Hapo nyuma tulikuwa tunazireport page kama hizi huu utaratibu umefia wapi
Naomba tuwareport hapa
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP- Camilius Wambura amefanya mabadiliko madogo kwenye jeshi hilo kwa kumhamisha Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma, Kamishna msaidizi mwandamizi wa SACP Theopista Mallya kwenda makao makuu ya jeshi hilo.
76































