Henry H. Mwinuka (@MwinukaH) header
Henry H. Mwinuka (@MwinukaH) profile picture

l Advocate l Change Maker l School of FACTS & DATA. A Staunch BELIEVER OF GOD & TANZANIA馃嚬馃嚳

Tanzania
Joined March 2019
#KuhusuSheria鈿栵笍馃嚬馃嚳 MALALAMIKO KUHUSU MADEREVA/HUDUMA ZA BOLT NA WATOA HUDUMA WENGINE: NINI KIFANYIKE??鈥硷笍鈥硷笍ZINGATIA HII猬囷笍猬囷笍 Mteja aliyekosewa kwa namna yoyote ile ana haki ya Kuchukua Hatua kwa Mujibu wa Sheria Ndogo za LATRA (LATRA (Complaint Handling Procedures) Rules 2024鉃★笍鉃★笍
1
28
3/4 Kuwasilisha Malalamiko zaidi kwenda Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) na usiporidhika pia unaweza Kwenda Ofisi za Tume ya Ushindani wa Kibiashara (FCC). Ikiwa Dereva amekutukana au kukupiga hilo ni kosa la Jinai na unapaswa kutoa taarifa polisi mara moja, pia鉃★笍鉃★笍
1
16
4/4 Hakikisha umehifadhi taarifa za dereva, trip, amba ya usajili wa chombo n.k kama sehemu ya ushahidi.Ukiacha jinai pia unaweza kumshitaki Dereva na Kampuni husika (mfano Bolt) na kudai fidia. LAKINI PIA ABIRIA NI LAZIMA TUWE WASTAARABU KWA MADEREVA KWA KUACHA KEJELI NA DHARAU!
9
#YBWYB2026馃嚬馃嚳馃嚬馃嚳 Mungu Hutumia Njia zake Kutimiza Kusudi lake, aliwahi kusema Bwana Yesu kupitia Luka 19: 40 ambapo Yesu aliwajibu Mafarisayo waliotaka wanyamazishe umati uliokuwa unamshangilia akasema, "Nawaambia ninyi, wakinyamaza hawa, mawe yatapiga kelele". LINDA MGONGO WAKO!!
34
#KuhusuSheria鈿栵笍馃嚬馃嚳 MTU KUTISHIA KWA SILAHA ISIYO HALISI "FAKE", JE NI KOSA KISHERIA? Kwa wale Mnaouliza Jibu ni Kuwa Kwa Mujibu wa Sheria ya Kanuni ya Adhabu Ni kosa, hata Wizi wa kutumia Silaha ni Kosa hata kama Ukitumia Silaha "fake" na Mahakama ilishafunga watu huko nyuma.鉃★笍鉃★笍
1
30
2/3 Kwa Mujibu wa Sheria Adhabu Sura ya 16 ikiwa mtu atamtishia Mtu kwa silaha iwe halisi au fake kinachoangaliwa sio uhalisia wa Silaha husika pekee bali ni hofu uliyotengeneza kwa Muhanga na Adhabu kwa Mkosaji ni Kifungo Jela mwaka 1 ikiwa ni usiku ni Miaka 2 Jela. 鉃★笍鉃★笍
1
22
3/3 Ikiwa umemtishia mtu kwa silaha hata kama ni "fake" na kisha kufanya unyang'anyi wa mali basi adhabu ni ileile Kifungo kisichopungua Miaka 30 Jela kwa Mshitakiwa ikiwa Mahakama itamkuta ja Hatia. Hivyo uhalisia wa silaha au lah hauwezi kuleta nafuu ya Kupunguza Adhabu.
17
#FikraZangu馃嚬馃嚳 Katika Maisha Nyakati Muhimu zaidi za kuwa karibu na Mtu ni pale Anapopitia Magumu. Hizi ndio nyakati Ambapo Upendo wa kweli, Utu na Uhalisia wa Nafsi kwa mtu hujidhihirisha Vyema.Wakati wa raha/starehe/mafanikio Wengi Huficha rangi zao halisi ili Kunufaika na wewe.
