Sama Gallya (@MissoSalum) header
Sama Gallya (@MissoSalum) profile picture
Joined August 2025
Photo by Sama Gallya (@MissoSalum)Photo by Sama Gallya (@MissoSalum)Photo by Sama Gallya (@MissoSalum)Photo by Sama Gallya (@MissoSalum)Photo by Sama Gallya (@MissoSalum)Photo by Sama Gallya (@MissoSalum)Photo by Sama Gallya (@MissoSalum)Photo by Sama Gallya (@MissoSalum)Photo by Sama Gallya (@MissoSalum)
馃毃馃嚨馃嚬 BREAKING: CRISTIANO RONALDO RETIRES FROM INTERNATIONAL FOOTBALL.
6,685
28,380
6,451
280,834
8,118,650
Dumbia Leo kafunga yule Binti aolewe sasa
1
61
Sama Gallya retweeted
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 313 Katibu Mkuu wa Chadema anaendelea kutoa ushahidi wake. Mahakama imerejea muda huu saa tisa kasoro alasiri. Majaji wameingia tayari na Ajuaye Zengeli anasema wako tayari. Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika anapanda kizimbani. Anasimama KATUGA anasema atakuwa na maswali machache labda kama wenzangu pia watakuwa nayo Katuga: Nitakuwa na maswali machache na nafahamu wewe ni mkristu mwema. Kwa Cheo chako cha Katibu Mkuu ni mtendaji mkuu wa CHADEMA? Mnyika: Ndio Katuga: Chadema inaongozwa kwa sheria Mnyika: Katiba, kanuni, Miongozo na Maamuzi ya Vikao. Katuga: Katiba ni instruement muhimu na unaijua sana? Mnyika: Naijua kwa kiasi cha Kutosha. Katuga: Katiba yenu ni document inayopatikana iko public? Mnyika: Sahihi. Katuga: Katibu Mkuu anapatikanaje? Mnyika: Anapendekezwa na Mwenyekiti wa Chama na anathibitishwa na Baraza Kuu. Katuga: Mbona unatuchanganya? Mnyika: Ndio nimekwambia anapendekezwa na Mwenyekiti na kuthibitishwa na Baraza Kuu sio kwamba nateuliwa na Mwenyekiti. Katuga: Ibara ya 3(5) ya Katiba ya Chama inasema Chadema inaamini katika uzalendo na kuthamini mila na desturi zetu? Mnyika: Itabidi nirefresh sasa siwezi kujibu hivyo, nipewe nafasi. Jaji Ndunguru: Haya angalia. Mnyika: Ni sahihi Chadema inaamini katika uzalendo na kuthamini mila na desturi. Katuga: Dhumuni Kuu ibara ya 4 ya Katiba ya Chama inasemaje? Mnyika: Kuhakikisha Chama chetu kinashinda Chaguzi na kushika dola kwa njia ya Demokrasia. Katuga: Kwa jinsi lilivyowekwa ndio kubwa kuliko yote? Mnyika: Katiba ina madhumuni ya kisiasa, kiuchumi na kijamii. Kushika dola sio dhumuni kuu na pekee. Katuga: Kiwango chako cha Elimu ni kipi? Mnyika: Ni kidato cha Sita. Katuga: Huna uelewa wa Sheria? Mnyika: Kwa vile sijapita law school unaweza kuniita layman. Katuga: kwahiyo maoni yako ya kisheria unayabagaza tu? Mnyika: Nina uzoefu wa miaka 23 wa siasa na utendaji na pia nimetunga sheria kwa miaka 10. Mhe. Lissu: Haya mambo ya kumuuliza kuhusu maoni yake ya kisheria hakuna aliposema hivyo shahidi. Majaji wanateta pale. Jaji Ndunguru: Tuendelee. Katuga: Ulisema wewe ni afisa masurufi? Mnyika: Masuhuli Katuga: Wewe ndio custodian wa fedha zote za Chama. Mnyika: Hapana. Katuga: Kwani majukumu yako ni nini? Mnyika: Kuidhinisha matumizi ya pesa na kupokea taarifa za fedha kadri zinavyoandaliwa na wahusika. Katuga: Unahusika na pesa zetu za tonetone? Na unahusika na kuzipokea? Mnyika: Mimi ni accounting officer na sipokei pesa. Katuga: Kama Mdau ameipatia Makamu wa Rais pesa unazipokea wewe? Mnyika: Chadema haina Makamu wa Rais. Katuga: Nimekosea hapo. Hivi wewe ndio unayelipa mishahara? Mnyika: Mimi sio mlipaji wapo wanaolipa. Katuga: Kwahiyo usipoidhinisha wewe wanalipwa? Mnyika: Kwanza Chadema hatuna mishahara tuna posho tu. Katuga: Usipoidhinisha wanapata: Mnyika: Inategemea kama hizo pesa zipo. Zisipokuwepo hawawezi kupata chochote. Katuga: Soma ibara ya nne pia Mnyika: Kuthamini Demokrasia Katuga: Kuna vyama havina mrengo wenu? Mnyika: Sahihi Katuga: Kuna vyama vingine haviamini katika No Reforms,No Election. Mnyika: Siwezi kuvisemea. Katuga: Vyama vingine vya siasa vina wanachama wake? Mnyika: vyama vipi hivyo? Katuga: Katiba ya Chama si inasema mnathamini uwepo wa vyama vya siasa. Kwenye hivyo vyama vingi kuna vyama ambavyo vina wanachama wake? Mnyika: Siwezi kuvisemea vyama vingine ambavyo ni vya mfukoni tu, siwezi kuvijua kama kweli vina wanachama. Katuga: Vyama vyenye usajili ni vingapi? Mnyika: 19 Katuga: Vyama 18 vina wanachama wao na itikadi zao? Mnyika: Siwezi kuvisemea. Katuga: Ni kweli Chama cha siasa ili kisajiliwe lazima kiwe na wanachama? Mnyika: Unaweza kuwa na Chama kikishasajiliwa wakahama au kuondoka. Lakini pia kwa mazingira ya sasa msajili anaweza kuvilinda vyama hewa hata kama havina wanachama. Inawezekana. Part 314 itaendelea kwenye post inayofuata, Naomba repost yako
13
333
7
1,018
42,949
City tunaua mtu馃槂馃槂
142
Half time lakini Man City hatujapiga hata shots on target 1,. Duh kweli City hii tia maji.
184
EXCLUSIVE: Our CNN investigation found that Tanzanian police killed protesters, and signs of mass graves used to hide their brutality. We spoke to more than 100 people, used forensic analysis of videos, and satellite imagery. The govt didn't respond to our detailed questions
739
9,300
602
15,326
1,043,555
Sama Gallya retweeted
Majaji kuna kitu nimesikia kwa mara ya kwanza katika maisha yangu. Kwamba maneno ni matendo. The deed of uttering words. Waheshimiwa majaji maneno sio matendo ieleweke vizuri. Huyu Katuga ni mtu mwema sana alituletea maana ya deed kutoka Black's law dictionary anaisoma hapa. Deed sio maneno, something that is done or carried out na sio kusema, kuongea. Hiyo ndio Deed. 馃槀馃槀馃槀Katuga alisoma maana ya Deed kwenye blacks law dictionary hakuelewa. NB: Kwenye bunge la spika ANNA MAKINDA Tundu Lissu alisema kusema sio kutenda kosa Baadae nitawapa hiyo video yake.
8
58
1
298
18,933
馃榾馃榾馃榾
116
Bora hizi mbwa zimetoka.
1
85