Ebbie Mkandara (@Mkandara) profile picture
Toronto, Canada
Joined April 2009
Photo by Ebbie Mkandara (@Mkandara)Photo by Ebbie Mkandara (@Mkandara)Photo by Ebbie Mkandara (@Mkandara)Photo by Ebbie Mkandara (@Mkandara)Photo by Ebbie Mkandara (@Mkandara)
SIRI YA UKABILA - Nilikuwa sijui kama Wasukuma wanachukiwa Kiasi hiki...
1
Hivi Kweli Ikulu wameshindwa kutangaza kifo cha Balozi Abbas Sykes mmoja wa waasisi wa Chama alolitumikia Taifa hili toka wakati wa Mwalimu JKN?
1
Hivi Tukiambiwa Airbus 1 ya ATCL imeshatumia karibu Tsh. bil.1 kati ya Mwezi April na Mei, nani atanfunga Paka kengele?
1
Narudia kusema:- Kama kweli Mama Samia ni Mkweli na sii Mnafiki basi aanzishe Uchunguzi nani alomlisha sumu Mzee Mang'ula! Maana toka kina Kolimba,, Mwakyembe na wengineo wengi tu walilishwa sumu na hajawahi kukamatwa wala kushitakiwa mtu yeyote kwa kosa la Kukusudia kuua!
2
UKIMSIFIA MGEMA, TEMBO HULITIA MAJI...
1
Hivi kuna Uchunguzi wowote unao/ulofanyika kuhusu nani alihusika kumlisha sumu Mzee Mang'ula? Maana historia inawasuta CCM ktk Ugaidi huu toka kina Kolimba, Mwakyembe na hao Watu wasiojulikana.
Ule wakati wa Siasa za Mipasho, Ahadi, kujazwa Matumaini zaidi ya Uhalisia Umerudi kwa kasi mpya. Ama kweli mkono mtupu haulambwi..
Nasikia sasa hivi Boeing inaruka safari za Masafa mafupi, wakati tunajikinga na maradhi ya Corona
Je mmegundua kitu? Japo bado tupo kwenye maombolezi (siku ya 20) lakini inashangaza! toka Magufuli atutoke Waandishi wa vifo vya Corona nao wamepotea, sasa hivi tuna Washauri wa rais...
Kuna wakati hupitia Tweet za watu nabaki kujiuliza hivi Watanzania wamekuwa watu wa Umbeya na mipasho? Hivi Twitter ina tofauti gani na Saloon za wasuka nywele?
Kuna watu ama kweli Wachawi wa roho..Yaani hata Maiti bado inawapa taabu kuvumilia.. - Kudadadeki
1
1
Kabla ya Uchaguzi wa mwaka 2015 ilisemekana mkuu fulani alimwaga mahela kununua viongozi ili Chama fulani kipate Wabunge na Madiwani wengi wawakilishi. Sasa wanapoondoka lazima kuwe na mashaka! Busara yanipa kuwa - Alonunuliwa kwa fedha atauzwa kwa fedha!
Kuna watu wanashangaa kwa nini tumenunua ndege hii wakati hatuna madawa Hospitali lakini wao wamenunua magari wakati hawana Bima ya Afya!..
3
Ebbie Mkandara retweeted
House committee says privacy laws should apply to political parties ift.tt/2lhvVNk #hw #cdnpoli
1
9
2
7
Msaada tutani. Kila mara husikia Katiba hairuhusu Uraia pacha, Je, ni ibara gani ya Katiba inayozungumzia Uraia na haki zake?