya nini mpaka Mheshimiwa Rais akujue binafsi na aamue kwamba unapaswa kuuawa? Honestly, hilo halina mantiki kwangu, mzee.
Ninaelewa maumivu yako na ninahisi uchungu wa madhira uliyopitia. Sitaki kupuuza wala kubeza kile ulichopitia, lakini pia siwezi kuamini au kukubali eti kwamba Mheshimiwa Rais ndiye aliyehusika au alitoa maagizo ya kukudhuru bila kuwa na ushahidi wa kuthibitisha hilo. Ingewezekanaje, na kwa sababu gani? Hata naamini huenda Mheshimiwa Rais amekufahamu zaidi baada ya madhira uliyopitia.
Homeboy, ukweli ni kwamba ninapokuona unawatukana watu wengine, sina shida sana na hilo. Lakini linapofika suala la kumtukana Mheshimiwa Rais, naumia sana, mzee. Naumia mno! Wakati mwingine huwa najiuliza, ikiwa mimi ambaye najitahidi kuishi kwa upendo wa Kristo na kumcha Mungu naumia kiasi hiki, je, wale wenye hasira kali au wenye nia mbaya wanaweza kuchukuliaje jambo hili?
Sativa, nakuomba kwa moyo wa dhati, kama una malalamiko dhidi ya viongozi, yaweke wazi kwa hoja na ushahidi. Dai haki yako na simamia ukweli, lakini usiruhusu hasira ikufanye utumie lugha ya matusi au kukimbilia hitimisho ambalo huwezi kulithibitisha.
Mzee, tafadhali, acha kabisa kumtukana Mheshimiwa Rais. Kuna vita ambavyo havina ulazima wa kuvipigana kwa namna hiyo. Sitaki kukuona ukiingia kwenye mgogoro unaoweza kukuletea madhara zaidi. Una haki ya kutafuta haki na kusema ukweli, lakini fanya hivyo kwa hekima, utulivu na ushahidi.
Nakuambia haya si kwa sababu nakuchukia, bali kwa sababu ninajali maisha yako, amani yako na mustakabali wako. Tafadhali, homeboy, tafakari hili kwa kina.
1
211
Unajua na una nia Njema, ila jamii ilioaminishwa uongo itakuchukulia kua hujui,..ulimwengu na walimwengu.
Kuna Matatizo Alafu Kuna Majaribu Ukiweza kutofautisha Itakuwia rahisi kuenenda Kimkakati na Uvumilivu juu ya suala husika
194
Ukishindwa na jambo, kitu au mtu haina haja yakusingizia lolote au yeyote. kushindwa kunafungua mlango mwingine wa wa upambanaji ikiwa kama ni mbinu mpya.
REPOST WAKUU 🙏
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰
👉 Size S,M,L,Xl,& XXL
👉Bei 25,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0713800448
📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi










