Celina Yanga (@MissGeezi) profile picture

Proverbs 27:1 - 3

Joined August 2020
Photo by Celina Yanga (@MissGeezi)Photo by Celina Yanga (@MissGeezi)Photo by Celina Yanga (@MissGeezi)Photo by Celina Yanga (@MissGeezi)
“Usimwabudu mwanadamu kwa sababu ya cheo chake. Mheshimu kwa utu wake, lakini usiache ukweli kwa ajili ya kumfurahisha.”
2
198
😍😍
Kuna hawa wanawake wa kinyiramba oyaaa🤓.
179
Lol
Walimu ni mwendo wa kuangalia TVs tu sasa....
180
25
181
8,979
Celina Yanga retweeted
This video kills me everytime I watch it 🤣🤣🤣🙌
48
227
12
1,919
202,749
😂😂😂😂😂
Wanasiasa wengine wanaweza kujifunza kwa wale wa USA ambapo hatujasikia hata mgombea mmoja akikosea kujaza form..... Muwe mnajaza forms kwa USAHIHI....ili msienguliwe
272
Foleni ya Mwenge na Kimara bila kubeba chakula cha kula njiani huwezi kutoboa 😀
12
19
3
302
14,049
Mtu akikutafutia kazi au mchongo ukiharibu unamchoresha na yeye
2
222
Tatizo la mfumuko wa bei ya cement Mh ulifikia wapi.?? Tunaoteseka ni sisi wananchi wa kawaida ... Haiwezekan mfuko uuzwe kwa bei ileile ya zamani?? Cc: @WizarayaUJ @TZWaziriMkuu @vpo_tanzania @SuluhuSamia
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi ameonesha kutoridhishwa na utekelezaji wa maelekezo ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusu kuunganisha mifumo inayobuniwa kwa ajili ya kutatua changamoto za ajira na fursa kwa Vijana Nchini. Akizungumza alipotembelea Banda la Ofisi ya Rais – Vijana, Ndejembi ameelezwa kuwa Mfumo wa Usajili wa Vijana (YES) umesajili Vijana 22,572, lakini hadi sasa una fursa saba pekee. Kutokana na hali hiyo, Ndejembi ameitaka Wizara ya Vijana na Taasisi zake kuongeza jitihada za kuimarisha ushirikiano na kuhakikisha mifumo hiyo inaleta matokeo yenye tija, badala ya kuishia kwenye usajili na ukusanyaji wa taarifa pekee. Aidha, amesisitiza umuhimu wa mifumo hiyo kuunganishwa na kuweza kubadilishana taarifa ili kuwapunguzia Vijana gharama na usumbufu wanaoupata katika jitihada za kutafuta ajira na fursa mbalimbali za kujiinua kiuchumi ikiwemo kutumia bando. #MillardAyoUPDATES
1
2
357
TUTAFUTE HELA kuna matatizo mengi Tunaweza kuhisi ni ya KIROHO kumbe ni msongo wa mawazo na kushindwa kudhibiti hisia. Hata Biblia inasema FEDHA NI JAWABU LA MAMBO YOTE (Mhubiri 10:19)
2
11
56
6,606
Jamaa walizidiwa kila kitu
21
14
2
336
16,141
Celina Yanga retweeted
Nobody said it's going to be easy.
17
11
35
1,924