50
#SheriaTZ鈿栵笍馃嚬馃嚳 MPAMBANAJI ZINGATIA HAYA KABLA YA KUFUNGUA KAMPUNI鈥硷笍 Vijana wengi wanaopambana Kiuchumi huwa na ndoto za Kuja Kumiliki Kampuni na kufanya Biashara katika Muktadha wa Kukua kutoka kuwa Sole traders na kuwa na mfumo unaoaminika zaidi katika ulimwengu wa Biashara鉃★笍
1
34
3. Wajibu wa Kisheria wa Wakurugenzi (Directors) wa Kampuni. 4. Wajibu na Utaratibu wa Kuitisha Vikao vya Kampuni na aina za Vikao Hivyo. 5. Utofauti wa Kampuni na Biashara Binafsi (sole trade). 6. Dhana ya Uhai wa Kampuni hauhusiani na Uhai wa Mmiliki/Wamiliki (Perpertuity)鉃★笍
1
11
ZINGATIA: Ukifungua Kampuni Bila kuelewa masuala hayo hapo Juu na Ukaendekea kufanya Shughuli zako Bila ushauri wa Kisheria, Basi kuwa na Hakika kuwa ipo siku utajikuta umefanya maamuzi yasiyo sahihi na pengine yanayokwenda Kinyume na Sheria na Yatakugharimu wewe na Kampuni pia.
8
#KuhusuSheria鈿栵笍馃嚬馃嚳 KUHUSU JAMBO LA ALIYEWAHI KUWA MKUU WA MKOA NA BINTI SOFIA: Naona Rafiki zangu wengi wananiuliza Hili limekaaje Kisheria, Je ni Kosa au vipi?Sasa ili lihesabike kuwa ni Kosa ni lazima mazingira na Ushahidi uweze kuangaliwa kwa Muktadha mpana wa jambo lenyewe鉃★笍鉃★笍
1
54
4/5 kosa la unyanyasaji wa kijinsia, na atakapopatikana na hatia, atahukumiwa kifungo kisichozidi miaka 5 au faini isiyozidi shilingi laki mbili au vyote pamoja, na pia anaweza kuamriwa kulipa fidia ya kiasi kitakachoamuliwa na mahakama kwa mtu aliyefanyiwa kosa hilo (Victim)鉃★笍鉃★笍
1
16
5/5 Kwa hiyo ikiwa Binti Sofia ana hatia au lah, ni suala la mazingira na namna alivyokuwa akimchombeza muhusika.Lakini ili mahakama iliamue jambo hili kwa haki itapaswa Mlalamikaji kufika mahakamani kutoa ushahidi kuhusu Jambo hilo kwani yeye ni shahidi muhimu katika shauri hilo
11
#SheriaThoughts鈿栵笍馃嚬馃嚳 KUHUSU KUVAA NGUO ZISIZO NA STAHA KATIKA NYUMBA ZA IBADA: Nimekuwa Nikiulizwa sana pia Kuhusu hili, Je Mtu Akivaa mavazi yasiyo na staha katika Nyumba ya Ibada ni Kosa Kisheria na kama Ni Kosa, Je Adhabu yake ni ipi kwa Mujibu wa Sheria za Nchi, Fuatilia鉃★笍鉃★笍
1
57
3/4 Kifungu hiki kinaharamisha kitendo chochote kinacho"najisi" mahali pa ibada au kitu kinachoheshimiwa kuwa kitakatifu, kwa nia au kujua kwamba kitachukuliwa kama tukano kwa dini hiyo. Kuingia sehemu takatifu ukiwa na mavazi mafupi sana au yanayobana maungo yako ni Kosa.
1
34
4/4 Pia Kuvuruga Mikusanyiko ya Kidini Kisheria au kuondoa umakini kutoka kwenye ibada kwa sababu ya mavazi ya kustaajabisha au yasiyofaa, kunaweza kuainishwa kama kusababisha kwa hiari usumbufu kwenye mkusanyiko halali wa kidini. ADHABU: KIFUNGO JELA MPAKA MIAKA MIWILI (2).
18