Benedict K. Millumba🇹🇿 retweeted
🇹🇿 Tanzania champions Simba proved their attacking prowess, beating rivals Young Africans (Yanga) 4-1 on Sunday at the National Stadium in Dar es Salaam to book a slot in the FA Cup final 🏟️
Benedict K. Millumba🇹🇿 retweeted
The wreckage of the USS Hornet, a WWII US Navy aircraft carrier that's been lost for 76 years, has been found in the South Pacific cnn.it/2Dxc9X3
Benedict K. Millumba🇹🇿 retweeted
"Nimewasikiliza, kimsingi lina umuhimu na ndio maana nimeona niwaite na hasa kwa sababu nimekuwa nikisikiliza maelezo hata ya Regulator, yanakuwa too academic" Rais Magufuli
#MillardAyoUPDATES
Benedict K. Millumba🇹🇿 retweeted
Siri ya vuja, United iliondoa kila kitu kwenye ofisi ya Mourinho dakika tano tu kupita baada ya kutimuliwa - bongo5.com/siri-ya-vuja-unit…
Benedict K. Millumba🇹🇿 retweeted
TANZIA: Muigizaji mkongwe wa kundi la Kaole, Ramadhani Mrisho maarufu kama Mashaka afariki dunia - bongo5.com/tanzia-muigizaji-…
Benedict K. Millumba🇹🇿 retweeted
Kwa mtu yeyote mwenye taarifa ambazo zitasaidia kupatikana kwa mwekezaji wetu Mohammed Dewji anaweza kuwasiliana na familia ya Dewji kwa namba 0755030014, 0717208478 na 0784783228 au kutuma barua pepe findmo@metl.net
#BringBackOurMO
#MrudisheMoWetu
#BringBackMo
Benedict K. Millumba🇹🇿 retweeted
Dakika ya 85: #TanzaniaPremierLeague
Yanga SC 1-0 Mbao FC.
Game iko LIVE #AzamSports2 na #AzamTVApp
#SisiNiSoka #LigiKuuTanzaniaBara #YangaVsMbao #YangaSC #MbaFC
Benedict K. Millumba🇹🇿 retweeted
BREAKING NEWS: Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Waziri wa Ujenzi Mhandisi Isaack Kamwele hadi sasa miili 209, imeopolewa na watu 41 wameokolewa wakiwa hai, katika ajali ya kivuko cha Mv Nyerere kilichozama katika ziwa Victoria eneo la Ukara Ukerewe.
Benedict K. Millumba🇹🇿 retweeted
#TanzaniaPremierLeague Timu zilipokuwa zikingia dimbani katika uwanja wa Karume mjini Musoma tayari kwa mchezo kati ya Biashara United vs JKT Tanzania.
#AzamSports2 #AzamTVApp #SisiNiSoka #LigiKuuTanzania #BiasharaVsJKT #BiasharaUnited #JktTanzania
Benedict K. Millumba🇹🇿 retweeted
Je unayafahamu maajabu ya Ziwa Ngosi Tanzania bbc.in/2N8wQ3d
Benedict K. Millumba🇹🇿 retweeted
ATCL warejesha safari za ndege kwenda Entebe, Uganda; ni baada ya miaka 12 tangu huduma hiyo isitishwe.
#TUNATEKELEZA2018
#TanzaniaUpdates
Benedict K. Millumba🇹🇿 retweeted
Sakata la Masoud Djuma lashika kasi, Mhariri amwagia povu Manara 'Kama atabaki Simba gazeti la Championi ndilo lililomuokoa' - bongo5.com/sakata-la-masoud-…
Benedict K. Millumba🇹🇿 retweeted
Mtwara, kusini mwa Tanzania, ulaji wa panya ni kawaida bbc.in/2LZJPD3
Benedict K. Millumba🇹🇿 retweeted
RASMI: WhatsApp inapatikana kwa lugha ya Kiswahili, fuata maelezo haya kubadili lugha - bongo5.com/rasmi-whatsapp-in…
Benedict K. Millumba🇹🇿 retweeted
Hispania yamtimua kocha wake, Julen Lopetegui siku moja kabla ya kombe la dunia - bongo5.com/hispania-yamtimua…
Benedict K. Millumba🇹🇿 retweeted
1/2. Azam TWO kupitia Chaneli ya Sinema Zetu yatunukiwa Tuzo ya
Heshima kutokana na mchango wake katika kuthamini tasnia ya filamu Tanzania.
Benedict K. Millumba🇹🇿 retweeted
#NationalDonutDay is a holiday we can all get behind! https://xitter.cf/t.co/eF9o3YOiQb




























