Victoria Melami (@MelamiVictoria) header
Victoria Melami (@MelamiVictoria) profile picture

Community Service| Digital rights and digital skills enthusiast| SDGs enthusiast | Internet expert| ISOC ECF Alumni

Tanzania
Joined December 2018
Photo by Victoria Melami (@MelamiVictoria)Photo by Victoria Melami (@MelamiVictoria)Photo by Victoria Melami (@MelamiVictoria)Photo by Victoria Melami (@MelamiVictoria)Photo by Victoria Melami (@MelamiVictoria)Photo by Victoria Melami (@MelamiVictoria)Photo by Victoria Melami (@MelamiVictoria)Photo by Victoria Melami (@MelamiVictoria)Photo by Victoria Melami (@MelamiVictoria)Photo by Victoria Melami (@MelamiVictoria)
Wanawake wajasiriamali wamefanikiwa kuhudhuria siku tano za mafunzo yaliyoandaliwa na @STEMiAfrica kushirikiana na @NdotoTimiza kupitia program ya #KuongozaProjectTz2025 inayolenga kuwainua na kuwajengea uwezo wanawake wajasiriamali kidijitali na namna ya kusimamia biashara zao.
4
8
308
Ila media zetu🙌🏻💔
26
Victoria Melami retweeted
"Tumeangalia kauli zilizotolewa na mshtakiwa. Tumeona hakuna ushahidi wa moja kwa moja kuwa alilenga kuitishia serikali. Tumeangalia tafsiri ya shahidi wa 1, 2 & 16 tumeona ni nadharia, haziwezi kuthibitisha kuwa mshtakiwa alilenga kuitishia serikali." - Mahamama Kuu 6.11.'26
38
213
11
913
50,242
I have been researching and reflecting on how parenting looks like in this digital Age. Today I’m sharing my article. Please open the link to read it. linkedin.com/pulse/parenting… #DigitalAge #ParentingNow
73
Victoria Melami retweeted
Rushwa ya ngono ni Ukatili wa Kijinsia. Period! Kwa kushirikiana na LHRC, TAWLA na WAJIKI Tanzania, jumamosi tulikuwa na mjadala wa kina kwenye #ElimikaWikiendi kuhusu rushwa ya ngono, namna ya kutambua, haki za waathirika, njia za kuripoti na msaada wa kisheria uliopo.
1
18
24
1,253
Je, wajua? Si kila manusura wa GBV ana michubuko au majeraha yanayoonekana. Wengi hubeba maumivu ya kihisia na kisaikolojia kama hofu, msongo wa mawazo, aibu, kupoteza kujiamini na hata kuacha shule au kazi. #ElimikaWikiendi
2
3
174
Je, wajua? Ukimshuhudia rafiki yako akipitia GBV, usimhukumu kwa kumwambia; “Kwa nini ulienda?” au “Kwa nini hukukataa?” Badala yake tafuta namna ya kumsaidia iwe kisaikolojia, kisheria nk. #ElimikaWikiendi
2
3
98
Je, wajua? Uwezeshaji wa wanawake na wasichana kielimu na kiuchumi ni mkakati muhimu wa kuzuia ukatili wa kijinsia. #ElimikaWikiendi
2
3
198
Je, wajua? Kutokomeza GBV ni sehemu muhimu ya kufikia Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs), hususan SDG 5. Usawa wa Kijinsia. Jamii haiwezi kufikia maendeleo jumuishi wakati sehemu ya watu wake wanaishi katika hofu, ubaguzi au ukatili unaotokana na jinsia.
1
2
51
Je wajua? Kukaa kimya baada ya kufanyiwa ukatili humlinda mnyanyasaji na sio mwathirika.
1
2
273
Je, wajua? Sheria pekee hazitoshi. Utekelezaji, uwajibikaji na mifumo salama ya kuripoti ni muhimu katika kupambana na GBV. #ElimikaWikiendi
2
3
162
Je, wajua? Kutokomeza GBV kunahitaji wanaume na wavulana kuwa washirika wa mabadiliko katika kujenga jamii yenye usawa. #ElimikaWikiendi
2
4
187
Je, wajua? Rushwa ya ngono ni matumizi mabaya ya mamlaka kwa kudai ngono ili kutoa au kunyima fursa kama ajira, elimu au huduma. #ElimikaWikiendi
1
3
194
Je, wajua? GBV ipo pia mtandaoni kupitia vitisho, udhalilishaji na matumizi mabaya ya taarifa binafsi bila ridhaa. #ElimikaWikiendi
2
4
150
Je, wajua? Ukatili wa Kijinsia ni ukiukwaji wa haki za binadamu. UN Declaration on the Elimination of Violence against Women (1993) inatambua GBV kama kikwazo kikubwa kwa usawa wa kijinsia na maendeleo. #ElimikaWikiendi
2
3
101
Victoria Melami retweeted
Kesho @MelamiVictoria atatujuza kwenye 10 za je Wajua? Unakosaje sasa kujiunga nasi kwenye jamvi la #ElimikaWikiendi ??
8
6
232
Tukutane kesho.
10 za Je, wajua na @MelamiVictoria Usikose kufuatilia #ElimikaWikiendi
1
13
Victoria Melami retweeted
Mambo 10 muhimu ya kutokomeza Ukatili wa kijinsia yataletwa na @MelamiVictoria ndani ya jukwaa la #ElimikaWikiendi Usikose kufuatilia!
15
17
698
Kutoa uhai wa mtu haijawahi kuwa sehemu ya kutatua tatizo, Mungu hajaruhusu kuua na Ndio maana kwenye amri kumi za Mungu kuna amri ya “USIUE” pumzika kwa Amani Kijana mzuri, binadamu wabaya wameamua kukupokonya uhai wako😓 Mungu atakulipia. #justiceforTemba
72