Pinned Tweet
Manchester United is not just a club.
Itโs identity. Itโs mentality. Itโs responsibility. ๐ด
Since Ferguson left, the club didnโt lose quality, it lost continuity and belief in its own DNA.
Here I share honest United opinions, football analysis, and sport beyond the pitch.
Usihukumu Tabia ya Mtu Akiwa Amefungwa Na Mazingira, Mtazame anacho kifanya akiwa huru, hapo ndipo utaona sura yake halisi na tabia zake.
16
#TBT ya leo
Sir Alex Ferguson aliwahi kumuacha David Beckham.
Mmoja wa nyota wakubwa kabisa duniani. ๐งต๐
1
50
Ujumbe ulikuwa mmoja:
Kipaji ni muhimu. Umaarufu hupita.
Lakini hakuna mtu aliye mkubwa kuliko Manchester United. . ๐ด
1
17
VAR inaweza kukagua offside, lakini haiwezi kukagua nani anafanya transfer ya mke wa mtu usiku wa World Cup.๐คฃ๐
Mlungwana Jr. United DNA retweeted
โWanaonufaika na mapungufu ya Katiba ndio wenye madaraka ya kuiboresha.โ
Ret. Judge Prof. Ruhangisa
PSG kasema labda yeye asiwe bingwa mtetezi ndo njia pekee ambayo Senali anaweza chukua kombe ilo ๐
1
68
CCM kutoka madarakani na Arsenal kuchukua UCL, vyote vinaonekana kuwa simulizi za kufikirika kuliko uhalisia Tawile ๐
95
Ee Mwenyezi Mungu, kama ulivyoacha mambo yaende kwa utaratibu wake kwa miaka yote hii, tunaomba na Arsenal waendelee na utaratibu wao wa kubaki bila makombe ya Ulaya.Tunakutegemea Baba etu wa mbinguni ๐๐๐พโฝ
30
Mlungwana Jr. United DNA retweeted
hakuna siku nimetembea umbali mrefu kwa miguu kama October 29 aise nilitembea mpaka nikahisi nimekua muisrael ..๐๐๐๐๐๐ผ๐ฎ
RIP Wanangu Tuliotoka Ila hamkufanikiwa Kurudi.๐๐ผ๐๐ผ
Eee Mwenyezi Mungu, bariki mpira wa miguu na ulinde heshima ya mchezo huu. Huko Budapest kuna jambo linapangwa, tunaomba liishie kuwa funzo na si historia Amen ๐
22
Mlungwana Jr. United DNA retweeted
Mashabiki wameinuka, uwanja umelipuka! Arsenal anachapwa goal la tatu hapa mpira umeongea lugha yake! Raya ameangalia tu kama abiria wa dirishani Ooh my God ๐ฆ
Tunaomba amani duniani, afya njema kwa familia zetu, na Arsenal wasichukue UCL. Eeh mwenyezi Mungu tunusulu ๐๐
13
Mlungwana Jr. United DNA retweeted
WHERE IS NINJA, FREE HIM NOW!!
Huyu jamaa sio rafiki yangu, infact ni miongoni mwa watu ambao walikuwa wananikejeli na kunitusi (sababu ya ushabiki wa Wasanii wengine wa Hip Hop). Ila kama kweli mimi ni mpenda na mtetea haki, nitakuwa mnafiki nisipotumia nafasi na sauti yangu kupaza sauti juu ya kitendo cha yeye kutekwa!!
SERIKALI HARAMU inawaza tu kuhusu wao kubaki madarakani, na sio majeraha inayowaachia Wazazi na Familia kiujumla kwa kuendelea kuteka na kukamata watu kiholela kinyume na sheria. Nakemea kitendo hicho na naungana na wenzangu kusema FREE DAMOUR NOW !!
Kama @Ninja_Damour hajapatikana kwenye vituo vyote vya polisi, basi RPC ajiuzulu kazi leo leo maana ameshindwa kulinda Wananchi hadi uhalifu kufikia kiasi hicho. #WeWantJustice #FreeNinja #MwalimuMkuuMAMAyenu























