Jitu la Kale (@Mpare14) header
Jitu la Kale (@Mpare14) profile picture

Mpare Msomi.

Tanzania
Joined July 2017
Photo by Jitu la Kale (@Mpare14)
GBV in the world of work is one of the most important and widespread obstacles to women’s economic empowerment, autonomy and independence and to the realisation of gender equality. #ILOConventionTz | #C190
1
21
1
30
Usikose kufuatilia kipindi cha Ijue Sheria jumatano ya wiki hii kinachorushwa na @ITVTANZANIA. Mada ikiwa ni “Ukatili wa Kijinsia Mahala Pa Kazi”. Muda ni kuanzia 12:30 jioni. #ILOConventionTz | #C190
1
15
1
21
Upo umuhimu wa kuvitambua viuatilifu vinavyofaa kwa kilimo hai ili wakulima wanawake waweze kuvitumia kwa kilimo chenye tija. - Mshiriki #InternationalDayOfRuralWomen #DecentWorkInAgriculture
14
20
Kuna umuhimu wa kusimamia utaratibu wa watu binafsi kuwakopesha wanawake wakulima mikopo ya mazao ambayo ikifika wakati wa mavuno hata kama mavuno ni madogo wanalazimika kuilipa bila kuangalia hali halisi ya mavuno ya mkulima - Mshiriki #InternationalDayOfRuralWomen
1
13
10
Tukizungumzia kilimo chenye staha na tija tunamaanisha, kilimo chenye kumuongezea thamani mkulima mwanamke. Huu ndio mfano halisi na huyu ni Bi. Pili Kashinde kutoka Zanzibar akionyesha bidhaa zinazotokana na Kilimo hai. #InternationalDayOfRuralWomen #DecentWorkInAgriculture
13
19
6. Kuzitambua na kuzizungumzia mila na desturi kandamizi ili kuleta usawa wa ushiriki katika shughuli za kilimo. 7. Kuongeza uwezo wa mwanamke mkulima kuweza kupata mpango wa mafao ya kustaafu, umiliki wa ardhi na bima #InternationalDayOfRuralWomen #DecentWorkInAgriculture
1
8
6
Je, ni kweli kuwa huduma za kilimo zipo zaidi mjini na hazishuki kuwafikia wakulima vijijini? #InternationalDayOfRuralWomen #DecentWorkInAgriculture
71%Kweli
24%Si Kweli
6%Sijui
17 votes • Final results
5
1
Je, wanawake wengi kuajiriwa kama vibarua kwenye sekta ya kilimo ni fursa? #InternationalDayOfRuralWomen #DecentWorkInAgriculture
29%Ndio
65%Hapana
6%Sijui
17 votes • Final results
6
2
Maadhimisho ya Siku Ya Kimataifa Ya Wanawake Wa Kijijini. “Kilimo chenye staha kitakuza uchumi na kujenga msingi wa usawa wa kijinsia”. #InternationalDayOfRuralWomen #DecentWorkInAgriculture
2
16
27
National Dialogue on analysis of decent work in agriculture during commemoration of #InternationalDayOfRuralWomen “Decent agriculture will build the economy and promote a foundation for gender equality” 15/10/2020 #DecentWorkInAgriculture
2
13
16
Commemoration of #InternationalDayOfRuralWomen targets rural women who are active agents of economic and social change and environmental protection in many ways and to various degrees, constrained in their roles as farmers, producers, investors, caregivers and consumers.
1
14
12
Decent Work Agenda is the balanced and integrated programmatic approach to pursue the objectives of full and productive employment and decent work for all at global, regional, national, sectoral and local levels. #InternationalDayOfRuralWomen #DecentWorkInAgriculture
1
14
16
Je, ajenda ya kazi zenye staha inaendana na mwanamke wa kijijini ambae kilimo ndio ajira yake? #InternationalDayOfRuralWomen #DecentWorkInAgriculture
8%Ndio
83%Hapana
8%Sjui
12 votes • Final results
8
3
Shirika la kazi duniani (ILO) ndio waanzilishi na watetezi wa ajenda inayojulikana kama “Kazi za Staha” kwa kusaidia kutengeneza miongozo ambayo inaelezea aina za kazi zenye staha, mazingira ya kazi zenye staha na umuhimu wa kazi zenye staha. #InternationalDayOfRuralWomen
1
8
7
Uchambuzi wa kazi zenye staha kwenye kilimo unaendelea muda huu na Anna Mushi kutoka @FSDTanzania ndio muongozaji wa mjadala huu. #InternationalDayOfRuralWomen #DecentWorkInAgriculture
1
17
26
Baada ya mijadala iliyofanywa na wakulima wenyewe kwenye vikundi sasa ni muda wa mrejesho. Kanda ya Kusini - After the discussion conducted by farmers themselves in groups now its time to receive some feedback. Southern Zone #AgroecologicalPracticesTz
1
8
8
Today we are meeting up with smallholder farmers to deep dive on the effects of climate change and ways to cope up for effective agricultural production. #AgroecologicalPracticesTz
2
13
21
Je, mkulima mdogo anahitaji nini ili aweze kupata uzalishaji wa kilimo wenye tija? Haya ndio majibu ya washiriki wetu - What does a small farmer need yo be able to produce productive agricultural production? These are the responses. #AgroecologicalPracticesTz
1
10
4
Vipi ni vichochezi vya mabadiliko ya tabia ya nchi? Hii ndio mada inayoendelea muda huu na Joram Wibbo Project Coordinator - Public Finance for Agriculture kutokea @ActionAidT ndio anatufungulia mjadala huu #AgroecologicalPracticesTz
1
8
6
The role of women : Be a role model 📌 - Marwa Maridadi (ILO Tanzania) #DecentWorkInAgriculture
11
10