
Radio & TV personality work @radio5
Arusha, Tanzania
Joined July 2020
- Tweets67
- Following96
- Followers255
- Likes106
World war 3 modern Western civilization zitakuwa Destroyed ☢️, Then Communist/socialism countries will be damaged ✍🏽
-Petro Dollar 💰inaenda kuanguka
-Africa Inabaki kuwa safe kweny hivi vita (though We will face famine we have never seen before)
Are you Ready for this Chaos ?🤷🏻
1,637
Mahusiano ni Biashara,kama hauna mtaji wa kutosha ni vyema usijiingize kwenye biashara hiyo .Trust me o Not!
1
1,766
Mr Connection retweeted
Micshariki Africa na Sela Ninja wanakuletea albam "Uchavushaji Elimu Ya Fedha".
Album hii imewashirikisha ma emcee, waimbaji na DJ kutoka Kenya, Tanzania, Marekani na Uingereza.
Ni album ya kwanza ya Hip Hop yenye maudhui ya Elimu Fedha.
li.sten.to/uchavushajielimuy…
Ukipata nafasi Chukua Muda wako kasikilize Album ya #Nisher hutajutia.
Nb: Unaambiwa Album Nzima karecod na kumaliza kila kitu Mwenyewe🏌️♀️ Bruh was Ahead of Time No Cap🧢
[ARTIST,PRODUCER AND DIRECTOR]
R.I.P🕊️
2,836
Mr Connection retweeted
Huyu ndio mshambuliaji wa zamani wa Yanga aliyekuwa kiboko ya Simba, Said Sued ‘Scud’ baada ya kufanya maajabu kwa kuifunga Simba SC mara mbili katika msimu mmoja.
Scud aliichezea Yanga kwa msimu mmoja tu kabla ya kutimkia Milambo ya Tabora aliyodumu nayo kwa miaka mitano. Hivi sasa ni mmoja ya Maustadh wakubwa mkoani Kigoma. – at Sidi Belyout, Morocco
Nimetoboa mbele ya tale,kipara na asake wa tandale🤣 #kondeboymjeshi
Ngoja niulize kwa mara nyingine ameharibu remix au hajaharibu?
Bahati gani ilishawahi kukutokea kweny maisha yako na ungetamani ijirudie tena?
Catch us Live (5fm) #serikaliyamchana
1
2
I'm chase money i get doh ma Own ppr💸 we unapewa bruh,tuko tofauti tena sana mana we unauza sura me nauza flow!🔐
Uliacha kitu gani unachokipenda kwa shinikizo la mpenzi wako?? #stormob
1
Ilishawahi kukucost kuwa mkweli/muwazi kwenye mahusiano yako?? #storymob
Vitu gani Huwezi Kuwa mkweli au Muwazi Kwa mpenzi wako? Yani piga uwa utamficha tu!
#storymob #serikaliyamchana #mrconnection
Rafiki wa aina gani huwezi kumtambulisha kwa mpenzi wako??
#serikaliyamchna #storymob








